SYLCON BUILDERS

488 posts

SYLCON BUILDERS banner
SYLCON BUILDERS

SYLCON BUILDERS

@sylconb

We are Building and Civil engineering Contractors ,We provide complete building solution:Design,Construction,and Maintenance at highest quality and low cost.

DAR ES SALAAM ,TANZANIA Katılım Mart 2012
499 Takip Edilen121 Takipçiler
SYLCON BUILDERS retweetledi
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
SADAKA YAKO NI MOJA SHARE TU BARUA HII KWA WAKENYA WANAJUA LA KUFANYA To my Brothers and Sisters in Kenya, I, Tundu Lissu, a lawyer and a steadfast advocate for the rule of law—who has long stood as a devoted friend to the Kenyan nation and a close ally to your icons of democracy—write to you from the depths of profound tribulation. I recall with heavy heart the moments of national mourning you have endured for the pillars of African democracy, such as the late Mzee Raila Odinga (as a symbol of the struggle). Had I been a man of liberty, I would have stood in the frontline with you to honor the foundations of freedom they left behind. However, my current state is a physical shackle, though in spirit, we remain inseparable. I write to you from within the cold confines of a heavy cell, a place where the light of justice has been deliberately extinguished. As you are well aware, our system here in Tanzania continues to grapple with severe systemic oppression—a framework where justice is not regarded as a fundamental human right, but as a fickle favor granted by those in power. My heartfelt salutations go to the courageous Martha Karua, and all civil society leaders, the media fraternity, and every Kenyan who breathes the air of liberty. I humbly implore you: Do not despair for Tanzania. The oppression here is monumental, and the internal whispers of the persecuted are no longer enough to shatter these walls of tyranny. I am now marking a full year in this "well of suffering." My life has become an endless cycle of anguish. My plea to you is not for mere sympathy, but for THE VINDICATION OF JUSTICE. I beseech you to lend me your voices; use your platforms, your airwaves, and your human rights organizations to cry out for a soul that yearns for nothing but the law. I do not weep because I seek a release based on mercy; I weep so that the world may understand that the sanctity of the law is being desecrated. I demand my inherent rights as a human being and as a citizen who has sacrificed everything for the sake of dignity. My Kenyan kin, remember that we are bound by blood and a shared destiny. Your unity and your collective declarations have the power to shake these foundations. Do not cease to speak for me; do not cease to remind the Tanzanian administration of its legal and international obligations. Take up this mantle; see your brother, Tundu Lissu, languishing in the agony of injustice. I pray that "this cup passes over me," and through these trials, may our strength be forged together. Today it is me, but the enemy of justice knows no borders and may strike at any door tomorrow. The virtue you stand for today on my behalf will be a shield and a legacy for future generations across East Africa. I love you dearly, and I hold the unwavering hope that you will fulfill this call with the same fidelity and bravery that has defined your history of struggle. Yours in the Struggle for Law and Justice
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
English
5
115
266
6.6K
SYLCON BUILDERS retweetledi
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Kikaratasi hakitoshi, ila ujumbe utafika. Mimi ni msumbufu katika haki; kama ni kudai haki, basi mimi nadai haki kweli kweli! Kikaratasi hakitoshi, ila ujumbe utafika. Nimebakiza siku 14 nitimize mwaka mzima ndani ya kuta za magereza. Wewe askari unayesimamia haki, umewahi kujifunza kuwa ipo siku utafanyiwa kama mimi? Kuingizwa ndani ya kuta hizi bila hatia na kukaa miaka na miaka bila kupewa haki yako ya uhuru? Nani kasema huku nipo salama? Kuendelea kuishi ndani ya kuta hizi nikijua sina hatia—kikaratasi hakitoshi, ila ujumbe utafika. Wewe mwalimu, wewe mwana-CCM, wewe waziri, wewe mkulima, wewe mwenyekiti wa UVCCM, wewe usiye na chama, na wewe mfanyakazi wa taasisi na mabank; utajisikia vipi ndugu yako au rafiki yako kuingizwa kwenye kuta hizi kwa zaidi ya mwaka? Huna uhuru wa kuliona hata jua, wala kusogeza hatua nje kupata hewa safi ya mimea. Kulala kitandani kwa shida ya maumivu ya mguu kwa mwaka mzima, risasi inaozea mwilini bila hatua za ziada za matibabu, huku kukiwa hakuna usikilizwaji wa kesi wala hukumu kutendeka. Je, unahisi moyo wako ni chuma kiasi kwamba hauumii? Mimi ingeniuma, na hata sasa tayari nafsi inayolilia haki inauma. Nipo huku kuumizwa na sio kutuhumiwa kwa haki. Ni muda wa mjitafakari kwa ajili ya kesho zenu pia. Hata kama hamtasikitika, jihurumieni kwa kujiuliza: kwanini zilianzishwa mahakama? Je, ni ili watu waumizwe au wafanyiwe ukatili kiasi hiki? Hakika kimya chenu ni dhambi ambayo hakuna mtu atakuja kusamehewa. Piga na kataa uonevu, sababu mahakama zetu zisipokuwa huru kutenda, nani atakuwa na haki? Jeshi lisipofuata maadili, nani atakuwa salama? Serikali isipowajibika, Mtanzania wa chini lini ataona nafuu ya kuzaliwa Tanzania? Kikaratasi hakitoshi, ila ujumbe utafika. Kata kata, Kata, kata... Haki huinua taifa. Basi nipeni hongera yangu; hivi karibuni natimiza mwaka pasipo shaka kwa kuendelea kunyimwa haki yangu ya kikatiba kisa "wakubwa" wamesema, au vipi!?
