collins

15 posts

collins

collins

@tz_pride

i am sane

Katılım Nisan 2022
8 Takip Edilen3 Takipçiler
collins
collins@tz_pride·
I will always choose good customer service over cheap price, unfortunately. I work so hard to be treated inconviniently lol.
English
0
0
0
29
ᏟᎾᏞᏞᎥᏁs 🌪
ᏟᎾᏞᏞᎥᏁs 🌪@collinsfulgence·
Fanya ujinga wote kasoro kujikatia tamaa. Usiuwaze wala kuujaribu.
Indonesia
21
36
337
0
ᏟᎾᏞᏞᎥᏁs 🌪
ᏟᎾᏞᏞᎥᏁs 🌪@collinsfulgence·
Kama umeamua kuwa muongo muongo, sawa. Ila pale ambapo hutoaminiwa hata katika ukweli wako, usitafute mchawi.
Filipino
19
37
316
0
ᏟᎾᏞᏞᎥᏁs 🌪
ᏟᎾᏞᏞᎥᏁs 🌪@collinsfulgence·
Ukishaanza kuona kuwa hakuna kinachokutisha wala hakuna unayemuogopa, jua unaelekea pabaya.
Filipino
25
34
391
0
ᏟᎾᏞᏞᎥᏁs 🌪
ᏟᎾᏞᏞᎥᏁs 🌪@collinsfulgence·
Ukubwa ni pamoja na kujirekebisha pale unapoambiwa umekosa. Sio kazi ngumu hata!
Polski
18
29
241
0
ᏟᎾᏞᏞᎥᏁs 🌪
ᏟᎾᏞᏞᎥᏁs 🌪@collinsfulgence·
Kwenye haya maisha, ukianza tu kujidharau ndo unapoanza kufeli. Jiongelee mema uamkapo na ulalapo uone vile utatoboa.
Indonesia
19
53
399
0