suleiman
188 posts


@Getrude_mollel Na sisi Wabongo inabidi tufanye kama hivi tumuunge mkono Rais Samia na Serikali yake
Indonesia

Maelfu wa Raia wa Iran wameingia barabarani kuunga mkono serikali yao, hii ni baada ya kugundua kwamba walikuwa wakiimba wimbo wa magharibi ambao hawaujui. Mataifa ya magharibi yamepigwa na butwaa baada ya kuona Raia wa Iran wametamtambua adui yao. #IstandWithIran
Indonesia


Kama nilivyowaambia leo Dunia inaangalia Tanzania hakuna risasi labda mabomu ya machozi bebeni maji!
Ukisimamishwa unajua pa kupenya ila uaikubali kubebwa na polisi!
#D9TanganyikaDay
#D9Tunatoka

Indonesia




