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Indonesia
19
118
372
18.4K
SYLCON BUILDERS
SYLCON BUILDERS@sylconb·
@zoetjesheeftX Kwa kawaida Mkandarasi halipwi pesa ya mradi wote in advance, na hata kama kutakuwa na asilimia fulani ya malipo ya awali lazima kuwe na bond ya benki.
Indonesia
0
0
0
77
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Mr Billy Watu walimchukulia kama mtu mwenye nguvu sana serikalini, mwenye maamuzi makubwa na mwenye uwezo wa kusimamia miradi mikubwa ya maendeleo. Siku moja kulikuwa na mkutano mkubwa wa zabuni za miradi ya serikali. Katika mkutano huo kulikuwa na mradi mkubwa wa kujenga stand mpya ya mabasi ambayo ilitarajiwa kugharimu takribani bilioni 200. Makampuni mengi yalishindania hiyo zabuni, lakini mwishowe Billy ndiye aliyepata tender ya kusimamia ujenzi huo. Baada ya zabuni kupatikana, serikali ikatoa fedha zote za mradi — bilioni 200 — ili ujenzi uanze. Lakini safari ya zile pesa haikuwa rahisi kama ilivyopangwa. Kila zilipopita kwenye idara tofauti kwa ajili ya saini na vibali, sehemu ya pesa ilikuwa inapungua. Viongozi wengine walikuwa wanachukua mgao wao kwa siri. Billy mwenyewe hakujali sana hilo, kwa sababu hata yeye alikuwa akijua kwamba ili apate ile tender, alilazimika kutoa rushwa kwa baadhi ya watu. Ndiyo maana hakushtuka sana kuona pesa zinakatwa njiani. Mwisho wa yote, kati ya bilioni 200 zilizotolewa, Billy alibakiwa na takribani bilioni 100 tu za kufanya ujenzi. Ujenzi ukaanza. Mwanzoni kila kitu kilionekana kinaenda vizuri. Wafanyakazi walikuwa site, matofali yalipangwa, mabati yakawekwa, na watu wakaanza kuamini kuwa stand ya mabasi itajengwa kweli. Lakini tatizo lilianza polepole. Billy alikuwa mtu aliyependa sana starehe za maisha. Alianza kutumia pesa za mradi kwa mambo mengine. Akanunua magari ya kifahari, akawa anatuma pesa kwa marafiki na ndugu zake, na wakati mwingine alikuwa anafanya sherehe kubwa kana kwamba pesa hazitakwisha. Kadri muda ulivyokwenda, pesa za ujenzi zikaanza kupungua haraka. Mwishowe zikawa zimeisha kabisa kabla mradi haujakamilika. Siku moja, kiongozi mkubwa wa serikali alitangaza kuwa angefanya ukaguzi wa ghafla kwenye mradi huo ili kuona maendeleo ya ujenzi wa stand ya mabasi. Siku hiyo ilipofika, viongozi na maafisa wengi walifika pale site. Billy alikuwa na wasiwasi sana, lakini alijaribu kujifanya yuko sawa. Kiongozi mkuu alianza kuzunguka eneo la mradi akiangalia majengo yaliyokuwa yamejengwa. Kitu cha kwanza alichokiona kilikuwa ni jengo dogo la ukaguzi, kama kibanda kidogo cha walinzi. Alisimama pale, akalitazama kwa makini, kisha akamwita Billy. Akamwuliza kwa sauti tulivu: “Billy, hii nyumba tumekajenga kwa shilingi ngapi?” Billy akajibu bila kufikiria sana: “Hii tumekajenga kwa milioni mia moja Boss” Maneno hayo yaliposikika, kiongozi mkuu alibaki kimya kwa sekunde chache. Alilitazama lile jengo tena, kisha akamwangalia Billy usoni. Ghafla akakasirika sana. Akasema kwa sauti kali: “Unafanya masihara na fedha za umma? SI ndio” Mara moja akawaamuru polisi waliokuwa pale akasema: “Mkamate huyu mtu mara moja, mpelekeni kituoni!” Polisi hawakusita. Wakamshika Billy hapo hapo mbele ya watu wote. Watu waliokuwa pale wakabaki wameshtuka sana kuona kile kilichotokea. Sasa Je kwa upande wako kama unavoona kwenye picha Hilo Jengo Je kiongozi Wa Serikali Alikuwa sahihi kumkamata Billy
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Filipino
4
1
20
3.8K
SYLCON BUILDERS
SYLCON BUILDERS@sylconb·
@zoetjesheeftX Hii ni love bombing. Ni utapeli, mapenzi ya kweli huenda kwa tuo, akipata hiyo pesa hataonekana
Filipino
0
0
0
9
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
