tabitha

3K posts

tabitha banner
tabitha

tabitha

@tabeey1

Tanzania Katılım Mart 2012
530 Takip Edilen1K Takipçiler
tabitha
tabitha@tabeey1·
Ambalo lipo kwenye pango ambalo umeshalilipia. Hii Service Levy maana yake ni nini? @ortamisemitz
Filipino
0
0
0
47
tabitha
tabitha@tabeey1·
Kwa niaba ya Wafanyabiashara wengine wanaoumizwa na hili suala la ushuru wa ‘MABANGO’ kwenye maeneo ya biashara husika halijakaa sawa. Bango liko kwenye duka ambalo umelipia kodi ya pango, ambapo Serikali imekata tayari kodi yake. Bado unaambiwa ulipie ushuru wa bango
OFISI YA WAZIRI MKUU - TAMISEMI@ortamisemitz

Filipino
1
0
0
138
tabitha retweetledi
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe@zittokabwe·
Katika kumbukizi ya Miaka 10 tangu Mama yetu afariki, kwa watakaojaaliwa, tunawakaribisha katika khitma (HAWLI) ya kumrehemu Mama yetu Hajjat Shida Salum pamoja na ndugu, jamaa, viongozi wetu, wanazuoni na masheikh wetu waliotangulia mbele ya haki. Siku: Jumapili, 02/06/2024 Mahala: Kigoma, Mwanga - Kisangani Muda: kuanzia 4 asubuhi mpaka saa 7 Adhuhuri. Allahumma Ghfirlaha warhamha
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe tweet media
Indonesia
10
16
44
4.3K
tabitha
tabitha@tabeey1·
Mimi nilijaza form kwa matumizi ya Nyumbani. Ilichukua siku 1 kufanya installation na kuwa connected.
Indonesia
0
0
1
293
tabitha
tabitha@tabeey1·
First 10 Days of Iftar time in Kigoma. Ramadan Mubarak ❤️🌙
tabitha tweet media
English
0
1
1
536
tabitha
tabitha@tabeey1·
M/kiti wa Chama Maalim @SeifSharifHamad atahutubia Wananchi wa Jimbo la Kigoma Mjini katika Viwanja vya Shule ya Msingi KIBIRIZI kesho siku ya Jumamosi tar 10/10 kuanzia saa 8:00 Mchana. Wananchi wote mnakaribishwa. @ACTwazalendo @ACTZanzibar
tabitha tweet media
Indonesia
2
22
164
0
tabitha retweetledi
Bernard K. Membe
Bernard K. Membe@BenMembe·
It is gratifying to see my Leader and Brother Hon. Zitto Kabwe recovering well at Aghakan Hospital. I wish him a very safe and a successful surgery that will be performed tomorrow. He has my prayers!
Bernard K. Membe tweet media
English
243
308
5.4K
0
tabitha
tabitha@tabeey1·
M/kiti wa Chama Maalim @SeifSharifHamad na Mgombea Urais #Zanzibar ataunguruma kwenye Mkutano wa Kiongozi wa Chama na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Ndugu @zittokabwe tar 10/10 katika Viwanja vya Shule ya Msingi KIBIRIZI. @ACTwazalendo
tabitha tweet media
Indonesia
3
39
328
0
tabitha retweetledi
Salim Bimani
Salim Bimani@salimbimani2·
Pembaaaa Ya Zambarau inapendeza sanaaa heee Maalim Seif akiwahutubia Maelfu ya Wananchi katika Mkutano wa Kampeni uliofanyoka @ACTwazalendo @zittokabwe @fatma_karume uliofanyika katika Viwanja vya Mapofu jimbo la Wingwi kisiwani Pemba.
Salim Bimani tweet mediaSalim Bimani tweet mediaSalim Bimani tweet mediaSalim Bimani tweet media
Indonesia
2
14
134
0
tabitha retweetledi
Ndolezi
Ndolezi@Ndolezi_Petro·
Wanachii wa Jimbo la Kigoma Mjini wakisoma barua ya aliyekuwa mbunge na sasa ni mgombea Ubunge wa Jimbo hilo ndugu, @zittokabwe kupitia chama cha ACT Wazalendo. Barua hiyo inaelezea namna ahadi zilivyotekelezeka za 2015_2020 na ahadi ambazo anaahidi 2020_2025. #MwamiWanguChaguo
Ndolezi tweet mediaNdolezi tweet media
Indonesia
0
6
22
0