Official TripleA
2.5K posts

Official TripleA
@triplea_adam
Computer Engineer|Network Administrator|Database Administrator|Computer Maintenance (Hardware& Software) and repair
Katılım Temmuz 2022
605 Takip Edilen647 Takipçiler

@11Dnvr @GeorgeIffo ni standard tu alizoweka, pep n mshindani anahitaji team watakayo zungumza lugha moja na backup ya hela ya kutosha
sio kochà wakubakisha team ligi kuu ila ni kochà wakushindania Mataji..
Indonesia

Sidhani kama anakwepa kwasababu hawezi kujipeleka, hajawahi kufika kwenye level ambayo hadi Everton wanaweza kuona watamuweza. Swali linaweza kuwa kwanini timu kubwa zinamuamini.
Icard@mtera_lucas
Mnahisi kwanini huyu jamaa anakwepa kufundisha team za daraja la Kati kama ilivyo kwa wenzio Ancelotti na Mourinho na bado walipata mafanikio
Indonesia

@NyeupeNyeusi @millardayo 😂😂 sema wanetu wnaaminia sana hay maigizo
Indonesia

@triplea_adam @millardayo Hakunaga cha moshi pale ni janja janja tuu
Eesti

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kama yeye asingekuwa Rais wa Marekani, Papa Leo XIV asingekuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani akisema Kanisa hilo lilimchagua Leo kuwa Papa sio kwasababu ana sifa kuliko wengine bali ni kwakuwa ni Mmarekani na walidhani watamtumia yeye kumshughulikia Trump.
Rais Trump amesema ““Simtaki sitaki Papa ambaye anamkosoa Rais wa Marekani kwa sababu mimi ninafanya haswa kile nilichochaguliwa, kwa kishindo kikubwa, kufanya kuweka rekodi ya chini kabisa ya uhalifu na kuunda soko la hisa Kubwa zaidi katika Historia, Papa Leo anapaswa kushukuru kwa sababu kama kila Mtu anavyojua, yeye alifanya kila Mtu akapigwa na mshangao hakuwepo kwenye orodha yoyote ya kuwa Papa, na aliwekwa huko na Kanisa kwa sababu yeye ni Mmarekani na walidhani hiyo ndiyo njia bora ya kushughulika na Rais Donald J. Trump”
“Kama mimi nisingekuwa Ikulu, Leo asingekuwa Vatican, kwa bahati mbaya udhaifu wa Leo katika uhalifu, udhaifu katika sila za Nyuklia mimi haunifai na ipo wazi na haiondoi ukweli kuwa yeye Papa Leo hukutana na wanaomuunga mkono Obama kama David Axelrod, Loser kutoka Mrengo wa kushoto, ambaye ni mmoja wa wale waliotaka Waumini wa Kanisa na Maofisa wa Kidini wakamatwe, Leo anapaswa kujirekebisha kama Papa, atumie akili ya kawaida aache kuwahurumia Watu wazito wa Mrengo wa kushoto na ajikite kuwa Papa mkubwa, sio Mwanasiasa, hii inamuumiza sana yeye, na muhimu zaidi, inaumiza Kanisa Katoliki”
#MillardAyoUPDATES

Indonesia

@TriciaAbou @athanas_pius mpira n Sanaa ya kuburudisha na jamaa anafanya kwa 100%
Nb:tupe takwimu za Aucho
Indonesia

@athanas_pius Huyu ukiambiwa leta takwimu zake hana cha maana,
Indonesia

Mlete Kariakoo, utamkataa 😃
huyu ni player wa timu ndogo
Farhan Kihamu Jr@FKihamu
What a player
Indonesia

@EsirEid double standard kila sehemu juzi tu Israel na US wameshambulia eneo la shule na kuua almost 150 ya mabinti wadg na watu walikaa kimya ila Iran kupiga kituo cha Nuclear kilichop kwenye makazi ya watu watu wametoa milio kwa milango yote ya fahm . hapo hatugusa Gaza
Filipino