,story time 👇👇👇 😭💔 naomba ushauri kwani sijawahi kukutana na kitu kama hiki maishani mwangu. Niko kwenye mahusaino na huyu Kaka hii ni wiki ya pili sasa. Niliunganishwa na rafiki yangu ambaye naye nilikutana naye kwenye mitandao mwaka jana, basi tukawa tunachart mpaka kuaminiana. Kuna siku akanipost status akaniambia kuna Kaka yake kanipenda anaomba namba. Nilimuambia ampe, akampa, basi huyo kaka anaomba tuonane, tukaonana, tangu siku hiyo, yeye kila siku ni kunipost kwenye mitandao, kuniita mke wangu, ananipigia simu kuniamsha, mchana kuulizia kama nimekula na usiku tunaongea hata masaa 5. Kaka anaonyesha kunipenda, kashanipa mpaka simu niongee na Mama yake, anawaambia kuwa mimi ndiyo mke wake. Analalamika kuwa aliwahi kuumizwa sana hivyo hataki na mimi nimuumize, anajali mpaka naogopa kaka mika. Juzi alikuja mpaka nyumbani, hakuniambia kama anakuja kujitambulisha ila kwakua nilishamuelekeza alinipigia simu kuwa yuko nyumbani, basi nikamkaribisha na kumtambulisha kwa Mama, anaongea mambo mengi, mipango ya ndoa, ananiambia kuhusu mali zake, anajenga kanipeleka mpaka kwenye nyumba yake ambayo anajenga. Kanionyesha gari yake kila kitu anasema chetu. Sababu ya kuja kwako Kaka ni hivi, jana tulikua tunaongea, akaniambia anataka tumalizie nyumba yetu ili tuoane haraka kwani hataki kuishi nyumba ya kupanga. Ananiambia kuwa anahitaji kama milioni 16, mimi ninazo na anajua kwani kwakuwa likua ananiambia kila kitu nilimuambia hiyo ni pesa nilikusanya kwaajili ya gari. Nikamuambia mimi siwezi kwakua ni kwaajili ya gari basi kakasirika, akaniambia naonekana kama sitaki kuolewa, yaani ananiambia mimi mbinafsi, sitaki kushirikiana naye. ananiambia niko kama X wake aliachana naye kwakua nimbinafsi, sasa hapo kaka nashindwa nifanye nini, nimeshampenda, anaonyesha kunipenda ananiambia hajali kuhusu pesa hata tukibadilisha kiwanja kuandika majina yangu yeye hajali kwani ananipenda. Naogopa kwani ndiyo kwanza tuna wiki mbili lakini kashafanya mambo mengi sana kaka mika, nisaidie! Ukichelewa kupokea simu basi anumia anaweza hata kulia!😭
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Indonesia
115
11
124
33.2K
SYLCON BUILDERS retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
TOILET PAPER. Media house ni corrupted kwa kiwango kisichorekebishika. Narejea katuni ya @masoudkipanya alipozifananisha na ‘toilet paper’. Nafikiri hakukosea. Zinaogopa kuripoti cross-examination ya Tundu Lissu (tazama video). zinaandika na kuonesha upande wa Examination-in-chief tu. Hazitaki cross-examination. Examination-in-chief ni hatua ya kwanza ya kutoa ushahidi ambapo kwa hatua ya sasa, mashahidi wa Jamhuri wanahojiwa na mawakili wa Serikali. Hii inaruhusu shahidi kueleza anachokijua. Kuingiza nyaraka/vitu kuwa ushahidi. Kuonyesha mahakama shahidi anasema kweli na anajua anachokizungumza. Media house hazifanyi kwa bahati mbaya. Ni Public Sentiment Control. These monsters are preparing people for a guilty verdict. Wanafanya kitu kinaitwa priming. Wanaripoti ushahidi wa mashahidi wa Jamhuri (madai ya kuwa TAL alichochea vurugu au kuzuia uchaguzi wa 2025). Hawagusi cross-examination ya Tundu Lissu. Ukiwasikiliza watangazaji wa ITV na @azamtvtz huwezi kufahamu kama shahidi wa Jamhuri alitetemeka kama JENERETA wakati anafanyiwa cross-examination. Cross-examination (dodoso) ni hatua ya kumhoji shahidi ambaye ameshaanza kutoa ushahidi wake. Wakili anamdadisi shahidi kuona kama anasema ukweli. Kuonesha kama shahidi anasema uongo au amechanganyikiwa. Kutoa maelezo ambayo shahidi hakuyasema awali. Kudhoofisha maelezo ya awali. Wrong coverage haishii tu katika corridors zao, inakwenda mbali. Target ni watu ambao hawafiki mahakamani na hawafuatilii kesi social media. Lakini kama wameweza kurusha habari ya dakika tano na zaidi, kwanini wasiigawanye. Dakika 3 examination-in-chief halafu dakika 2 iwe ni cross-examination? Watu wanaofuatilia kesi hii kupitia social media wanaona picha kamili—wanasema serikali katili ya CCM haijathibitisha hatia, ushahidi unaonekana dhaifu. Ukitegemea mainstream media kama chanzo chako cha kwanza cha taarifa za Mahakamani, unaweza kudhani serikali katili ya CCM ina kesi imara na TAL ana hatia. Ukifuatilia mahakamani au katika LIVE updates, unapata picha tofauti—TAL anawapa kichapo kizito mashahidi. Wanapikwa wakiwa kwenye kijeneza chao. Trial by Media, Public Sentiment Control, Echo Chambers ndiyo kitu kinachofanywa na mainstream media. Wanaanda umma kwa uharibifu utakaofanyika. Lengo lao wahuni kurusha Examination-in-chief pekee yake siyo kwa bahati mbaya, wanalenga kulisha raia wengi propaganda za uongo za upande wa Jamhuri. Hata magazeti sasa hayaandiki hard news kama ilivyokuwa wakati wa nyuma.., tasnia ya habari na mawasiliano sasa inazikwa katika kaburi refu sana. Pamoja na kuwapotezea na kuwapuuza hawa wahuni kwa ujinga wao huu, lakini wanatakiwa kushughulikiwa kwa kuelezwa ukweli kwamba waache UPUMBAVU wao.
