Karibu Ujipatie Samani bora za Kisasa kutoka SUMAJKT Chang'ombe Furniture Co Ltd.
Ofisi kuu za Kampuni hiyo zipo Chang'ombe wilaya ya Temeke na Duka la Mauzo lipo Mlalakuwa Barabara ya Mwai Kibaki karibu na Makao Makuu ya SUMAJKT jijini Dar es Salaam.
Mawasiliano.
0718 803 800
Ni kila Alhamis tunakutana Pale SUMAJKT Catering Mwenge.
Burudani ya Kipekee kutoka Kwa wakali wa hizi kazi Twanga Pepeta......... USIPANGE KUKOSA.
📍Eneo ni Mwenge Mataa (Upande wa kulia) kama unaelekea Bagamoyo.
Burudani ya 'Brass Band' kutoka Mgulani JKT Ilivyonogesha Sherehe ya kufunga Mafunzo ya Vijana wa Jeshi la Kujenga Taifa JKT Kundi la Mujibu wa sheria 2025, Operesheni (Nishati safi) katika kikosi cha Ruvu JKT kilichopo Mlandizi Mkoani Pwani.
Ilikua Tarehe 15 Septemba 2025.
Karibu SUMAJKT Energies kwa Huduma bora.
Tupo Mlalakuwa Mkabala na Barabara ya Mwai Kibaki...... Tunatazamana na Makao Makuu ya SUMAJKT.
#sumajkt#energy#youtube#sumajkttv
(Home of Quality, Product & Services).
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) linawakaribisha katika Maonesho ya Kilimo, Vifugo na Uvuvi (Nane Nane).
KAULIMBIU:
"Chagua Viongozi Bora kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi 2025".
Mwenyekiti wa maonesho ya kimataifa ya biashara sabasaba katika banda la Jeshi la Kujenga Taifa Kanali Shija Lupi, amesema kazi ya JKT katika maonesho hayo ni kutoa elimu kwa wananchi ili kuongeza kipato chao.
Karibu katika Banda la JKT kwenye Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es salaam 'Sabasaba' yanayoendelea Viwanja vya Mwl. Nyerere Barabara ya Kilwa.
Kauli Mbiu: "Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba FAHARI YA TANZANIA"
Mkurugenzi wa Masoko SUMAJKT Luteni Kanali Lucy Batakanwa amemuwakilisha Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika Brigedia Jenerali Petro Ngata kukabidhi Matrekta Mapya ya SUMAJKT AgriMachinery Project kwa Kampuni ya (Sisalana Tanzania Co. Ltd) kwa ajili ya Kilimo cha Mkonge Jijini Tanga.
Naibu katibu Mkuu wizara ya Kilimo Mhe. Stephen Nindi ametembelea Eneo la Maonesho ya Bidhaa na huduma katika viwanja vya JK Jijini Dodoma ikiwa ni Sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani ambayo kilele ni tarehe 05 Juni 2025.
#youtube ni SUMAJKT TV.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMAJKT) Brigedia Jenerali Petro Ngata, amesema shirika lina dhamira ya kuendelea kujitanua na kuimarisha miundombinu ya kimkakati ya biashara ikiwemo sekta ya Nishati.
youtu.be/ARDiLSipapU?si…
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Dkt. Stergomena Tax amesema kwa kipindi cha miaka minne kuanzia Mwaka wa Fedha 2021/22 hadi 2024/25, SUMAJKT imechangia jumla ya Shilingi Bilioni 2.66 kwa ajili ya kugharamia shughuli za malezi ya vijana wa JKT.
Mkurugenzi Mwendeshaji wa kampuni ya Bima ya Maisha (SUMAJKT life Insurance) Meja Godson Mhando anawakaribisha watanzania wote wafike katika Ofisi za Kampuni hiyo zilizopo Mgulani JKT Jijini Dar es salaam ili kupata huduma bora za Bima.
Mawasiliano;
0719078498
Ziara ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (Mb) katika mradi wa Ujenzi wa viwanja vya mazoezi kwa ajili ya michuano ya Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa Ndani (CHAN) yatakayofanyika mwezi Agosti mwaka 2025.