BLaCKID
69.1K posts

BLaCKID
@tumaB95
Yanga|Barcelona|Man United|Ac Milan & I.I

Wataalam mtu elekeze kidogo,maana tunaambiwa Real madrid ikishinda mechi na Man of the match akawa kipa , Timu ni mbovu inategea tu moments na ubora wa kipa , Leo timu yenu bora bayern man of the match kipa.. Vipi nayo mbovu? 😎

Malalamiko yenu mpelekee lord Mbappe. Huku sisi tunatembea 7 points clear 🔥


Kwenye ile EP ya Mbosso kuna ngoma inaitwa "Siko single" producer ni Click Master Jamaa ametoka Mbeya amekuja Dar kutafuta maisha, akatafuta number ya mbosso akamtumia beat ile mbosso mwenyewe amekubali mwisho wakatoa ngoma. Moja ya ngoma kali sana

Sema ni vile Tu namuheshimu P- Funk ila hakuwahi kufanya vitu vikubwa kwenye HipHop kama alivyofanya Duke ndani ya M-Lab






Good morning from Rock City. 📸 @rabihume

I think shida kubwa ya Pedro Concalves ni udalali wa hizi new additions Kuidhinisha kuachwa kwa Ecua na Chikola kwa pamoja kwa Uono sajili mpya zitaupgrade nafasi Kushindwa kutafsiri matumizi ya Dube na Depu kama nilivyosema mmoja ni Dominance games mwingine transition games