Indonesia
43
176
779
28.2K
SYLCON BUILDERS retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Tundu Lissu Show; The Legal Titan. Hali ya hewa leo mahakama kuu ilichafuka, asubuhi na mapema, na safari hii si kwa radi ya angani, bali kwa ngurumo za kisheria kutoka kwa gwiji, Tundu Lissu. Mahakamani kulikuwa na “shule ya bure,” upande wa Jamhuri ukijikuta kwenye wakati mgumu mbele ya gwiji wa sheria. Tulia kidogo nikupe samare na kichapo. Mahakama ilisheheni kama volcano inayotapika lava na ikatia tuli, watu wanashuhudia mashahidi wa Serikali wakicheza “kichapo” mbele ya fundi wa mitambo. Tundu Lissu hajaingia mahakamani kwa kubahatisha; ameingia akiwa na darubini ya kisheria inayopasua giza lolote. Amebeba vitabu vya sheria, katiba na PGO. Mashahidi walioandaliwa na “kufichwa kwenye jeneza”, wamejikuta wakivuliwa sanda mchana kweupe. Kuna mmoja TAL hadi akatambua kabila lake, kalitaja. Aliwasha tochi ya 100watts kwenye “jeneza”. Kila shahidi aliyekuja na hadithi, TAL amemkagua kuanzia uti wa mgongo wa ushahidi wake mpaka kwenye kucha. TAL alikuwa akitupa maswali kama mshale wa sumu—ukijibu unajichoma, ukikaa kimya unajisulubu. Ukisimama nchale, ukikaa nchale. Chagua moja. Kila hoja aliyopiga shahidi, TAL ameipokea kwa kifua na kuirudisha kama kombora la masafa marefu, likiacha upande wa mashtaka ukiwa umeduwaa macho wazi. TAL anakuacha uongee, unajiona mjanja unajaza kurasa, halafu anakuuliza swali la kiufundi, ghorofa lako la uongo linapata mtetemeko wa ardhi na kuporomoka. Mashahidi waliodhani wamejificha kwenye kijeneza, wamejikuta wakitolewa nishai kwa (cross-examination) wakasahau wameletwa siku gani Dar Es Salaam. Wale waliojificha wakidhani wako salama, wamejikuta wakitolewa. Tundu Lissu anapiga kotokoto ya kisheria mpaka shahidi anatamani ardhi ipasuke amezee. Tundu Lissu hajawashona tu mashahidi, amewatengenezea “suti ya chuma” ambayo haina tundu la kupumulia. Watachagua wenyewe sehemu ya hewa. Amewatazama usoni na kuwatandika maswali ya mfululizo (rapid fire) wakajikuta wanasema “Ndiyo” mahali ambapo walitakiwa kusema “Hapana.” Amewachana kwa kuonyesha kuwa maelezo ya ushahidi wao waliyotoa wakiwa polisi na maelezo wanayotoa wakwia mahakamani ni kama mbingu na ardhi. Jamhuri walianza kwa mbwembwe, lakini baadae kila wakimwangalia TAL wanajisikia kama wako mbele ya mwalimu mkuu mwenye rula ya chuma mkononi. Tundu A.M Lissu amewashona ipasavyo mashahidi wa Jamhuri kwa “shati la mbao” bila kutumia uzi, akitumia vifungu vya sheria vinavyouma kuliko pilipili kichaa. Mwisho wa siku, lile jeneza la ushahidi wa Serikali ambalo lilidhaniwa kuwa ni “falsafa isiyotingisika,” limebaki kuwa box la kiberiti lililoingia maji. Tundu Lissu amegonga kila msumari uliokuwa unashikilia jeneza la mashahidi, amepasua na kuacha kila kitu kikiwa wazi huku upepo wa haki ukipuliza ndani yake. Kesi imeahirishwa, mwangwi wa hoja za TAL bado unatingisha kuta za mahakama. Mashahidi wamechoka, TAL, akitabasamu akisema: “Hii ni round ya kwanza tu!” Sheria siyo lelemama, na Tundu Lissu ameithibitisha leo kuwa ukiingia uwanjani bila jezi, utacheza uchi!. MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
Martin Maranja Masese tweet media
Indonesia
22
136
876
26.3K
SYLCON BUILDERS retweetledi
𝗭𝗘𝗗
𝗭𝗘𝗗@zed_officially·
Natka nilichukue sasa, Demu alikuwa anakaa na bibi yake tu kwahyo hukukuwa na restrictions sana kamuchukua demu akaweka dani Wamekaa week moja demu akaanza kuumwa kila siku anaumwa umwa tu shida nini jamaa akawa anauliza demu nae haelewi Ndo pale jamaa akamchukua demu wakaenda
Indonesia
1
3
48
14.4K
SYLCON BUILDERS retweetledi
CineBlast🍿
CineBlast🍿@Binamu01·