#TajiriLaKihaya
Kwa hiyo dunia nzima inadai Iran ifungue Mlango wa Bahari wa Hormuz kwa wote, kila nchi inaikosoa Iran, inaipa vitisho…
Lakini kule Cuba, watu waliokuwa kwenye mashine za kupumulia hospitalini walikufa mara moja kutokana na ukosefu wa mafuta baada ya Donald Trump kuzuia usambazaji wake.
Kwa nini hamumkemei? Kwa nini hakuna anayezungumza?
Indonesia
Official TripleA retweetledi

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 225
Mhe. Lissu anaendelea hapa.
Kama mtakumbuka nilisema ninavyoishi Ukonga, siruhusiwi kuonana na Mawakili wangu in private.
Mnaruhusiwa kutembelea Magereza naomba mliangalie na hili kama itawapendeza inawapa Mamlaka ya kutoa mapendekezo na mamlaka za Magereza kurekebisha masuala yanayohusu wafungwa kama haya niliyosema.
Ni muhimu kwamba kuwasiliana na washauri wangu wa kisheria ilindwe kama sheria inavyosema bila kusikilizwa na maafisa wa Magereza.
Ni hayo tu Waheshimiwa
Mhe. Tundu Lissu amemaliza na amekaa sasa.
Majaji wanaandika hapa.
Anasimama Renatus Mkude kuwa tutampatia hizi nyaraka ndani ya siku 14 tutampatia.
Hili la masuala ya utawala wa mambo ya magereza kwa mujibu wa kifungu cha 16 cha National Prosecution Act na sisi ofisi ya DPP tutatembelea ili kuhakisha kunakuwa na fair trial.
Wameombwa Majaji anasema DPP ataenda eti huko Magereza kuangalia haki za Mtuhumiwa. Uongo uongo uongo. Hawana hata aibu hawa jamaa.
Majaji wanaandika baada ya kusikia hayo kutoka kwa Wakili wa Serikali, Renatus Mkude.
Majaji wanajadili pale.
Yuko Jaji muda wote yeye huwa anacheka anafurahi tu sijui huwa anatabasamu jambo gani? Wanaofika hapa Mahakamani wanamfahamu vizuri.
Jaji Ndunguru: Tumesikia hoja za Jamhuri na Hoja za Mshitakiwa nae kama ambavyo mshitakiwa ameturahisishia kuwa mikono yetu imefungwa kwamba yapo hayo maombi ya marejeo Mahakama ya Rufani.
Sasa shauri hili linasimama hadi pale Mahakama ya Rufani itakapotoa uamuzi.
Suala la Gerezani wakili wa Serikali amesema na sisi pia tumelichukua.
Mwenendo wa shauri hili unasimama hadi pale mambo ya Court of Appeal yatakapoisha.
So kesi hii imeahirishwa hadi hapo itakapoitwa tena.
Naomba Repost yako.
Indonesia
Official TripleA retweetledi

