suleiman yeri retweetledi
suleiman yeri
5.5K posts

suleiman yeri
@suleimanyeri
Journalist, News Anchor @ktnnewske Liverpool FC @LFC die hard. Views are my own.
Nairobi, Kenya Katılım Mart 2011
1.3K Takip Edilen7K Takipçiler
suleiman yeri retweetledi
suleiman yeri retweetledi
suleiman yeri retweetledi
suleiman yeri retweetledi

Viongozi wa kidini walaumu ufisadi na unyakuzi wa ardhi kwa kuchangia mafuriko
#Yanayojiri
Indonesia
suleiman yeri retweetledi

Kamati ya majanga Kilifi yaweka mikakati ya kupunguza athari za mafuriko Magharini
#Yanayojiri
Indonesia
suleiman yeri retweetledi

Serikali imejaribu kutuliza hofu ya uwezekano wa uhaba wa mafuta nchini kufuatia wasiwasi katika masoko ya mafuta duniani kutokana na mvutano unaoongezeka kati ya Marekani, Israel na Iran.
#MbiuYaKTN
@suleimanyeri
Indonesia
suleiman yeri retweetledi

Ida Odinga, balozi mteule wa Kenya kwenye Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira UNEP, amepigwa msasa na Kamati ya Bunge kuhusu masuala ya nchi za kigeni Ijumaa.
#DiraYaWiki
@suleimanyeri
Indonesia
suleiman yeri retweetledi

Baada ya kuapa kwamba watakuwa wakikita kambi kwenye Jumba la Jogoo kila wiki na hata kuandaa maandamano kupinga kile walichodai ni mbinu za kimaksudi za kuvuruga mikutano ya upinzani, viongozi wa upinzani wamebadili msimamo ghafla.
#DiraYaWiki
@suleimanyeri
Indonesia
suleiman yeri retweetledi

Kwa miaka kadhaa, wakazi wa kaunti za Kaskazini Mashariki wameendelea kulalamikia kutengwa, umaskini na makali ya ukame, madhila hayo yakiwa hali ya kawaida licha ya mabilioni ya fedha kutengewa kaunti hizo.
#DiraYaWiki
@suleimanyeri
Indonesia
suleiman yeri retweetledi
suleiman yeri retweetledi

2026 is our moment.
A moment to move beyond isolated efforts and into bold collaboration.
A year that calls faith communities, civil society, youth, women, Indigenous peoples, policymakers, media, and the private sector to walk together for climate justice.
#ClimateAction

English
suleiman yeri retweetledi

Kampuni ya maji la Tana Athi imewekeza shilingi milioni 330 kuhakikisha upatikanaji wa maji kwa mradi wa kiwanda cha ngozi cha Kinaninie unaolenga kukuza sekta ya viwanda na uchumi wa eneo hilo.
#Yanayojiri
@suleimanyeri
Indonesia
suleiman yeri retweetledi

Mamlaka ya kudhibiti ukame na maeneo kame nchini, NDMA, imeanzisha msafara unaojumuisha wadau na wakazi wa kaunti za Garissa, Meru na Isiolo.
#Yanayojiri
@suleimanyeri
Indonesia
suleiman yeri retweetledi

Viongozi wa bunge la kaunti ya Kiambu wanadai kuishi kwa hofu, baada ya spika pamoja na baadhi ya wawakilishi wadi kudai maisha yao yako hatarini kufuatia vitisho vinavyodaiwa kutoka kwa watu wasiojulikana.
#Yanayojiri
@suleimanyeri
Indonesia
suleiman yeri retweetledi

suleiman yeri retweetledi

Mfanyabiashara mmoja katika soko la samaki mjini Lodwar anaendelea kupokea matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Lodwar baada ya kupigwa risasi na majangili waliovamia soko hilo na kuwaibia wafanyabiashara.
#Yanayojiri
@suleimanyeri
Indonesia
suleiman yeri retweetledi

Siku chache tu baada ya gavana wa Homabay Gladys Wanga ambaye pia ni mwenyekiti wa chama cha ODM kudokeza kuwa makubaliano ya ODM na UDA ni kugawana serikali kwa asilimia 50%, sasa naibu gavana wa kaunti ya Kakamega Ayub Savula amekariri kuwa hilo litawezekana tu iwapo Rais William Ruto atapata uungwaji mkono kutoka maeneo ambayo ni ngome ya chama cha ODM.
#Yanayojiri
@suleimanyeri
Indonesia
suleiman yeri retweetledi

Washikadau katika sekta ya elimu kaunti ya Kirinyaga wanatoa wito kwa Wizara ya Elimu kurejelea tena zoezi la kutoa mafunzo kwa walimu ili kuwapa ujuzi wa kuwashughulikia wanafunzi wa CBE inavyofaa.
#Yanayojiri
@suleimanyeri
Indonesia



