Simulizi Planet

55.1K posts

Simulizi Planet banner
Simulizi Planet

Simulizi Planet

@simuliziplanet

Elimika na burudika kupitia simulizi nzuri za kusisimua kila siku ya j4, Alhamis na Jmosi

Africa/America Katılım Ekim 2019
3.3K Takip Edilen156.7K Takipçiler
Simulizi Planet
Simulizi Planet@simuliziplanet·
@Getrude_mollel So mtu mwenye gongo na jiwe anapigwa risasi? Bomu la machozi lisingetosha? Maji ya kuwashawasha yasingetosha? Una roho katili sana Getrude.
Indonesia
2
0
4
2.3K
Simulizi Planet retweetledi
Watoto News
Watoto News@watotonewstz·
Quote of the week: “Being a father is the most important role I’ll ever play. Everything I do is to set an example for my kids.” ~ @KingJames (Basketball Player). Ni tabia gani nzuri ambayo unayo na ungependa mtoto wako arithi toka kwako?
Watoto News tweet media
English
0
8
14
9.7K
Simulizi Planet
Simulizi Planet@simuliziplanet·
Unapenda ujumbe wa kukuhamasisha kimaisha (motivation) ukiwa katika format ipi?
Indonesia
1
2
9
4.6K
Simulizi Planet retweetledi
Watoto News
Watoto News@watotonewstz·
Mtoto ana haki ya kupewa jina zuri na la kupendeza. Jina lipi zuri la kike au kiume unaloweza mshauri baba na mama watarajiwa wanaowaza hivi sasa jina la kumpa mtoto wao? #HakiYaMtoto #tanzania #childrights
Watoto News tweet media
Indonesia
10
5
6
16.3K
Simulizi Planet retweetledi
Watoto News
Watoto News@watotonewstz·
Mkazi wa Babati mkonia Manyara Hamis Abdalah (42) amehukumiwa miaka sita jela na faini ya shilingi milioni moja baada ya kapatikana na hatia ya kujeruhi kwa kumkata masikio mtoto wa jirani yake mwenye umri wa miaka 13 kwa madai ya kumuibia yai moja la kuku. Akisoma hukumu hiyo, hakimu mkazi mkoa wa Manyara Martini Masao, alisema mshtakiwa alitenda kosa hilo 23.08.2025. Ambapo mshtakiwa Hamis Abdala alimkata masikio yote mawili kwa kutumia kiwembe, kumchanja kifuani pamoja na kumbamiza kichwa ukutani. Nini kingetokea endapo huyo mtoto aliyekatwa masikio angekuwa wako? Credit: EATV
Watoto News tweet media
Indonesia
0
4
4
8.3K
Simulizi Planet retweetledi
Watoto News
Watoto News@watotonewstz·
Kuna mengi yanawatokea watoto duniani. Kuwa kwanza kujua kilichojiri kwa watoto. Follow @watotonewstz
Watoto News tweet media
Indonesia
0
6
2
8.6K
Simulizi Planet retweetledi
Watoto News
Watoto News@watotonewstz·
Kuwa kwanza kufanamu nini kimetokea kwa watoto duniani. Follow @watotonewstz
Watoto News tweet media
Indonesia
0
4
3
2.1K
Simulizi Planet retweetledi
Watoto News
Watoto News@watotonewstz·
Unajua nini kimetokea kwa watoto duniani? Follow @watotonewstz
Watoto News tweet media
Indonesia
0
4
5
5.1K
Simulizi Planet
Simulizi Planet@simuliziplanet·
Usiwe na hofu, mwisho wa magumu utafika.
Simulizi Planet tweet media
Polski
0
1
1
338
Simulizi Planet
Simulizi Planet@simuliziplanet·
Unapenda mwanao pindi anapokosea shule afanywe nini?
Filipino
2
3
4
2.8K
Simulizi Planet retweetledi
Watoto News
Watoto News@watotonewstz·
Mara baada ya uongozi wa klabu ya Young Africans ukishirikiana na GSM Foundation Tanzania kutembelea kituo cha kulelea watoto Yatima kinachofahamika kama Lar De Infancia Kuzola kilichopo Luanda nchini Angola na kutoa misaada mbalimbali ikiwemo chakula na mavazi. Mashabiki mbalimbali wa soka nchini Angola wamesifia kitendo hicho na kusema kitendo walichofanya Yanga iwe fundisho kwa timu nyingine pia zinapoenda nchi fulani kwa ajili ya kucheza mechi basi wafanye hivyo kwa lengo la kuonyesha dhamira halisi ya mpira kuwa ni mchezo wa kuleta watu wa aina mbalimbali pamoja bila kujali tamaduni au uraia. Ikumbukwe kwamba hii sio mara ya kwanza kwa klabu ya Yanga kufanya kitendo kama hiki kwani imekuwa ni kawaida yao hasa wanapokwenda kucheza mechi fulani basi hufanya shughuli za kijamii mbalimbali ikiwemo kutembelea vituo vya watoto yatima. Photo credits: Yanga SC
Watoto News tweet media
Indonesia
1
4
20
6.3K
Simulizi Planet retweetledi