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 224
Majaji wameingia muda huu saa nane Kamili Mchana.
Wanaandika pale juu.
Mheshimiwa Lissu ameingia na kuteta jambo na Dr. Nshala tunamsikia anasema waende kokote watakapotaka kwenda tutakutana nao huko. Sasa sijui ni wapi anamaanisha.
Anasimama Renatus Mkude Wakili wa Serikali kwa niaba ya jopo la Mawakili wa Serikali tunaomba radhi kwani tulifikiri tungetumia lisaa limoja.
Mchana huu nipo na Ajuaye, Thawabu Issa na Cathbert Mbiringe. Kwa wote tunawakilisha jamhuri na Mshitakiwa yupo.
Shauri lilipangwa kuendelea na mashahidi. Lakini tumetafakari na tunaitafsiri kwa mujibu wa kifungu cha 6 cha Appellate Jurisdiction Act na kanuni ya 65(1) ya kanuni za Mahakama ya Rufani.
Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) anatoa taarifa ya kuwasilisha taarifa ya mapitio (revision)
Hapa kwanza anakosea Mapitio ni Review alipaswa kusema Marejeo ndio Revision sijui kasoma wapi nae huyu jamaa.😂😂😂
Anaendelea hapa Renatus Mkude, kuwa Notice of motion hiyo imeambatanishwa na kiapo cha Cathbert Mbiringe Wakili wa Serikali ambayo taarifa hii ya kutoa notice kwenda Mahakama ya Rufani imesainiwa leo Tar. 24/02/2026.
Na kupokelewa kwa mifumo ya kielektroniki inayotambulika na Mahakama na kusajili kama. CRIMINAL REVISION NO. 7203216/2026 imepokelewa na Mahakama ya Rufani Tanzania hapa Dar es salaam.
Ambalo chimbuko lake ni Criminal Sessions No. 19605/2025 ambayo iko mbele yenu Waheshimiwa Majaji wa Mahakama Kuu. (Ndunguru, Karyemaha, Kiwonde)
Kwa kuwa shahidi wetu aliyekuwa anafuata ACP Mahamba tuliyemuombea notice additional substamce of evidence na ikakataliwa.
Ni Rai yetu kwamba kwa kuwa shauri hili limeshapokelewa Mahakama ya Rufani haiwezi kusimama ili kuweza kutoa nafasi kwa shauri husika huko Mahakama ya Rufani kuweza kuamuliwa.
Ni hayo tu kwa sasa.
Tunamsubiri Mh. Lissu atajibu nini?
Mhe. Lissu anaanza.
Baada ya kuzikiliza wasilisho la upande wa Mashitaka nina haya ya kusema.
1. Kwa vile mimi nipo gerezani na wanajua nataka wanipatie hiyo nakala ya Notice of Motion waliyofile niweze kuiona.
2. Ninafahamu na ninatumaini na wao wanajua kwamba kwa mujibu wa kifungu cha 8(2)(d) cha Sheria ya Mamlaka ya Rufaa ambacho wamekitaja (Appellate Jurisdiction Act) wanafahamu kwamba hakiruhusu rufaa wala mapitio wala marejeo ya maamuzi ya Mahakama ambayo hayamalizi shauri la msingi. (Interlocutory decisions) sina shaka na wao wanalifahamu hilo.
3. Waheshimiwa Majaji siwaombi mtoe uamuzi wowote kuhusu hili ninalolisema.
Nataka iwe kwenye record kwamba nafahamu na naamini upande wa mashitaka wanafahamu lengo la kupeleka ombi la marejeo Mahakama ya rufani na wanafahamu hairuhusiwi ni kurefusha mashauri haya ili niendelee kukaa Gerezani. Ni hilo tu.
Kwamba tupeleke Mahakama ya Rufani ili huyu mbaya wao ambae ni mimi aendelee kukaa Gerezani.
Kwa vile wananipeleka kwe ye Mahakama ya Rufani nataka niwaeleze kuwa nitawafuata huko huko naenda kuwashughulikia huko huko.
Kama ambavyo kesi yao is dead on arrival najua hata hii revision yao pia imeshakufa.
Tutarudi hapa yakiisha huko ya Mahakama ya rufani tutarejea hapa na nitawashughulikia tukirudi.
Jambo la Mwisho Mawakili wangu wametaka kunipa nyaraka hapa lakini siwezi kupewa hadi nyie mseme.
Sijui wanaogopa nini watu wa magereza nisipewe huo uamuzi hapo ni makaratasi tu.
Naambiwa ni hukumu kutoka huko Umoja Wa Mataifa lakini Magereza wanaogopa nisipewe.
Tena ni uamuzi unaohusiana na mimi kuwepo Gerezani. Tatizo liko wapi?
Jaji anasema uko wapi? Umepelekwa wameuona wamesema wape Mawakili wa Serikali.
Wako wanasoma hapa Mawakili wa Serikali huo uamuzi.
Anasimama Renatus Mkude anasema mimi ni member wa working group za UN Human Rights Council.
Jaji: Tumesema apewe au asipewe?
Renatus Mkude: Apewe tu.
Part 225 itaendelea kwenye post inayofuata,
Naomba Repost yako.
Indonesia
Official TripleA retweetledi

