shebby _Nkya

686 posts

shebby _Nkya

shebby _Nkya

@shabanbashir1

Entrepreneur 🎂06January 🏠 Dar es salaam Tanzania

Tanzania Katılım Ağustos 2014
377 Takip Edilen67 Takipçiler
shebby _Nkya
shebby _Nkya@shabanbashir1·
@TheChanzo Mngekua hamtak taarifa ifike mngeacha kuliko kukatakata sauti
Indonesia
1
1
5
1.7K
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
Hofu yatanda kwa wafanyabiashara wa Coco Beach: Wadai kupewa mwezi mmoja kuondoka kumpisha mwekezaji Wakizungumza na The Chanzo leo, wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo kwenye fukwe za Coco wamesema baadhi ya viongozi na watendaji wa Halmashauri ya Kinondoni waliwaita na kuwapa taarifa ya kutakiwa kuondoka ndani ya siku 30 kupisha uwekezaji. Katika malalamiko ya wafanyabiashara hao, wameeleza pia kusikitishwa na kauli za watendaji hao kwa mfanyabiashara wa kike, kauli zenye viashiria ya kutaka rushwa ya ngono. Kufuatia malalamiko haya ya wafanyabiashara wadogo, The Chanzo inaendelea na jitihada za kuwapata halmashauri ya Manispaa ya kinondoni kutoa ufafanuzi juu ya madai ya wafanyabiashara hawa.
Indonesia
51
54
220
51.7K
MO 29 TV
MO 29 TV@MO29TV·
Shangwe la wananchi lawaibua wauaji.
MO 29 TV tweet media
Indonesia
77
56
494
24.3K
Narrowbeefly
Narrowbeefly@Narrowbeeflying·
Mbona watu wanahaha sana mtaani kutafuta Nida, kuna nini?
Filipino
22
22
657
52K
mimilicious🌹🍒
mimilicious🌹🍒@amina_hafidh·
Devera wa daladala niliyopanda kamuona shoga kavaa kijora kampelekea gari kabisaa anataka kumgonga 😆😆😆😂😂 Yule shoga akaruka 🤣🤣🤣
Filipino
18
14
319
25.1K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Habari za leo? Naomba utusaidie kutoa taarifa huenda ndugu zake watapatikana. Huyu kijana ameanguka ghafla maeneo ya Kimara mwisho. Alikuwa amebeba deli la maandazi anauza. Tumemkimbiza kituo cha afya Kimara kujaribu kuokoa maisha yake, lakini haikuwezekana. Madaktari wamesema tayari alishapoteza maisha kabla ya kufikishwa kituoni. Tumejaribu kuangalia kama ana kitambulisho chochote lakini hana. Tunaomba usaidie kupost ili ndugu zake wapatikane au kwa yeyote anayemfahamu afike kituo cha afya Kimara.!
Hilda Newton tweet media
Indonesia
103
209
781
43K
ЄƦ30
ЄƦ30@ercurry_·
Hivi inawezekana ukafanya biashara zako daslam lakini unaishi mkoani?
Indonesia
8
5
64
3.2K
nyakyusaboy
nyakyusaboy@nyakyusaboy·
Ila tweeter,zamani janja alikua anapata engagements za kutoshaa Ona saiv 😂😂😂
nyakyusaboy tweet media
Eesti
12
4
24
20.6K
shebby _Nkya
shebby _Nkya@shabanbashir1·
@Aruatani Shabby juz alisema wanakuja kweny biashara wanatusumbua na Hela za wizi
Indonesia
0
0
1
14
shebby _Nkya
shebby _Nkya@shabanbashir1·
@koku_shekya unaona kwa macho na unapima taste kwa ulimi tofaut ipo hapo
Filipino
0
0
0
24
Koku Shekya🇹🇿
Koku Shekya🇹🇿@koku_shekya·
Vyakula vya mitandaoni bana picha nzuri , ukiagiza sasa chakula kibayaa mxiuuu
Română
25
13
165
9.4K
Shababi a true leader
Shababi a true leader@blazadadee1·
Ukipiga bakora vizuri demu hawezi kukusahau. Nina ushuhuda.
Indonesia
31
31
465
34.3K
shebby _Nkya
shebby _Nkya@shabanbashir1·
@Eng_Matarra Namba DY gear bax haina 2weeks ya japan engine nimefunga mswaki mwez wa 10
Filipino
0
0
0
7
JAPHET MATARRA
JAPHET MATARRA@Eng_Matarra·
Habari wakuu. Najua bajeti yako ni finyu. Hebu nikusaidie jambo moja. Uweke OFFA yako mezani unaiambie unataka gari aina gani tuone kama inawezekana.
Indonesia
73
19
324
21.3K
shebby _Nkya
shebby _Nkya@shabanbashir1·
@Kushppapii Wanakwambiaa ntakupa badae muda wa kushuka anakwambia sijapata oya af ndo msimbaz B
Indonesia
1
1
1
49
Bura28
Bura28@burafissoo28·
@EliabuDanford Huna akili Rwanda Kwa Tanzania ni kama wilaya tu hawana uwezo wa kutuzudi chochote
Indonesia
5
0
2
2K
Son of God
Son of God@EliabuDanford·
Mpaka wa Tanzania na Rwanda something is up.
Indonesia
12
11
368
32.1K
JAPHET MATARRA
JAPHET MATARRA@Eng_Matarra·
RAUM NEW MODEL 🔥🔥 REG" #DNX ▪️Cc. 1490 ▪️Full Ac 🌧 ▪️Engine-1Nz ▪️Sport Rims 🛞 ▪️Android Tv 🖥 🎶 ▪️Full Documents ✅️ #BEI - 8.5M IPO DAR CALL 📞 📲-0793022184 WHATSAPP-0719542184
JAPHET MATARRA tweet mediaJAPHET MATARRA tweet mediaJAPHET MATARRA tweet media
English
1
4
24
1K
Rubanzibwa Ndyamukama
Rubanzibwa Ndyamukama@joshuasultanPT·
At some point, minimum wage presents just don't make sense and become appalling. Considering the anticipated reciprocity is an embezzler level toot without any terms and conditions like, "if he acts right". Reverse wankers, your gender. Baki na mkanda wako.
CoCo🍫@YourFrenchFry

Ila 😅😅😅

English
1
0
21
4K
shebby _Nkya
shebby _Nkya@shabanbashir1·
@Eng_Matarra Itoshe kusema kaka kila la kheri kwenye kaz yako Allah akufanyie wepesi
Indonesia
1
0
1
15
JAPHET MATARRA
JAPHET MATARRA@Eng_Matarra·
TOYOTA KLUGER 🔥 🔥 🔥🔥 REG" #DLL TOA OFFA YAKO IPO DAR CALL 📞 📲-0793022184 WHATSAPP-0719542184
JAPHET MATARRA tweet mediaJAPHET MATARRA tweet mediaJAPHET MATARRA tweet media
Eesti
2
5
25
1.6K