Top White Wall putty

209 posts

Top White Wall putty

Top White Wall putty

@topwhitetz

Katılım Ağustos 2024
98 Takip Edilen3 Takipçiler
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Tuanzie hapa kwanza kujua, halafu tutaulizana imevimbaje? Imevimba upande wa kushoto au kulia?
Maulid Kitenge tweet media
158
89
1.7K
115.6K
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema taifa linapitia kipindi kigumu kutokana na vifo na uharibifu wa mali vilivyoripotiwa katika vurugu za siku ya uchaguzi Oktoba 29, 2025, na kwamba hatua za msingi zimeanza kuchukuliwa ili kurejesha maelewano na amani. Akizungumza Ijumaa, Novemba 14, 2025, wakati akilifungua Bunge la 13 jijini Dodoma, Rais Samia ameanza hotuba yake kwa kuwataka wabunge na wageni kusimama kwa dakika moja kuwaombea watu waliopoteza maisha. Rais Samia ameongeza kuwa amehuzunishwa binafsi na matukio hayo, akitoa pole kwa familia zilizoondokewa na wapendwa wao, majeruhi na wale walioathiriwa kwa uharibifu wa mali. Ameeleza kuwa Serikali tayari imeunda Tume inayochunguza chanzo na mtiririko wa matukio hayo, ili kutoa mwongozo wa hatua zitakazosaidia kurejesha utulivu.
Indonesia
99
17
106
15.5K
Top White Wall putty
Top White Wall putty@topwhitetz·
@Jambotv_ Wao wanajua , Sisi tunajua, Mungu anajua na shetani anajua hatujawapeleka hapo bungeni!! Na mwisho wenu U karibu sana
Indonesia
0
0
1
89
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, amewataka wabunge wa Bunge la 13 kujiheshimu na kutambua heshima ya nafasi waliyonayo kwa mujibu wa sheria. Akizungumza leo, tarehe 12 Novemba 2025, mara baada ya kuhitimishwa kwa zoezi la uapisho wa wabunge wateule, Mhe. Zungu amewakumbusha wabunge kuwa wameshapata hadhi ya kibunge na hivyo wanapaswa kuwa mfano wa kuigwa katika jamii. “Wote sasa ninyi mna hadhi ya kibunge kwa mujibu wa sheria, na ubunge ni heshima. Mjiheshimu mitaani, mjiheshimu humu ndani, mjiheshimu kwa wananchi wenu waliowaleta hapa,” amesema Spika Zungu.
Indonesia
53
2
50
8.5K
Madenge
Madenge@rollymsouth·
Huyu ndio AG? Nchi nzima mmekosa mtu?
97
179
2K
82.6K
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
HABARI: Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa maazimio ya kikao maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika jijini Dodoma tarehe 5 Novemba 2025, kikiongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kikao hicho ni cha kwanza kufanyika tangu kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Kupitia taarifa iliyotolewa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Laban Kihongosi, kikao hicho kilijadili hali ya kisiasa nchini kabla, wakati na baada ya uchaguzi huo uliofanyika tarehe 29 Oktoba 2025, na kufikia maazimio kadhaa, ikiwemo Kamati Kuu kuwapongeza wananchi wote wa Tanzania kwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura na kuonesha imani kubwa kwa Chama hicho Aidha, Kamati Kuu ya Chama hicho imelaani vitendo vya kihuni na uvunjifu wa amani vilivyofanywa na baadhi ya watu na kusababisha vifo pamoja na uharibifu wa mali za umma na za wananchi. Taarifa imeeleza zaidi kuwa CCM imeazimia kujitathmini na kujiandaa vyema kubeba dhamana ya kuliongoza Taifa, huku kikitoa wito kwa Serikali kuchukua hatua stahiki kuhakikisha nchi inabaki katika hali ya amani na utulivu.
Jambo TV tweet media
Indonesia
116
8
194
40.8K