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 222
Katuga anasema kifungu cha 308 ni mlinzi wa kifungu cha 263 cha CPA ni kumfanya mshitakiwa awe aware na ushahidi wote anaokutana nao Mahakama kuu.
Ushahidi upo wa aina nne, real, documentary, testimonial na nyingine nimesahau nitaikumbuka.
Kwahiyo kwa maana ya aina ya shahidi nne zinatakiwa zioneshwe kwa mshitakiwa kabla ya kuwa committed kwenda High Court na kwakuwa kuna takwa hili la 263 kukawekwa kifungu cha 308 ambacho ni mlinzi sasa.
Kwamba hakutakuwa na ushahidi utakaoingia hadi uwekwe wazi basi prosecution wampe notice kuhusiana na ushahidi huo ni lini prosecution wamegundua huo ushahidi. Je mshitakiwa alikuwa na reasonable time kuupitia.
Kif. 308(4) kinazungumzia substance or witness.
Kesi ya Remina Omary Abdul vs Jamhuri CA 189/2020 Mahakama ya Rufaa ilisema, INASEMA IF PART OF THE EVIDENCE IS NOT DISCLOSED.
Mahakama ili quote with approval maneno kuwa additional evidence is allowed.
Sisi tunasema mbali na statement yake kusomwa tunataka kuleta mambo mengine ambayo hayakujumuishwa.
Notice hii ina comply na tafsiri ya sheria na sio tafsiri ya mtu. Iko sheria na tunaomba ikubaliwe.
Katuga kuna maneno pia yamesemwa kuwa notice hii ikiachwa hizo sio hoja. Unamtisha nani? Naona kama anatutisha ni hoja ambayo itafungua pandora na hiyo pandora ni ipi?
Tunaomba mapingamizi yatupiliwe mbali.
Anasimama Mh. Lissu kumjibu Kituga.
Nimesikiliza majibu yao naomba niseme yafuatayo.
1. Kifungu cha 308 cha CPA kinahusu shahidi mpya. Shahidi mpya kimesema ni yule ambaye maelezo yake au substance ya maelezo yake haikusomwa kwenye committal. Kwahiyo kifungu hicho kinahusu shahidi mpya na sio ushahidi mpya. Suala ni shahidi wa ziada na sio ushahidi wa ziada wa shahidi ambae tayari maelezo yake yapo tayari.
2. Kwenye notice hii suala la kuamua sio reasonable au laa. Ni suala la kinacholetwa ni shahid mpya au laa.
3. Hiyo kesi ya Remina Omary Abdul waliyoleta si mara ya kwanza inazungumzwa kwenye Mahakama hii. Ililetwa kipindi kile cha Committal. Inahusu kifungu cha 263 tu. Ukurasa wa 32 ni kuhusu section 246 ambacho ni 263 ya sasa. Kwahiyo hiyo kesi inahusiana na mambo ya Committal basi kifanyeni kwa mujibu wa kifungu cha 308 cha CPA.
Mlango wa Amin Mahamba ulifungwa kwenye committal kama mnataka tafuteni shahidi mwingine sio Amin Mahamba.
Hoja ya kwamba hili ni pingamizi limeletwa pre mature nasema liko timely maana yanayohusika na kesi hii yalishakamilika na kuletwa Mahakamani.
Effect yake ni kunibadilishia shitaka maana shitaka langu ni la tar. 03/04/2025 haya ya October ni mambo mapya.
Mkiyaruhusu kwa kuruhusu notice hiyo na nimesema niko tayari, je wao watayaweza? Kwasababu ya October kuna genocide kuna mass killings, mass murder. Ya October ni magumu sana.
Pingamizi langu litalinda integrity ya shauri hili na mashauri haya. I'm only trying to help them wanafikiri kuna deal pale hakuna deal yoyote.
Angalieni kifungu cha 308 cha CPA.
Hii notice ifutiliwe mbali, naomba hivyo.
Majaji wanateta hapa.
Tunasubiri uamuzi wao kuhusu pingamizi hili.
Jaji Ndunguru amejadiliana na wenzake kwa muda mrefu sana hapa.
Anasema ili tuweze kuandika uamuzi na tutarudi kesho saa tatu asubuhi na tutaendelea na mashahidi wengine.
Naomba Repost yako.
Indonesia
Official TripleA retweetledi

