Simplify
335 posts

Simplify
@simplify_tz
Simplify VFD offers a government-approved online solution for easy, compliant EFD invoicing in Tanzania, streamlining tax processes https://t.co/gJPBgbGLSc
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ocak 2021
5 Takip Edilen127 Takipçiler

Hata kama intaneti yako imekata hii njia mbadala ya kuweza kuchakata risiti za EFD kwa wateja wako bila shaka.
Kujiunga bofya *148*09#
Au 0745507103/0658507103 kwa maelezo zaidi
#simplifyvfd #nizaidiyarisiti

Indonesia

Ndani akaunti yako unaweza kuona na kupakua risiti zako za EFD wakati wote.
#simplify #vfd #nizaidiyarisiti #risitikidigitali #vfd

Indonesia

Ili kuepuka haya ufuatiliaji wa mienendo na ukuwaji wa biashara ni muhimu katika kuimarisha na kufanya mamuzi katika kila biashara.
#simplifyvfd #vfd #risitikidigitali #risitikiganjani

Indonesia

Furahia wikendi yako bila uoga ndani au nje ya nchi, unachakata risiti za EFD bila wasiwasi
#Simplifyvfd #nizaidiyarisiti #risitikidigitali #wikendinjema #Wikendistressfree

Indonesia

Fahamu hizi tarehe na uepuke penalty. Wasilisha nyaraka zako kwa usahihi na kwa wakati
#kodi #simplifyvfd #nizaidiyarisiti #risitikidigitali #vfd

Filipino

Pamoja na kupakua App yetu au kuhifadhi namba yetu ya WhatsApp bado unaweza kuanza usajili moja kwa moja popote uliopo
Ni rahisi, haraka na kijanja!
Wasiliana nasi sasa +255 658 507 103 au +255 745 507 103
#SimplifyVFD #NiZaidiYaRisiti #WhatsAppYaKijanja #RisitiKidigitali
Indonesia

Kutoka Mkoani Kagera Simplify VFD tunazidi kukusogezea huduma zetu kila kona ya nchi, Na kuwawezesha wafanyabiashara au watoa huduma kuweza kutoa risiti za EFD
Wasiliana nasi kupitia +255 769 565 676 au +255 782 906 314.
#Simplifyvfd #nizaidiyarisiti #risitikidigitali



Indonesia

Hayawi hayawi yamekuwa! Simplify pamoja na Ghala tunawaletea mambo MSWANO🔥🔥🔥🔥Ewe mfanyabiashara, endelea kufuatilia mitandao yetu ya kijamii kupata mchongo huu
Upo tayarii!!!!!!
#Simplifyvfd #Ghala #kaamkaowakupokea #nizaidiyarisiti #Wekabiasharaonline
Filipino

Siku ya pili ndani ya Youth Dome! Usikose kutembelea banda letu katika viwanja vya JNICC ,tupo tayari kujibu maswali yako na kukuonesha kwa undani vipengele mbalimbali vya mfumo wa Simplify VFD.
#IW2025 #InnovationWeekTZ #LeadershipInInnovation #Tech #simplify #NiZaidiYaRisiti
Indonesia

Today's newspaper @TheCitizenTz highlights the pivotal call by Managing Director Roselynn Mworia urging media institutions to amplify innovation coverage as a driver of national development. Baraka Cassian shared insights on the need for deeper media understanding of startups.

English

On Monday, May 12th, we’re proud to have our Managing Director, Baraka Cassian join the panel at the Future-Ready Summit during Innovation Week Tanzania 2025
@Funguo_Tz @VodacomTanzania @costechTANZANIA
#IW2025 #InnovationWeekTZ #LeadershipInInnovation #TechForDevelopment

English

Mfanyabiashara tambua ya kuwa kabla ya kufungua biashara unaweza ukachunguza ni mfumo gani ulio sahihi kwa aina ya biashara uliyo nayo, Kila mfumo unafaida kwenye maswala ya kodi.
#simplifyvfd #biasharayako #risitikidigitali #vfd #risitikiganjanikwako

Indonesia

Tungependa kuwatakia Wafanyakazi wote Tanzania Heri ya siku ya wafanyakazi Duniani.
#simplifyvfd #risitikidigitali #risitikiganjani #vfd #sikuyawafanyakaziduniani
Indonesia

Kila jambo linawezekana tunakutakia Wiki njema.
#VFD #simplifyvfd #risitikidigitali #nizaidiyarisiti #Wikinjema

Indonesia

Leo tunasherekea miaka 61 ya Muungano wa Tanzania. Tuendele kudumisha Amani, upendo na ustahimilivu baina yetu sote.
#simplifyvfd #nizaidiyarisiti #risitikidigitali #love #unity #union
Indonesia

Kupitia Simplify VFD unaweza kuchaka risiti zako za EFD kwa urahisi popote ulipo, unakwama wapi ?
Wasiliana nasi kupitia 0745507103/0658507103
#simplifyvfd #risitikidigitali #tra #nizaidiyarisiti #vfd


Mfanyabiashara au mtoa huduma uliyepo Mbeya na Mikoa ya Jirani huduma zetu zimesogezwa karibu na nyie msisite kuwasiliana nasi.
#simplifyvfd #risitikidigitali #nizaidiyarisiti #vfd #mbeya

Indonesia

Amefufuka kweli kweli! Tunawatakia wateja wetu Heri ya Pasaka iliyojawa na upendo na Furaha.
#simplifyvfd #vfd #heriyapasaka

Filipino

Wafanyabiashara na watoa huduma wa kanda ya ziwa tuko pamoja nayi katika kuhakikisha huduma zetu zinapatikana kwa haraka na urahisi.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia 0769565676.
#risitikidigitali
#nizaidiyarisiti
#popoteulipo

Filipino