Bro, kuna kipindi maisha hayadanganyi tena Kuna umri unapofika, kila kitu kidogo ulichokuwa unapuuza nyuma kinaanza kudai ushahidi/receipt. Hapa ndipo unagundua kwamba kizuizi kikubwa kwenye maisha yako sio watu… ni tabia zako za zamani unazokumbatia bila kujua. Kitu cha kwanza kinachokuteka ni simu. Ulipaswa ku-check kitu kimoja, dakika 30 zimepita. Kwenye umri huu, kupoteza muda sio mchezo ni kupoteza maisha. Hakuna mwanaume anayejenga future akiwa mtumwa wa screen yake. Kisha unagundua tabia moja hatari sana ni kuahirisha vitu vidogo. Leo hujaanza. Kesho unaanza. Kesho hiyo haifiki. Maisha hayabadiliki kwa plan kubwa, yanabadilika kwa kufanya kitu kidogo ambacho hutaki kukifanya… kila siku. Na kuna hii tabia ambayo huwezi kuiona mpaka ichomeshe: kutafuta comfort kuliko progress. Kila unachokwepa leo, kitakurudia kesho kikiwa na meno makali. Maumivu ya sasa yanajenga misuli ya kesho na hakuna njia ya kuikwepa. Wakati huo huo, unaishi bila mpangilio. Hakuna routine. Hakuna priorities. Hakuna direction. Umri ukienda mbele, maisha bila direction yanakuwa kama gari lisilo na dereva linatembea tu, lakini halifiki popote. Hapo ndipo unagundua hatari ya kutafuta validation ya watu. Unavaa kwa kuangalia macho yao. Unanunua kwa mawazo yao. Unaamua kwa matakwa yao. Lakini future yako haitakuuliza watu wanasemaje. Itakuuliza: Ulifanya nini? Halafu kuna hii tabia ambayo wanaume wengi hawajui inawaangusha kushindwa kusema HAPANA. Unapoteza pesa, muda, energy, kwa sababu unaogopa kuonekana mbaya. Lakini mwanaume anayekataa vibaya leo, analindwa vizuri kesho. Na kuna tabia hii ya kuishi kama kijana wa 19 wakati umri unaenda 30. Outings zisizoisha, mademu kila direction, manunuzi ya show-off. Umri huu unakufundisha kitu kimoja: pesa sio ya kuonekana, ni ya kuishi. Bro, cha ajabu ni kwamba tabia hizo ndogo ndogo ndizo zinakujenga au zinakuangusha kimya kimya. Na hatua za kubadilisha maisha haziji na kishindo zinakuja kwa mwendo wa kutembea, sio kukimbia. Kila siku unafanya nini bila kushindwa? Kurasa 2? Dakika 5 za mazoezi? Akiba elfu 1? Kuzima simu saa moja? Kusoma kitu kimoja kipya? Hapo ndipo mwanaume mpya anaandikwa. Halafu unakuja kwenye kitu kikubwa kuliko motivation yote duniani: Identity. Usiseme “najaribu kubadilika.” Sema “mimi ni mtu anayebadilika.” Usiseme “najaribu kuokoa pesa.” Sema “mimi ni mtu anayeheshimu pesa.” Ukibadilisha jinsi unavyojiona, tabia zinabadilika na matokeo yanajipanga yenyewe. Bro, reality ya umri wa 25–30 ni rahisi kuelewa: maisha yanakufinya ili ukatae ile version ya zamani. Uzinzi, uzembe, comfort zone, show-off, kutafuta approval, kutokua na mpango— vyote vinakufundisha somo moja: Kile kidogo unachofanya leo ndicho kinachokuandikia kesho Hakuna shortcut. Hakuna kelele. Hakuna shangwe. Ni consistency. Ni nidhamu. Ni identity mpya. Ni kujenga mwili wa tabia, sio mwili wa bahati. Bro, mwanaume ambaye anajijenga kimya kimya leo, anakuja kuwa hatari miaka michache mbele. Kidogo + mara nyingi = maisha mapya. Hapo ndipo future ya mwanaume mzima inaanzia. Usipo ni follow leo huenda usikutane na page yangu tena @Binamu01
CineBlast🍿 tweet media
Indonesia
9
38
113
6.4K
SYLCON BUILDERS retweetledi
ARISTOTLE 🇻🇦🇻🇦
ARISTOTLE 🇻🇦🇻🇦@noah_mwamfupe·
RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA.....................✝️🙏 Padre Aanguka na Kufariki Baada ya Kurudisha Ekaristi Takatifu kwenye Tabenakulo Jumapili iliyopita, tukio la huzuni kubwa lilitokea wakati wa Misa Takatifu huko Wiesmath, katika wilaya ya Wiener Neustadt. Padri wa parokia anayependwa sana, Padri Raimund Beisteiner, alianguka ghafla alipokuwa anarudisha kwa heshima Sakramenti Takatifu (Ekaristi) kwenye tabenakulo. Licha ya msaada wa haraka uliotolewa, alifariki muda mfupi baadaye ndani ya kanisa. Tukio hili la kusikitisha limeutikisa kwa kina jumuiya ya waamini wa parokia hiyo pamoja na wote waliokuwapo. Padri Raimund alikuwa mchungaji mwaminifu na mwenye kujitoa kwa dhati, na kifo chake cha ghafla kimeacha pengo kubwa katika mioyo ya waamini wake, familia yake, na wote waliomfahamu. Tunamkabidhi roho yake kwenye rehema isiyo na mipaka ya Mungu, na tunaomba kwa unyenyekevu dua kwa ajili ya pumziko lake la milele, faraja kwa familia yake inayohuzunika na jumuiya ya parokia, pamoja na wote walioshuhudia tukio hili lenye maumivu makubwa. Pumziko la milele umpe, ee Bwana, na mwanga wa milele uangaze juu yake. 🕯️