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 221
Jaji Ndunguru ameteta sana na wenzake kama dakika 10 hivi.
Sasa anawasha kipaza sauti.
Anasema yafuatayo: tumesikiliza hoja zote hivyo vijembe vyenu msivilete.
Sasa mshitakiwa alisema anapingamizi na tukasema upande wa mashitaka walete open statement ili Mahakama iamue.
Mambo mengine ya kwamba imeambatana na nini na nini kipo wapi hayo sio mambo ya msingi.
Mshitakiwa endelea sasa, hawa upande wa mashitaka mmemaliza hapo, presentation ya notice na justification ya notice.
Watu wanacheka hapa 😂😂😂😂
Nafikiri mpaka sasa Katuga ameelewa nani ni Bingwa wa Sheria.
Mhe. Lissu amasimam, sasa Waheshimiwa Majaji kwa kuanzia niseme hivi waliyosema wenzetu.
1. Upande wa mashitaka unasema notice yao haileti shahidi mpya bali inaongezea ushahidi wa shahidi ambae ushahidi wake ulishatolewa kwenye committal.
2. Wamemtaja huyo shahidi kwa jina kabisa.
3. Wamesema wameleta viambatanisho vinavyotakiwa kwa mujibu wa kifungu cha 308(2) cha CPA.
Sasa baada ya kusema twende kifungu kinavyosema cha 308
A witness whose statement or evidence was not read during committal......
Kifungu kinasema shahidi mpya.
Kinachotakiwa kuletwa ni jina la shahidi wa ziada, huyu ndio anaweza kutolewa notice.
Wamesema wenyewe hawaleti shahidi mpya bali wanaongezea ushahidi wa shahidi aliyepo.
Sasa huyu shahidi ambae tayari yupo na wamemtaja huyo Shahidi ACP Amin Mahamba.
Sasa waheshimiwa Majaji naomba niwaalike kwenye ukurasa wa 90 na 91 na 99 na 100 wa record ya committal proceedings na ukurasa wa 134 wa record ya Mahakama hii ambapo upande wa mashitaka ulitaja majina ya mashahidi wao.
Huyo Amin Mahamba yupo na mimi maelezo yake ninayo hapa sasa Waheshimiwa majaji hiyo notice inaingiaje mahakamani.
Ushahidi wake tayari upo mahakamani na notice inatakiwa iwe ya shahidi ambae maelezo yake hayakusomwa mahakamani.
Hii sio notice ya additional witness ni notice ya additional evidence ambayo haipo kisheria nimetafuta CPA yote hicho wanachosema hakipo.
Jambo lingine ni kwamba wanaleta ushahidi wa mtu aliyefanya upelelezi wa matukio ya uchaguzi mkuu 2025 sasa Majaji matukio ya tukio ya tarehe 29/10 mimi tayari niko mahabusu
Anasimama Katuga anasema tunapinga anaanza kujadili ushahidi wetu kama mtakubali ni sawa tu.
Lissu: Si ndio kayaleta haya mwenyewe wanakatazaje nisiyazungumzie?
Jaji Ndunguru: Mshitakiwa endelea.
Lissu: amesema mwenyewe kwa mdomo wake hapa Mahakamani. Nilimwambia asibwabwaje sana. Akang'ang'ania kuanza kusema mambo ya tarehe 29/10 ndio maana na mimi nasema hayo ya tarehe 29 mimi nilikuwa jela.
Wanafikiri hayo yatawasaidia maana wanataka kugeuza mashitaka kwa kuleta mambo ya tarehe 29/10/2026. They can not amend the information through the back door. Kama mnataka ku amend information nendeni kwenye kifungu cha 294 ch CPA.
Hiyo wanayoiita notice haipo kisheria. Haitambuliki. Hiyo notice muifutilie mbali. Yaani notice na yaliyomo.
Na mwisho, Wahe. Majaji hiyo notice ikiachwa ikawa sehemu ya record ya Mahakama itafungua sanduku la pandora ambalo lina kila aina ya mambo mabaya ambayo sidhani kama itaweza kushughulika mambo hayo.
Wanataka tuzungumze mambo ya October 29 mtakuwa mmefungulia balaa na isije ikawa shida. Mkifungua huo mlango tutaenda huko. Tutazungumzia mauaji ya kimbali na tutaulizana nani aliyeua watanzania. Hii kitu haina mashiko. Are they ready? Mimi niko tayari. Isiruhusiwe ikiruhusiwa niko tayari?
Jaji tafadhali naomba tusiende huko.
Katuga aliambiwa na Lissu kuwa huwezi kunifundisha Sheria akakataaa. Baada ya Lissu kumaliza hapa. Katuga amekuwa mdogo sana yani. Ni kama anataka kulia.
Katuga anasimama anasema napaswa kufanya nini reply au rejoinder
Mhe. Lissu anasema fanyeni reply halafu mimi ndio nitakuja kumaliza.
Wanakubaliana hivyo.
Part 222 itaendelea kwenye post inayofuata,
Naomba repost yako.
Indonesia
Official TripleA retweetledi

