Sabitlenmiş Tweet
𝐒𝐨𝐤𝐚 .𝐙𝐨𝐧𝐞
1.3K posts

𝐒𝐨𝐤𝐚 .𝐙𝐨𝐧𝐞
@soka_zone
𝐒𝐨𝐤𝐚 .𝐙𝐨𝐧𝐞 ·|· Scores, Stories, and Stats. Our website: https://t.co/orGINEmWYD. 👇Whatsapp.
🇹🇿 Katılım Haziran 2023
75 Takip Edilen9.4K Takipçiler

Walisikika wachezaji: Kocha nasisi tianataka kufunga kama Chama 😁🙌.
NB. Downloaded by @vidosave
Indonesia

Msikilize Gharib Mzinga akitangaza goal la Chama jana🔥🔥🔥
Kuna wachezaji wa kutokea lakini siyo chama ni makosa makubwa kwa magoalkeeper Hata Diara alitokea😂😂🫵
Downloaded By @vidosave
Filipino
𝐒𝐨𝐤𝐚 .𝐙𝐨𝐧𝐞 retweetledi

SERIKALI KUMPATIA URAIA CHAMA
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema serikali imeanza kuona taratibu za kumpatia uraia kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Clatous Chama baada ya kuonyesha kiwango kikubwa katika soka la Tanzania.
Akizungumza katika usiku wa Tuzo za BMT 2025, Makonda alisema kiwango alichoonyesha Chama, ikiwemo bao lake la hivi karibuni, kimeongeza hoja ya kumtaka achezee Taifa Stars.
Paul Makonda
"Kwa lile goli la juzi, wizara imeanza mchakato wa kuona taratibu za kumpatia uraia Chama ili kuongeza uwezo wa timu yetu ya taifa,”
APEWE AU ASIPEWE???

Indonesia
𝐒𝐨𝐤𝐚 .𝐙𝐨𝐧𝐞 retweetledi

@Rydx_017 @athanas_pius @Balyx_ @MissChelsea1221 @DullahTheking2 Kwahivyo hii ni pesa ya mwaka mzima? 🥹
HT

People Elon Kacheka huku😂😂😂😂😂😂😂🙌
Nna mwaka Sijalipwa kwa kuwa sikuwa na wafuasi wachache wenye buluu tiki.
Nilivyogundua kuwa hii ndio sababu nikatafuta suluhisho mapema.
Na mwamba akanipa na miamala yangu ya tangu Last year.
Haya Gabby nakutafuta nikuagize TCL yangu ya inch 55C6K ya mwaka 2025.
Hii hela ikiingia kwenye account tu, naitransfer kwako mzigo ufike Bongo.🙏
Naomba ujibu hapa ukiiona hii post 🙏

Indonesia

𝐒𝐨𝐤𝐚 .𝐙𝐨𝐧𝐞 retweetledi