Watoto News
Watoto News@watotonewstz·
Mtoto Suda Hassan maarufu kama Suda Yanga ambaye amejizolea umaarufu mkubwa nchini Tanzania kutokana na kushabikia timu ya Yanga amewaba watanzania kujitolea kusaidia watoto wanaoishi katika mazingira magumu sambamba na vituo vya kulea watoto. " Nilipata nafasi ya kipekee kutembelea kituo cha kulelea watoto wa kike wanaoishi katika mazingira magumu na yatima, kinachoitwa Hope for Student Organization kilichopo Kimara Stop Over. Nilijifunza jambo kubwa sana kwamba upendo ni zawadi, na unapowapa wengine faraja na tabasamu, moyo wako nao unajaa furaha.Watoto wenzangu pale walicheka, walikumbatia, na walijisikia kupendwa sana.Nawaombea ndoto zao zitimie na ninawaomba watu wengine pia, tujikumbushe kugusa maisha ya wengine kwa vitendo. Hata kidogo chako kinaweza kuwa kikubwa kwa mwingine. Tushirikiane, tusaidiane, na tueneze upendo kila mahali" alisema Suda.
Watoto News tweet media
Indonesia
0
2
1
527
Simulizi Planet retweetledi
Watoto News
Watoto News@watotonewstz·
Mwinjilisti Grayson Muze Msemo (55) mkazi wa Raskazoni Wilaya ya Pangani Mkoani Tanga, amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi minne. Akitoa hukumu hiyo, Hakimu Mkazi wa Mahakama ya wilaya Pangani , Husna Mwiula, alisema kuwa Mahakama imeridhika na ushahidi uliowasilishwa na kumuhukumu mshukiwa kifungo hicho. Mwinjilisti huyo alitenda kosa hilo Septemba 1, 2025, katika eneo la Funguni, Pangani. Unafikiri kwanini baadhi ya viongozi wa dini ni wabakaji? Source EATV
Watoto News tweet media
Indonesia
0
1
0
179
Simulizi Planet retweetledi
Watoto News
Watoto News@watotonewstz·
Kai Rooney, mtoto wa kwanza wa Wayne Rooney, ameanza kujijengea jina lake kwenye ulimwengu wa soka kwa kasi ya ajabu. Akiwa na umri mdogo, tayari amejipatia nafasi kwenye Manchester United Academy, akipandishwa daraja mara kadhaa kucheza na wenzake wenye umri mkubwa zaidi. Hii ni ishara kwamba kipaji chake hakina mipaka, na wengi tayari wanasema anaweza kufuata nyayo za baba yake aliyewahi kuwa gwiji wa United na England. Mafanikio yake yamekuwa yakionekana wazi, hasa pale aliposaidia kikosi cha U15 cha Manchester United kutwaa Premier League Floodlit Cup, akifunga mabao muhimu na hata kufunga goli la ushindi kwenye mchezo wa nusu fainali dhidi ya Manchester City. Pia, alifunga mabao mawili kwenye fainali dhidi ya Chelsea na kupelekea United kushinda 3-1. Tofauti na jina alilopewa na baba yake, Kai anaonyesha uwezo wake binafsi wa kipekee, hasa kwa uchezaji wake wa kasi na ujuzi wa kumalizia. Takwimu zake zinaonyesha jinsi anavyopiga hatua kubwa: msimu wa 2021/22 pekee alifunga magoli 56 na kutoa assists 28, jambo linalomfanya aonekane kama hazina kubwa ya Manchester United kwa siku zijazo. Hivi karibuni, ameanza kuonja ladha ya mashindano ya vijana wa U18, na hata kufunga goli lake la kwanza katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Middlesbrough. Kwa kasi hii, dunia ya soka inamshuhudia kijana mdogo anayejitengenezea jina lake, huku mashabiki wakisubiri kuona kama ataandika hadithi mpya kama ya baba yake. Photo credit: Man U (Youth)
Watoto News tweet media
Indonesia
0
1
0
227
Simulizi Planet retweetledi
Watoto News
Watoto News@watotonewstz·
Mtoto mmoja wa kiume mwenye umri wa miaka sita (6) afariki dunia akiogelea bwawani huko Nigel, Gauteng nchini Afrika ya Kusini. Kamanda wa Kituo cha NSRI Gauteng, Nicholas Wood amesema kuwa walipata taarifa mida ya jioni saa 1:22 siku ya jumapili na kuanza zoezi la uokoaji wa mwili mara moja. Mwili wa marehemu ulipelekwa chini ya uangalizi wa Jeshi la Polisi pamoja na Huduma ya Uchunguzi wa Vifo ya Serikali. Hata hivyo polisi wamefungua jalada la uchunguzi wa tukio hilo. Source: NSRI
Watoto News tweet media
Indonesia
0
1
0
141
Simulizi Planet
Simulizi Planet@simuliziplanet·
Huko mtaani ambako unaishi watu wanasemaje kuhusu uchaguzi?
Indonesia
0
0
0
749