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeapa lazima imkamate Mwanaharakati wa Mitandaoni Mange Kimambi ambaye ni Mtanzania anayeishi nchini Marekani, kutokana na kile kinachoelezwa kuhamamisha na kuchochea vurugu zilizotokea nchini kuanzia Oktoba 29 mwaka huu Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) Hamza Johari amesema hayo muda mfupi baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Novemba 05.2025 kuendelea kuongoza ofisi hiyo Amesema ni jambo ambalo halikubaliki kuona mtu mmoja tu anahamasisha uvunjifu wa amani nchini halafu baadaye tena anarudi kutamba na kujiapiza kuwa lazima arejee, jambo ambalo amelitafsiri kuwa ni dharau ya kiwango kikubwa kwa serikali na nchi na kwamba jambo hilo halikubaliki "Haiwezekani mtu mmoja amekaa nje ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, dada tu hata ukimuangalia appearance yake, anawaambia watu wakafanye hivyo na wanaenda kufanya kweli, halafu halafu imetokea anaanza kutamba anasema bado nitakuja kivingine, lazima tumkamate" -Hamza Johari Amesema licha ya kwamba vyombo vya Ulinzi na Usalama linafuatilia suala hilo kwa namna yake na kama sehemu ya majukumu yao ya msingi, lakini ofisi yake pia ina wajibu wa makusudi wa kuhakikisha inashughulikia suala hilo Akizungumzia athari zilizotokana na vurugu hizo, Mwanasheria Mkuu huyo wa Serikali amesema mali za watu binafsi na za umma zimeharibiwa ikiwemo gari la ofisi yake mwenyewe ambalo limechomwa moto huku dereva akikimbia 'waandamanaji' "Tumeona mali za watu binafsi zimeharibiwa, tumeona mali za umma including gari la Mwanasheria Mkuu wa Serikali, yaani gari la ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali libachomwa moto?, haiwezekani, nimeambiwa kwamba na gari yetu pia imechomwa moto dereva kakimbia, lakini Wanasheria sisi tuko mahiri, najuwa tu tutakuja na solution zuri, kule kwenye MTC kule tunataka tukafikiri namna fulani ili tuweze kuishauri serikali vizur, najuwa watu wa vyombo vya ulinzi na usalama watafikiri kivyao, wao wana sehemu yao, lakini sisi hatuwezi kusema eti lile ni suala la kiusalama tu hapana, lile pia ni suala la kisheria, yaani sheria zimepuuzwa, zimevunjwa" -Hamza Johari Amesema amelazimika kuzungumzia suala hilo kwakuwa muda mfupi baada ya kula kiapo chake, ameitwa na kuelekezwa majukumu ya kufanya moja wapo ikiwa ni hilo, akitakiwa kuliangalia kisheria na kidiplomasia, na kwamba anaamini jukumu hilo linatekelezeka kwakuwa ofisi hiyo ina watu makini na mahiri wanaohitaji muongozo na uongozi thabiti. CC: Radio 7
Indonesia
136
15
133
26.3K
Jebra Kambole
Jebra Kambole@Advocate_Jebra·
AG wa kuungaunga alitakiwa kujiuliza, Kwanini mtu 1, tena yuko nje na hana mamlaka yoyote, anawaambia watu watoke wakomboe nchi, Mama Samia alisema wasiandamane, AG alisema, polisi walisema, wakuu wa mikoa na wilaya wote walisema lakini hawakusikilizwa! Kwanini hawasikilizwi?
Jebra Kambole tweet media
Indonesia
105
255
1.5K
45.5K
Top White Wall putty
Top White Wall putty@topwhitetz·
@Twaha_Mwaipaya Rumi inabeba historia ya kuogopesha.....nani ataweza kunyanyua mkono wake juu yake?? Ukitaka historia yako ifutike na usikumbukwe na kizazi hata kizazi...ukitaka utawala wako uanguke ndan ya siku moja...Shindana na Rumi!!
Indonesia
0
0
0
63
Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya@Twaha_Mwaipaya·
Kanisa katoliki limewapatia ukumbi waumini wa Gwajima ili jumapili ijayo wafanyie ibada, haya mkafunge tena, #NoReformNoElection
Indonesia
23
241
1.1K
22K
millardayo
millardayo@millardayo·