ARISTOTLE 🇻🇦🇻🇦 tweet media
Indonesia
22
28
221
17.8K
SYLCON BUILDERS retweetledi
Anna Tibaijuka
Anna Tibaijuka@AnnaTibaijuka·
06.02.2026. KUMBUKIZI YA MIAKA 27 YA KIFO CHA PROFESA Dr HUBERT KAIRUKI, RIP. Muasisi wa hospitali na Chuo Kikuu cha Afya Mikocheni Dar es Salaam na Boko. Tunu ya taifa uliyeacha alama za kudumu katika tasnia ya afya. MZEE WA ATIKALI leo katusaidia kueleza mafanikio yako kwa kirefu huko Facebook. Hapa itoshe kuhimiza Vijana kupitia ATIKALI hiyo ili iwe kichocheo cha kutokatishwa tamaa na yeyote katika kutekeleza ndoto zenu. Ushuhuda wangu mimi ni mmojawapo wa wanawake wajawazito tuliolazimika mwaka 1986 kujifungulia hospitali ya Hindu Mandal na kwingineko huku hospitali yako mpya Mikocheni ikiwa tayari ila imefungwa kwa kukosa kibali cha Waziri wa Afya kwa visingizio tu vya sheria. Tumetoka mbali. Nachukua nafasi hii kumpongeza wifi yangu Mama K kwa kufanikisha utekelezaji wa maono na mipango yako yote kwa kushirikiana na wanae makini. Mfano wa kuigwa. Aidha ninamshukuru Hayati Mama Barbro Johansson mumisionari wa KKKT Bukoba aliyesaidia kwa kulipa karo yako ya sekondari na Makerere. **** *KUMBUKIZI YA MIAKA 27 YA KIFO CHA PROF. KAIRUKI: MAONO YAKE YATIMIA* ---------------------------------------------------------------- _*"Mzee wa Atikali"*_ ✍️✍️✍️ *Februari 6, 2026* 0754 744 557
Anna Tibaijuka tweet media
Indonesia
14
64
518
26.3K
SYLCON BUILDERS retweetledi
Will
Will@WillAttract·
".. when intimacy is steady, a man stops surviving and starts creating..."
English
1.4K
23.3K
182.5K
17.6M
SYLCON BUILDERS retweetledi
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
Hapa kuna orodha ya nchi zilizo na akiba kubwa ya dhahabu: 1. *Marekani (🇺🇸)*: tani 8,133 2. *Ujerumani (🇩🇪)*: tani 3,350 3. *Italia (🇮🇹)*: tani 2,452 4. *Ufaransa (🇫🇷)*: tani 2,437 5. *Urusi (🇷🇺)*: tani 2,330 6. *Uchina (🇨🇳)*: tani 2,304 7. *Uswisi (🇨🇭)*: tani 1,040 8. *India (🇮🇳)*: tani 880 9. *Japani (🇯🇵)*: tani 846 10. *Uholanzi (🇳🇱)*: tani 612 11. *Uturuki (🇹🇷)*: tani ~595-641 12. *Polandi (🇵🇱)*: tani ~448-515 13. *Ureno (🇵🇹)*: tani 383 14. *Uzbekistan (🇺🇿)*: tani ~361-362 15. *Kazakhstan (🇰🇿)*: tani ~324 Chanzo: World Gold Council / IMF IFS (Q3 2025 data, latest updates January 2026) Hiyo orodha ina nchi zilizo na akiba kubwa ya dhahabu duniani. Marekani inaongoza kwa tani 8,133, ikifuatiwa na Ujerumani (tani 3,350) na Italia (tani 2,452). Urusi na Uchina pia zina akiba kubwa ya dhahabu, tani 2,330 na 2,304 mtawalia. Kwa upande wa Afrika, nchi zenye akiba kubwa ya dhahabu ni: - *Algeria*: tani 174 - *Afrika Kusini*: tani 125 - *Libya*: tani 117 - *Misri*: tani 80.73 - *Moroko*: tani 22.12 Tanzania ina akiba ya dhahabu ya takarira tani 2.2, na serikali ina mpango wa kuuza akiba hiyo Kwako @godbless_lema @MariaSTsehai @TitoMagoti @IAMartin_ @MabalaMakengeza @HecheJohn @comanchechiefIV
Tanzania Abroad TV tweet mediaTanzania Abroad TV tweet media
Indonesia
62
106
695
74.7K
SYLCON BUILDERS retweetledi
Tundu Antiphas Lissu
Tundu Antiphas Lissu@TunduALissu·
EDWIN MTEI: MJENZI WA NCHI, KIONGOZI WA MFANO Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe na wanafamilia wa marehemu Edwin Mtei, Viongozi, wanachama na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndugu wananchi, waombolezaji, mabibi na mabwana; Nimepokea taarifa za kifo cha Mwenyekiti Mwanzilishi na Mwasisi wa Chama chetu, marehemu Edwin Isaac Mbiliewi Mtei kwa masikitiko makubwa. Katika hili nafikiri sitakosea nikisema kwamba siko peke yangu. Hata hivyo, naombeni mniruhusu niwape pole nyingi watoto, wajukuu, ndugu na wanafamilia wa marehemu Mzee Mtei. Salamu hizi za rambirambi zinawahusu pia viongozi, wanachama na wafuasi wote wa CHADEMA popote walipo katika nchi yetu na nje ya nchi. Aidha, Mzee Mtei alisimama katika mstari wa mbele kabisa katika harakati za ujenzi wa nchi yetu; kwa sababu