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 183
Mhe. Lissu: Umewahi kutishwa?
Shahidi wa kificho P8: Watu walikuwa wanasema atakae enda kutoa ushahidi watasalimiana nae.
Mhe. Lissu: Ni nani huyo aliyekutisha?
Shahidi wa kificho P8: Siwezi kumtaja?
Mhe. Lissu: Uliandika maelezo yoyote?
Shahidi wa kificho P8: Sikuandika ila nilienda kwa Afande Rashid.
Mhe. Lissu: Kiongozi au mwanachama yeyote wa Chadema aliyekutishia?
Shahidi wa kificho P8: Hawanifahamu.
Mhe. Lissu: Maelezo ya kwamba ulikamatwa na kuhojiwa kwa tuhuma zako yako wapi?
Shahidi wa kificho P8: Sijui mimi
Mhe.Lissu: Kesi hiyo ilifunguliwa?
Shahidi wa kificho P8: Haikufunguliwa mimi walinikamata ni kijana mdogo namshukuru Mungu niko salama, Serikali ina mkono mrefu sana.
Mhe. Lissu: Sina swali lingine Mhe. Jaji.
Watu wanacheka sana.😂😂😂
Jaji Ndunguru: Kuna Re-Examination.
Wakili wa Serikali: Hatuna Re-Examination.
Majaji wanaandika kidogo hapa.
Mawakili wa Serikali wanaomba hairisho mpaka kesho kwasababu hawana shahidi mwingine, leo walikuwa na mashahidi wawili tu.
Jaji Ndunguru: Kesi imehairishwa mpaka kesho saa nne asubuhi upande wa Serikali muhakikishe mnakuja na mashahidi wa kutosha.
Naomba repost yako.
Indonesia
Official TripleA retweetledi