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida amesema kama kila Kiongozi akijiuzulu kwa misingi ya maumivu ya nafsi hakutokuwa na Uongozi wa Taasisi bali wa hisia huku akimwambia Humphrey Polepole aliyejiuzulu Ubalozi wa Cuba kwamba hisia za Mtu binafsi haziwezi kuwa mizani ya uhalali wa uongozi wa Taifa. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Kawaida amesema “Kwako Polepole, hisia za Mtu binafsi haziwezi kuwa mizani ya uhalali wa uongozi wa Taifa, kukosa amani ya moyo ni hali ya nafsi binafsi, si hoja ya kimfumo, kama kila Kiongozi akijiuzulu kwa misingi ya maumivu ya nafsi, basi hatutakuwa na uongozi wa taasisi bali wa hisia, hulka sio nafsi” Balozi wa Tanzania nchini Cuba na aliyekuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Humphrey Hesron Polepole alitangaza kujiuzulu Ubalozi jana July 13 2025 ambapo katika barua yake kwa Rais Samia Suluhu Hassan ambayo ameichapisha katika kurasa za mitandao yake ya Kijamii jana Polepole amesema amefikia hatua hiyo baada ya tafakuri ya kina juu ya mwelekeo wa sasa wa uongozi Nchini. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
106
24
775
58.7K
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu alivyojibizana na Wakili wa Serikali Mkuu Nassoro Katuga kuhusu Lissu kushtakiwa kipindi cha uchaguzi ambapo Katuga ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Franco Kiswaga kuwa hoja ya uchaguzi haiusiani na shauri la uhaini.
Indonesia
16
109
587
24.5K
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Aliyekuwa mbunge wa Viti Maalumu, Ester Bulaya amechukua fomu ya kugombea Jimbo la Bunda Mjini mkoani Mara kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Akizungumza Juni 30, 2025 mara baada ya kuchukua fomu kwenye ofisi za Chama hicho Bunda Mjini, Bulaya amedai kuwa alikuwa CHADEMA kwa mkopo na sasa amerejea rasmi CCM kuendeleza mapambano. Itakumbukwa Bulaya aliwahi kuwa mbunge wa viti maalumu (CCM) mwaka 2010 hadi 2015 kabla ya mwaka 2015 kuhamia Chadema ambapo aliwania ubunge wa Bunda Mjini na kumshinda mwanasiasa mkongwe Stephen Wasira. Novemba 2020 akiwa na wenzake 18 akiwemo Halima Mdee walingia katika mgogoro na Chadema baada ya kuapishwa kuwa wabunge wa viti maalumu pasipo kuruhusiwa na chama hicho kikuu cha upinzani hali iliyopelekea chama hicho kuwatuhumu kama wasaliti.
Indonesia
100
11
135
21.8K
Haji Manara
Haji Manara@HajiManara·
Alhamdulillah 🙏 Champions Again and Again and Again Asante sana Mungu 👏🏻👏🏻 Yes:: Makolo hata wacheze na Yanga mara mia zote watafungwa, Si walitaka Marefa toka nje ya Nchi ? Kiko Wapi sasa?? Nyie Bata hata achezeshe Mwamedi na Ngungu tutawapakata Pyeee🤪🤪 @YoungAfricansSC 🏆
Haji Manara tweet media
Indonesia
82
106
1.5K
24.3K
Mrisho Gambo
Mrisho Gambo@mrishogambo·
Nimejitolea kuwapa habari kama msamalia Mwema!
Mrisho Gambo tweet media
Indonesia
20
3
110
5.1K
mwijaku
mwijaku@MwijakuBurton·
BODI YA WAKURUGEMZI YOTE IVUNJWE TUANZE UPYA SIMBA . HATUWEZI KUA WATUMWA MUDA YOOTE HEAL NOOOOOO NOOOO
Indonesia
130
11
524
35.4K
mwijaku
mwijaku@MwijakuBurton·
CROWN FM LIVE : LEO TUTACHAMBUA AINA ZA NYUMBU TULIO KUA NAO TANZANIA. WETAG MANYUMBU UNAO WAJUA HAPA TANZANIA .
mwijaku tweet media
Indonesia
80
0
125
8.2K
SIR JEFF⚡🇹🇿
SIR JEFF⚡🇹🇿@Sirjeff_D·
Hii picha nilipost leo asubuhi, kuna ndugu yangu mmoja akanipigia simu, anasema — Jeff achana na haya mambo Nikamjibu — haya ni mambo yangu, ni mambo yetu, na ni mambo msingi, naachanaje nayo? Nikamwambia kabla sijalala nita-post tena
SIR JEFF⚡🇹🇿 tweet media
Filipino
87
419
2.7K
49.9K