tunduma_tc

610 posts

tunduma_tc banner
tunduma_tc

tunduma_tc

@tundumatc

Ukurasa Rasmi kwa ajili ya Halmashauri ya Mji Tunduma.

Tunduma, Songwe Katılım Aralık 2019
28 Takip Edilen46 Takipçiler
tunduma_tc
tunduma_tc@tundumatc·
Marehemu Brigette Raia Mbembela ambaye ni mdogo wake na Marehemu Neema Masamba Sanga anatarajiwa kuzikwa kesho tarehe 26 Novemba 2024 katika makaburi ya Tunduma Day (Nyerere) mjini Tunduma.
tunduma_tc tweet media
Indonesia
0
0
0
27
tunduma_tc
tunduma_tc@tundumatc·
Mkuu wa Wilaya ya Momba, Mhe. Elias Mwandobo ameongoza 'Jogging' iliyoandaliwa na Waimbaji wa Nyimbo za Injili Nyanda za Juu Kusini wakiongozwa na Tumaini Mbembela kwa lengo la kuhamasisha Wananchi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika tarehe 27 Novemba 2024.
tunduma_tc tweet media
Indonesia
0
0
2
26