drshija24

3.7K posts

drshija24

drshija24

@shija_dr

Katılım Ağustos 2016
51 Takip Edilen72 Takipçiler
drshija24
drshija24@shija_dr·
@Innocen89950594 Pole sana hapo hakuna mke huyo ni mke mkewetu, umemaliza kueleza hapo juu kwamba ni ujinga sina nia mbaya ya kukutukqna ila naunga tu mkono ulivyo jiita na kujishibitishia kuwa wewe ni mjinga!
Indonesia
0
0
0
71
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
Wewe Ni GUMAH 🚮😂😂😂😂😂😂😂😂
KIDUKU OFSA NGIRI tweet media
Indonesia
54
9
130
8.7K
drshija24
drshija24@shija_dr·
@Innocen89950594 Kujamba ni jambo la kawaida na ni huduma ya kupunguza gesi ili kuzui matumbo kuweza kuleta changamoto kama utazui kwa muda mrefu, hilo sio jambo la kushangaza wala kutisha. Ni sawa tu
Indonesia
0
0
3
1K
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
Hii Imekaaje?😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
KIDUKU OFSA NGIRI tweet media
Eesti
41
4
158
16.3K
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿
Ukifikiria vizuri utagundua maadam Rita yupo sahihi media hazinaga mchango wowote kwenye jamii kama tunavyoaminishwa Media zimekaa kinafiki sana zipo kwaajili ya kutupoteza sioni ajabu huyu maadam kuzikataa media Wanaoelewa lengo la kuwepo kwa media ndo watanielewa
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 tweet media
Indonesia
12
20
69
1.9K
drshija24
drshija24@shija_dr·
@Innocen89950594 Huyo mweleze ukweli hutaki na hupendi huo uchafu na mtishie akiendelea utawaeleza wahusika mke wako au mumeo ili aaibike na hakikisha unatunza ushahidi hawakawii kukuchafulia hali ya hewa hao.
Filipino
0
0
1
266
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
Mpeni Ushauri Afanye Nini?😂😂😂😳🙌
KIDUKU OFSA NGIRI tweet media
HT
35
5
200
17.4K
drshija24
drshija24@shija_dr·
@Innocen89950594 Hiyo ndiyo shida ya kuoa mwanamke alie pitwa na wanaume wengi, wengine walitekenya fungus ya nyuma unazani huyo utamuwezesha kukojoa kirahisi? Mwingine alikuwa anapewa mapombe makali ndiyo apandishe nyenge na uke uwe na uteleze unadhani bila hivyo utaweza?Lawama na ugomvi hauish
Indonesia
0
0
0
422
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
Madhara Yakutooa BIKRA 😂😂😂😂😂😂😂
KIDUKU OFSA NGIRI tweet media
Indonesia
16
4
102
9K
drshija24
drshija24@shija_dr·
@vistovic17 Sawa unawezankuwa mkweli lakini ingelikua simbasc usinge sema hayo
Indonesia
0
0
2
1K
BIGV 🎩
BIGV 🎩@vistovic17·
🚨 Kiemba baada ya Yanga kuongoza goli 5 kipindi cha kwanza dhidi ya Mbeya City: “Niliwaambia hapa lakini nilishambuliwa sana na wanamichezo… Ligii yetu sio bora! Kuna timu 3 tu zinazoweza kushinda nyingine. Mbeya City wanacheza kama hawajala chakula… Utasema ligi yetu bora kuzidi South Africa?!”
BIGV 🎩 tweet mediaBIGV 🎩 tweet media
Indonesia
27
33
842
58.3K
drshija24
drshija24@shija_dr·
@moshijnr Aongeze maarifa, vinginevyo hana ipya, tuliwaona kina Ngushi, Chikola, Nchimbi, kina kibu wanakosa maarifa na yaye ataishia hivyo hivyo!
Filipino
0
0
0
27
Moshi Jnr
Moshi Jnr@moshijnr·
Huyu jamaa Ramadhan Chobwedo ni bonge la Winga aisee. Ana skills nyingi sana na bado anaweza kufanya dribbling za hatari nyakati zote🙌🏻🙌🏻🙌🏻 Wananchi wakamilishe tu dili kwa Wakati huyu anaweza kuongeza Kitu kizuri sana kama Mzawa Kitu bora sana kwake Always available kiwanjani
Moshi Jnr tweet media
Indonesia
11
0
139
2.5K
drshija24
drshija24@shija_dr·
@vistovic17 Ni mchezaji mzuri lakini Ana mapungufu anapokutana na timu kubwa na ngumu, hata kama ana magoli 6 mechi cahche! Hakuwafunga as far Rabat, simba, azam, aongeze bidii asiongee ongee tu
Indonesia
1
0
1
295
BIGV 🎩
BIGV 🎩@vistovic17·
🚨 DEPU ASHANGAZWA NA MBIO ZA UFUNGAJI LIGI KUU! “Wakati niko Poland nilifunga goli moja, kule kuna washambuliaji wanajua kufunga sana. Nilipo kuja Tanzania nilijua itakuwa kama Poland, lakini anayeongoza magoli ana goli 8 tu… Mimi nazo 6 na nimekuja dirisha dogo!”
BIGV 🎩 tweet mediaBIGV 🎩 tweet media
Indonesia
2
12
412
10.3K
drshija24
drshija24@shija_dr·
@zoetjesheeftX Hawa ndiyo wale mbwa wanaopigwa risasi au kuzikwa bila kujua msiba ukitokea lini !
Filipino
0
0
0
24