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 177
Mhe. Lissu anaendelea kumfanyia cross examination Koplo Michael.
Mhe. Lissu: Kwahiyi P8 alikuwa amefanya kosa?
Koplo Michael: ni kweli alikuwa amefanya makosa
Mhe. Lissu: Kwahiyo maelezo yake hayapo?
Koplo Michael: Sijayaleta
Mhe. Lissu: Je mlifungua kesi?
Koplo Michael: Hatukufungua kesi.
Mhe. Lissu: hadi leo hamjafungua?
Koplo Michael: Sijui kwakweli.
Lissu: RCO ndio alikwambia chukua maelezo ya shahidi kwenye kesi ya Lissu.
Shahidi: Hapana sio hivyo.
Mhe. Lissu: anamsomea alipoandika kuwa shahidi kwenye kesi ya lissu.
Koplo Michael: Ni kweli nilisema kumbe.
Mhe. Lissu: Kwahiyo mlikuwa mnaandaa kesi ya Lissu?
Koplo Michael: Sio kweli.
Mhe. Lissu: Kwahiyo mlikuwa mnaandaa nini?
Koplo Michael: Ushahidi wa kesi.
Mhe. Lissu: Kesi gani?
Koplo Michael: hii ya kwako.
Mhe. Lissu: Kumbe ni yangu umebana umeachia.
Watu; 😂😂😂😂
Sasa tuendelee na swali lingine.
Mhe. Lissu: Nilitishia Serikali kwasababu nilisema tutazuia Uchaguzi, wambie Majaji ni wapi umesema neno lolote juu ya maneno niliyosema?
Koplo Michael : mimi nilisema aliyoniambia shahidi.
Mhe. Lissu: Umeelewa swali we polisi?
Koplo Michael: Hapana sijasema lolote kuhusu maneno gani ulisema.
Mhe. Lissu: naambiwa nilichapisha maneno mitandaoni sasa sema kama kwenye kielelezo D5 kama ulisema chochote kuhusu maneno yangu niliyochapisha.
Koplo Michael: Hapana sikuandika lolote kwenye hayo.
Mhe. Lissu: Kutaka mabadiliko ya Katiba, Tume Huru ya Uchaguzi ni kosa la jinai?
Koplo Michael: Sio kosa la jinai.
Mhe. Lissu: Kuhamasisha wananchi nchi nzima kupatikana Katiba Mpya na kuzuia uchaguzi ni kosa?
Koplo Michael: ni kosa
Mhe. Lissu: Kosa gani?
Koplo Michael: Mimi sio mtaalamu wa sheria, wanasheria watasema.
Mhe. Lissu: Huna unalojua wewe ni Koplo tu, umetaja Katiba tutajie ibara sasa?
Koplo Michael: Sijui kosa ambalo umeshitakiwa nalo.
Mhe. Lissu: Waheshimiwa sina swali lingine kwa shahidi huyu.
Jaji Ndunguru: Re Examination.
Ignas Anasimama anasema nina maswali mawili.
Je uliposema hakuna utofauti ulimaanisha nini?
Koplo Michael: Nilimaanisha hakuna tu tofauti maana ni ile ile.
Wakili wa Serikali: Je ulisema hujui anashitakiwa na kosa gani? Ulimaanisha nini?
Koplo Michael: Najua ni uhaini lakini uhaini ni mpana unajumuisha uchochezi na kuharibu mali.
Wakili wa Serikali ni hayo tu Mheshimiwa.
Jaji Ndunguru: Upande wa Mashitaka mnasemaje?
Renatus Mkude: Tunaomba tuendelee Jumatatu.
Jaji Ndunguru: Kwanini msiendelee na shahidi mwingine atakapoishia ikifika saa 11 tunaacha.
Mkude: Mh. Jaji naomba tuendelee jumatatu tafadhali muda umeenda.
Jaji: Basi jumatatu saa tatu kamili asubuhi tukutane.
Inapigwaa Courttttttt tunatoka.
Naomba Repost yako.
Filipino
Official TripleA retweetledi

