
Thailand imeweka masharti ya lazima ya karantini ya siku 21 kwa wasafiri wanaotoka au waliopitia Jamhuri Kidemokrasia ya Congo au Uganda ili kudhibiti uwezekano wa maambukizi ya Ebola.
Wasafiri walio na dalili au wasio "na dalili za Ebola lazima wakae karantini kwa siku zisizopungua 21", wizara ya afya ya Thailand imesema katika taarifa siku ya Jumanne.

Indonesia



