hiyo, salamu hizi ziwafikie pia wananchi wote wa Tanzania katika ujumla wao. Maandiko Matakatifu yanatufundisha katika Zaburi 90:10, kwamba “miaka ya kuishi ni sabini, au tukiwa wenye afya, themanini…” Mwenyezi Mungu alimbariki marehemu Mzee Mtei kwa kumpa ziada ya miaka ishirini na nne (24) katika gawio lake la kawaida la miaka ya hapa duniani; na alimzidishia miaka kumi na minne katika nyongeza yake ya miaka kumi kwa wenye afya. W.E.B Dubois, kiongozi wa harakati za ukombozi wa Waafrika duniani, aliandika katika kusherehekea miaka tisini ya kuzaliwa kwake kwamba “…kama kuishi hakukupi thamani, busara na maana ya maisha, basi hakuna sababu yoyote ile ya kuishi.” Miaka tisini na nne (94) ya maisha ya marehemu Mzee Mtei yalitupa thamani kubwa, yalijaa busara tele na yalikuwa na maana kubwa. Naomba nikope maneno ya Amiri bin Sudi, au kwa jina lake maarufu ‘Andanenga’, mtenzi na mshairi maarufu wa Kiswahili, pale aliposema: Mzee Mtei …. “alisheheni sifa nyingi sana, njema zisizo idadi, za marefu na mapana, hazipimiki kwa yadi, ilobaki sisi kushindana, dua tumuombe wadudi, ampokee Baba yetu, kwa fukisho la ubani, udi na uvumba.” Ndugu Waombolezaji, Marehemu Mzee Mtei alikuwa mmojawapo wa wajenzi wakuu wa misingi mikuu ya kiuchumi ya nchi yetu, hasa katika miongo miwili ya mwanzo ya Uhuru. Alikuwa mmojawapo wa wasomi mahiri wa kwanza katika fani ya uchumi wa mara baada ya Uhuru. Kwa sababu ya umahiri wake, haikuwa ajabu kwamba pale wakuu wa nchi za Afrika Mashariki walipoamua kuvunja iliyokuwa Bodi ya Sarafu ya Afrika Mashariki, na kila nchi kuanzisha Benki Kuu yake, Edwin Mtei aliteuliwa kuwa Gavana Mteule, hata kabla Benki Kuu yenyewe haijaanzishwa rasmi. Kwa vyovyote vile itakavyokuwa, jina la Edwin Isaac Mbiliewi Mtei litahusishwa milele na Benki Kuu ya Tanzania; jina na saini yake yalikuwa kwenye noti za kwanza kabisa kutolewa na Benki Kuu ya Tanzania kati ya mwaka 1966 na 1974; na kati ya mwaka 1978 na 1981 alipokuwa Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa nafasi yake ya Gavana wa Benki Kuu na baadae Waziri wa Fedha, Mzee Mtei alikuwa mmoja wa washiriki wakuu katika kutunga na kutekeleza sera za kiuchumi za serikali ya Mwalimu Nyerere. Historia halisi ya nchi yetu haiwezi kumtenganisha Mzee Mtei na Azimio la Arusha lililopelekea utaifishaji wa mali za makampuni na mashirika binafsi na kuanzishwa kwa mfumo wa serikali kuhodhi njia zote muhimu za uchumi, yote yakifanywa kwa jina la Ujamaa na Kujitegemea. Na wala historia ya kweli ya nchi yetu haiwezi kumtenganisha Mzee Mtei na kushindwa kwa sera hizo kuanzia miaka ya mwisho ya sabini. Alikuwa ‘jikoni’ wakati sera hizo zinaandaliwa; na alikuwa mmoja wa ‘wapishi’! Heshima yake kuu, na mchango wake kuhusu suala hili ambalo historia ya nchi yetu itauenzi milele ni huu; Mzee Mtei hakunyamaza mara alipogundua kwamba sera za kiuchumi za serikali yake, sera alizoshiriki kuzitunga na kuzisimamia hazitekelezeki tena. Mzee Mtei alimkabili Mwalimu na kumweleza ukweli wake; kwamba sera za kiuchumi za Azimio la Arusha zilikuwa zimeshindikana kutekelezwa; akamshauri Mwalimu kubadili msimamo wake ili kwenda sambamba na mahitaji ya nyakati na hali halisi ya uchumi wa kimataifa
Indonesia
21
477
1.8K
52.4K
SYLCON BUILDERS retweetledi
Akech Andrew
Akech Andrew@akech_andrew·
Aliko Dangote started a telecommunication company and failed. He also started a textile company and failed terribly. He started a Dangote Airlines and failed a few months later. He then started a tomato sauce factory that also failed after a few months of operation. Aliko Dangote this time started Dangote Millers which he failed to maintain and ended up selling it to South African company for $200m before buying it back at half the price he sold it. This time Dangote started Dangote cement which became his first successful business. Sugar business followed and so did oil refinery. Failing doesn't mean you won't succeed, it means you're learning.