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 174
Anaendelea Mhe. Lissu
Mhe. Lissu: Mhe. Jaji hawako serious hawa kwanza ukisoma D4 kila kitu chake kipo hata jina lake hawajaficha lipo na taarifa zake zote zipo, hawajielewi hawa.
Katuga: Anasimama anasema Mh. Sisi ni maafisa wa mahakama aonywe mshitakiwa kwanini anasema hatuko serious.
Mhe. Lissu: Mh. Jaji ni kweli hayupo serious ila nataka niliondoe neno hilo lakini kama anasema nionywe siko tayari kuonywa naomba nifanye submission ya kuonesha ni kwa namna gani hawako serious?
Jaji Ndunguru: Basi Mshitakiwa tuishie hapo kama umesema umeliondoa.
Watu wanacheka sana. 😂😂😂
Mhe. Lissu: je umesema kokote kuwa uliwahi kutishiwa maisha?
Shahidi wa kificho P6: Sijawahi kutishiwa maisha mimi.
Mhe. Lissu: Kuna mwanachadema au kiongozi amewahi kukutishia kukupiga au kukudhuru kwa wewe kwenda kutoa maelezo haya Polisi?
Shahidi wa kificho P6: Hayupo kabisa.
Mhe. Lissu: Je kuna ndugu yako ametishiwa pia?
Shahidi wa kificho P6: Hayupo hata mmoja.
Mhe. Lissu: Waheshimiwa Majaji sina swali lingine kwa shahidi huyu.
Majaji wanaandika kidogo pale mbele.
Kwa sasa ni saa 7 na dakika 15 mchana, huu ni huwa ni muda wa kwenda Break, ngoja tusubiri Kitakachoendelea muda mfupi ujao.
Jaji: Re Examination Jamhuri?
Wakili Cathbert: Hatuna swali lolote Waheshimiwa Majaji.
Jaji Ndunguru Kiogozi wa Jopo la Majaji watatu anateta tena ma wenzake kabla hajasema nini kiendelee.
Anawasha kipaza sauti.
Shahidi umemaliza sasa unaweza kwenda.
Renatus Mkude tunaomba ahirisho tukawaandae mashahidi, lisaa limoja.
Mhe. Lissu: Sawa sina pingamizi.
Jaji Ndunguru: Basi tukutane baada ya lisaa limoja.
Naomba Repost yako.
Indonesia

@FaustinFrostan @mee_nicodemus sitaki kwenda mbal kwa ofa aliyotaja rais Eng Hersi sijui USD 2M+
kulikuwa na ofa written kutoka esperance de Tunis ambay n $1 M na aliyekuwa wakala wake alikili hilo
Filipino

@triplea_adam @mee_nicodemus Mna uhakika zile ofa zilizokuwa zinapambwa kuhusu Mzize ni za ukweli amna sio geresha tuu kujuza jina la mtu
Suomi
Official TripleA retweetledi

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 164
Anamalizia Mhe. Lissu
Shahidi wa kificho: Hapa Hayapo.
Mhe. Lissu: Ahsante sana. Unajibu vizuri napenda.
Mhe. Lissu: Waheshimiwa Majaji sina swali na shahidi..
Jaji Ndunguru anawaita Mawakili wa Serikali: Je mtakuwa na swali lolote kwa ajili ya re examination.
Ajuaye anajibu kuwa sisi hatuna swali lolote.
Jaji: Sasa shahidi tunakuruhusu tumemalizana na wewe.
Kimlango kinafungwa na Majaji wanaandika kidogo.
Anasimama Wakili wa Serikali anasema tunaomba ahirisho hadi saa nane ili tuendelee na shahidi huyo.
Mhe. Lissu: Sina pingamizi ila waseme shahidi wao ni nani ili nikasome maelezo yake, kama ni wasiri waseme ni P gani pia. Nikasome ili tukirudi niwe tayari nimeshapitia maelezo yake vizuri.
Renatus Mkude Mheshimiwa Jaji tungepata ahirisho hadi kesho ingekuwa jambo jema sana, muda huu hajafika pale ofisini kwetu ndio maana tunaomba ahirisho.
Jaji Ndunguru: jana tulielekeza, tukutane saa nane na mje na mashahidi tafadhali sana.
Kesi imehairishwa mpaka saa nane mchana.
Naomba Repost yako.
Filipino

@hecenmo nitoe kwa Ali kamwe as if mpira ulichezwa chumbani.?
how many times yanga walikamilisha at least 7+ passes as a team.?
kabla ya goal n mara ngapi yanga wali commit at least five players katk final third
mda wote juu pass option ulikuwa n Depu au back passes
pacome sio Messi
Filipino

😂 ko mlitarajia atafanya zaid ya pale kwa marking aliyowekewa .?
yaan 1 vs 3+, he is not Messi..
hussein@hecenmo
Performance ya Pacome dhidi ya Rabat inawezekana ndio performance mbovu zaidi kwa mchezaji wa Yanga msimu huu.
Indonesia