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Kuna mwanaume naishi nae ni mwaka wa 3 huu umri wake ni mara mbili ya umri wangu na nimezaa nae mtoto mmoja, shida ni kuwa sikuwa nampenda niliingia kwenye mahusiano na huyu mwanaume kwasababu nilichoka manyanyaso ya EX wangu kikubwa zaidi ni maisha ya nyumbani yaani hakuna amani wazazi wanagombana kila kukicha kuna muda unajuta kwanini ulizaliwa na wazazi wa aina ile…Na nilikuwa nae kama mfariji tu kwa muda lakini nikaja kugundua nina mimba yake ndio chanzo chakuwa wote mpaka sasa… Nimekuwa nikipitia wakati mgumu hasa kihisia kwa kuwa sio chaguo langu natamani kuondoka kwake walau nipate amani ya moyo lakini nashindwa kutoka kutokana na maneno ya marafiki hasa ndugu kuwa sitapata mwanaume kama huyo.na sijui nikitoka naenda wap? Nashindwa ni vipi nitatoka kwenye hiki kifungo maana imefika kipindi sina hisia nae kabisa hata tendo la ndoa nampa tu ajiridhishe mwenyewe lakini hakuna ushirikiano wowote,, Na hali hiyo imepelekea mpaka kupata ugonjwa wa moyo, presha kunisumbua. Nahitaji ushauri wako…
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Indonesia
14
2
32
5.9K
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿
Kuna watu wanasema et yanga hana hela ya kumsaini na kumlipa mshahara huyu bwana mdogo Yaani yanga wameweza kujenga uwanja washindwe kumlipa huyu dogo
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 tweet media
Indonesia
25
13
193
7.5K
drshija24
drshija24@shija_dr·
@IWillLive_X Ujinga tu unakusumbua , timu ifunhwe na TRA, ifungwe na simbsc, azam, utegemee yangasc kushinda kwa kuwaomba walegee? Hii nchi wajinga ni wengi sana basi tu!
Indonesia
1
0
0
5
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
Game ya jana isitufanye tutoke kwenye msitari📌 Game tuliikamata vizuri sana ni vile tu sisi wenyewe na ukongwe wa chama na Alajiga kutuonea Tusitupe lawama kwa kocha wala nani kumbuka wachezaji wetu mhimu wapo majeruhi ila timu imetengeneza nafasi zaidi ya tano hadi penalty Ile penalty tungepewa haya maneno kuhusu gueye yasingekuepo✅ Kama mwalimu angefunga ile haya maneno ya Chama mzee yasingekuepo✅ Na kama chama angefanikiwa kuupata ule mpira alipewa na oura akiwa pekeyake basi tungepata goal na haya maneno yasingekuepo✅ Hivyo basi tuache kupanic kisa mechi moja kumbuka tuna game nyingi sana mbeleni na ubingwa upo mdomoni kwetu🫵
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
10
5
38
1.3K
drshija24
drshija24@shija_dr·
@MankindUwezo Sio coastal tu , kuna Singida Big Stars walinyimwa penalty 2 zidi ya simbasc ! Nani aliongea ama kupigia kelele!?
Indonesia
1
0
1
6
Dr Kwala Liwengo
Dr Kwala Liwengo@MankindUwezo·
Mwehu anachekesha akiwa si ndg yako wa damu. Mmesahau juzi coastal walinyimwa penalty ya wazi? Malipo ni hapa hapa
Dr Kwala Liwengo tweet media
Indonesia
1
1
19
612
drshija24
drshija24@shija_dr·
@TriciaAbou Kabla hamja cheza munajikuta wababe, utazani muna Lewandoski asipo funga ndiyo munajua ni mchezaji wa kawaida!? Ndiyo maana yangasc anachukua sana makombe!
Indonesia
0
0
0
4
Trica Online Store
Trica Online Store@TriciaAbou·
Tatizo la Simba kutokuwa na Striker mzuri msimu huu litatugharimu sana, tunatengeneza sana nafasi ila hatuna mtu sahihi wa kumalizia, huyu Mwalimu tusije thubutu kumsajili hata buree 😡 Mchezaji gani mpaka apate nafasi 10 ndio afunge 1 🚮
Trica Online Store tweet media
Indonesia
29
4
212
7.4K
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
We kunguni njoo na comment yako ya kijinga nakutoa nduki, Swala la Muda tu, Kwani nani alijuaga Jpm atakuja kuwa rais? Unadhan kuwa mahabusu ni kigezo cha kuzima hatima ya Mtu? we kunguni Nitaanza kuwahesabia watakaohama bila kufukuzwa Anza kwenye Comment,🤣🤣
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Indonesia
11
11
79
2.6K
drshija24
drshija24@shija_dr·
@fintanjr_ Mnalipata wapi na pesa hakuna mnadanganywa na wanyonyaji kila siku
Indonesia
1
0
0
10
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Simba tunahitaji Teka katili, mwenye vyote Nidhamu na Ubaya golini,.. mwalimu kapewa nidhamu, Sowah kapewa ukatili,.. ona sasa nidhamu haitusaidii🤒💔🚮.
The champ👑 tweet media
Indonesia
26
18
143
4K
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
Kama sio Simba SC kumchukuwa Mwalimu kwa mkopo, basi naona kabisa angesugua sana benchi msimu huu pale Wydad. Inshort Mwalimu sio 'striker' wa kumtegemea, Simba SC tunahitaji 'striker' mpya tu.✍️
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Filipino
13
6
121
2.3K
Shaffih  Dauda
Shaffih Dauda@shaffihdauda1·
Aish Salum Manula anaendelea kukivaa vyema kiatu cha Tanzania one ambacho hapa kati kati kuna wahuni walilazimisha kumvua kwa mizengwe Nimehesabu saves 3 za hatari alizozibadilisha na kuwa goal kick na zingine kufanya mchezo uendelee kawaida, Aishi ni kipa 🧤
Shaffih  Dauda tweet media
Indonesia
14
7
394
7.7K