English
247
1.9K
9.3K
587K
Mohammed Dewji MO
Mohammed Dewji MO@moodewji·
Niko mbioni kuzindua Mfuko wa Ubunifu (Startup Fund) wenye thamani ya shilingi bilioni 25 kusaidia wana teknolojia, akili bandia (AI), fintech, na wabunifu wa kiteknolojia hapa Tanzania na Afrika. Tutatoa michango na uwekezaji kusaidia vijana wabunifu wenye mawazo ya kubadilisha dunia. Andaieni mawazo yenu — muda umefika! #Ubunifu #Teknolojia #AI #Fintech #Tanzania #AfricaRising
Indonesia
213
244
1.6K
103.6K
SYLCON BUILDERS retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
MIKA LUCAS CHAVALA. Kitu ambacho anafikiri @MikaChavala kinafanana sawa na fikra za waasisi wa mataifa mengi ya Afrika na waasisi wa Pan-Africanism ambao wengi walikuwa na mtazamo wa kuwa na Afrika moja yenye nguvu moja. Fikra za MIKA CHAVALA ni sawa na walivyokuwa wanaitazama Afrika watu kama; J.K Nyerere, Marcus Garvey, W.E.B. Du Bois, Kwame Nkrumah, Ahmed Sékou Touré, Haile Selassie, Thomas Sankara, etc. Leo ubongo wa mtu mahiri kama MIKA CHAVALA hatutaki kuutumia, wahuni wamemkamata na kumpa kesi ya uhaini ili wamnyonge. Halafu bungeni wamempeleka Baba Levo na Babu Tale na Kibajaji. Ni huzuni. Mfano katika video hii, MIKA CHAVALA anamzungumzia Afrika moja akisema kuwa nguvu ya kiuchumi na usalama bara la Afrika iko katika kuzungumza kwa lugha moja na kutenda kama kambi moja (single bloc). Anasema kwamba, Afrika iliyoungana ikiwa na pasipoti moja, sarafu moja na mifumo ya kiuchumi shirikishi itapunguza utegemezi wa fedha za kigeni, itaimarisha taasisi kuu za kifedha za bara la Afrika. Hii itaongeza ushawishi wa Afrika katika wigo wa ushawishi wa kisiasa duniani kote, ikiwa ni pamoja na katika vyombo kama vile Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (United Nations Security Council) Pia, anasisitiza kuwa kilimo na rasilimali mbalimbali za Afrika zinaweza kuwa rasilimali yenye nguvu ikiwa nchi za Afrika zitashirikiana kwa karibu zaidi katika uzalishaji na soko. Hapa anazungumzia ufungamishaji. Kwa kuunganisha masoko, kusaidia wakulima wa ndani, na kufanya biashara ya bidhaa muhimu wenyewe kwanza, Afrika inaweza kuimarisha usalama wa chakula na kupunguza utegemezi wa bidhaa za nje. Anasisitiza, umoja huo utafanya bara la Afrika kustahimili vikwazo zaidi, kuipa Afrika uwezo wa kujiwekea masharti katika biashara ya kimataifa, na kufungua uwezo wake kamili wa kiuchumi. Hivi akili kama hii unaifungia ndani ya gereza kwa sababu tu aliunga mkono maandamano ya vijana wenzake kudai haki za msingi na haki za kiraia – unammshtaki kwa uhaini ili umnyonge? Mmechanganyikiwa. Unabeba NG’OMBE za kutosha na kuzipeleka bungeni halafu akili timamu kama hii ya MIKE CHAVALA na wengine wengi unazitunza gerezani kwa kesi za uhaini wa uongo. Ni wazi kwamba HAMJITAMBUI kabisa. Kimsingi, atapata msaada wa kisheria hata kama mtagoma kumuachia huru bila masharti. You don’t just jail a working brain, instead you have to use it #freemikachavala #freemikachavala
Indonesia
45
371
1.3K
33K
SYLCON BUILDERS retweetledi
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
“Chanzo kikuu cha matatizo ya Taifa la Tanzania si mabeberu wala mataifa ya kigeni, bali ni mifumo mibovu na maamuzi ya ndani yanayofanywa na Watanzania wenyewe. Taifa haliwezi kupata suluhu ya kudumu bila kujitazama kwa uaminifu.” Manyerere Jackton
Indonesia
9
114
653
15.5K