The Chanzo

12.4K posts

The Chanzo banner
The Chanzo

The Chanzo

@TheChanzo

We Are Bilingual Multimedia Storytellers Looking At The World From Ground Up. Una habari? WhatsApp/Telegram 0753815105

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ağustos 2020
191 Takip Edilen78.2K Takipçiler
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
A Tanzanian court has allowed a citizen's constitutional challenge against the 90-day suspension of JamiiForums to proceed, dismissing government objections. thechanzo.com/2026/03/28/jam…
English
0
3
8
445
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
'Uhifadhi haupaswi kutafsiriwa kuwa ni kwa ajili ya wanyamapori pekee'
Indonesia
2
5
23
943
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
Ajali ilivyobadili maisha ya aliyekuwa mfanyakazi mradi wa ujenzi Bwawa la Nyerere, alia na fidia kiduchu ya WCF. Asema 'bora ningekufa' Ally Omari Mbelwa ambaye alikuwa fundi chini ya usimamizi wa Mkuu wa Kitengo cha Ujenzi - Power House- Civil Works, kwa sasa ameeleza kukimbiwa na familia yake kutokana na ugumu wa maisha. Anapatikana kwa mawasiliano ya namba za simu 0689749537.
Indonesia
9
69
267
18.9K
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
Mwigulu, Mpango watia neno msibani kuhusu yanayoendelea mtandaoni.
Indonesia
7
2
6
1.2K
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
Lukuvi kuagwa Dodoma, Dar es Salaam na Iringa. Shughuli ya kuuaga mwili wa Marehemu William Lukuvi inaendelea katika viwanja vya Bunge leo Machi 27, 2025, ambapo baada ya shughuli hiyo mwili wa Lukuvi utasafirishwa kwenda Jijini Dar es Salaam. Mnamo Machi 28, 2025, shughuli ya kuuaga mwili wa Lukuvi itafanyika katika viwanja vya Karimjee na baada ya hapo mwili huo utasafirishwa kwenda Iringa Mjini kwa ajili ya shughuli ya kuuaga mwili huo mnamo Machi 30. Mazishi yanategemewa kufanyika katika kijiji cha Idodi wiliya ya Iringa.
Filipino
4
3
26
3.3K
shebby _Nkya
shebby _Nkya@shabanbashir1·
@TheChanzo Mngekua hamtak taarifa ifike mngeacha kuliko kukatakata sauti
Indonesia
1
1
5
1.7K
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
Hofu yatanda kwa wafanyabiashara wa Coco Beach: Wadai kupewa mwezi mmoja kuondoka kumpisha mwekezaji Wakizungumza na The Chanzo leo, wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo kwenye fukwe za Coco wamesema baadhi ya viongozi na watendaji wa Halmashauri ya Kinondoni waliwaita na kuwapa taarifa ya kutakiwa kuondoka ndani ya siku 30 kupisha uwekezaji. Katika malalamiko ya wafanyabiashara hao, wameeleza pia kusikitishwa na kauli za watendaji hao kwa mfanyabiashara wa kike, kauli zenye viashiria ya kutaka rushwa ya ngono. Kufuatia malalamiko haya ya wafanyabiashara wadogo, The Chanzo inaendelea na jitihada za kuwapata halmashauri ya Manispaa ya kinondoni kutoa ufafanuzi juu ya madai ya wafanyabiashara hawa.
Indonesia
50
53
218
49.5K
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
Wadau wakutana UDSM kujadili uhifadhi kwa mtazamo wa Kiafrika.
Indonesia
2
6
21
1.9K
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
Serikali kuendelea kutoa fursa za masomo nje ya nchi kwa wanafunzi wanaofanya vizuri.
Indonesia
0
4
18
1.1K
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
Wadau wajadili kuongezeka kwa unyanyasaji wa kijinsia mtandaoni Tanzania.
Indonesia
1
3
9
857
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba azungumzia kifo cha Lukuvi, 'tumekutwa na jambo zito, gumu kulipokea'
Suomi
6
2
10
2.4K
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
Utafiti wa mazao ya Ziwa Tanganyika watajwa kutoa dira ya uendelevu na uhifadhi.
Indonesia
1
4
12
558
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
Kigoma yaweka mikakati ya kudhibiti vifo vya mama na mtoto.
Indonesia
0
2
6
527