Kaso

15K posts

Kaso banner
Kaso

Kaso

@uncle_kaso

Educationist | Humanitarian | Pan-Africanist

Tanzania Katılım Eylül 2017
631 Takip Edilen3.1K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Kaso
Kaso@uncle_kaso·
Unaweza sema Nchi iko kwenye vita, kumbe ni watoza tozo wanapita kando ya watozwa tozo!!
Indonesia
93
188
1.1K
0
Kaso
Kaso@uncle_kaso·
Mzee Chande tapeli sana!
HT
0
0
0
12
Kaso retweetledi
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
Mahojiano ya Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi Mhe. Brenda Rupia na chombo cha habari cha Africa Thinks.
Filipino
16
142
513
9.6K
Kaso
Kaso@uncle_kaso·
Walimu wenzangu leo wamemshukuru sana mama Abduli kwakuwapandisha daraja na kuwapa vyeo. Natumai walimu wenzangu hamtalia njaa kuanzia sasa!!😂
Indonesia
0
0
0
20
Kaso
Kaso@uncle_kaso·
Ni kama Bongo Zozo ana akili kushinda serikali nzima ya Mama Abduli. Sad!
Indonesia
0
0
0
33
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Tuliwambia chama “kimekufa” mkakomaza mafuvu kwamba kiko mioyoni mwa watz, Leo mnajionea yaani mkutano wa Kanda ya Serengeni yenye mikao zaidi ya mitano Uzinduzi wa Ofisi umekuwa kama kikao cha ukoo watu hawazidi 25 mamae. Hapa Dar napo Mkutano wa Kibamba ambao Makamu mwenyekiti Taifa John Heche ameongoza, hawataki hata kurusha picha maana ni aibu, Wanatembeza picha alizokwenda Magufuli Stendi na kujichekesha. Kwasasa CUF na UPDP wanajaza watu kuliko hiki kigenge cha wanaharakati uchwara…. Na bado ngoja iishe miaka miwili hivi, mbona baadae mtashindwa hata vikao vya mtawi tu.😂 Chama pekee imara na kinachoaminika na Wananchi ni Chaumma tu
Yericko Nyerere tweet mediaYericko Nyerere tweet mediaYericko Nyerere tweet media
Indonesia
215
12
60
20.9K
Kaso
Kaso@uncle_kaso·
@fumbokhanJr Haki ipi? Raia wepi? Kiongozi mkubwa ni Mungu tu. Mimi pia ni Muslim, lakini Khamenei was evil.
Indonesia
1
0
1
134
Fumbo Khan
Fumbo Khan@fumbokhanJr·
Unahitaji kuwa na Moyo mgumu sana ili uweze kufurahia KIFO cha Imam KHAMENEI, mtu ambae kajitoa kupigania HAKI na Kweli kwa Nchi yake na Raia wake.!
Fumbo Khan tweet media
Indonesia
62
16
282
8.1K
Kaso
Kaso@uncle_kaso·
@fumbokhanJr Wananchi wenyewe wa Iran wanafurahia yeye kuuawa, wewe unakuja kupiga mkwara?
Indonesia
0
0
0
49
Fumbo Khan
Fumbo Khan@fumbokhanJr·
Huwezi Kuwa Muslim ukafurahia Kifo cha kiongozi mkubwa kama huyu, 💔
Fumbo Khan tweet media
Indonesia
167
28
553
29.8K
Kaso
Kaso@uncle_kaso·
America is giving you an overwhelming strength and devastating force. — @realDonaldTrump
English
0
0
0
11
Lembrus Mchome
Lembrus Mchome@LembrusMchome·
Vijana wengi leo wanaotukana mtandaoni kutwa nzima, usiku kuchaa, hawajawahi kukutana na hii fomu, sie tunaojua ujenzi wa @ChademaTZ2 tumeshinda na kukesha nayo wakati mwingine kulala porini ilikua jambo la kawaida kabisa, kutolewa baru ndio kabisa.Tupen heshima yetu ng'ombe nyie
Lembrus Mchome tweet mediaLembrus Mchome tweet media
Indonesia
34
2
22
4.7K
Kaso
Kaso@uncle_kaso·
Na siyo kuifuta tu, mumfidishie rasilimali alizotumia na kukaa gerezani bure!
Kaso tweet media
Suomi
0
0
0
29
Mohit Mishra
Mohit Mishra@mohitmishr93531·
48 Websites that'll pay you $200/hr for data entry jobs: I have prepared a list of 48 Websites that'll pay you $200/hr for data entry jobs With Just a Smartphone or Laptop and Internet. To get it for free : 1. Follow me ( So I can DM ) 2. Like and Repost 3. Reply "Entry"
Mohit Mishra tweet media
English
2.7K
1.2K
2.5K
334.8K
Kaso retweetledi
Vicensia Shule
Vicensia Shule@vicensiashule·
Miaka takribani 5 imepita, nilihoji kisa cha kuweka picha ya mtawala akiangalia kushoto/ anti clockwise. Madhara ya picha kuangalia kushoto tumeyaona. Niishie hapa kwa sasa #Oktoba29 😥
Vicensia Shule@vicensiashule

Can someone enlighten me kwa nini picha tumechagua kuangalia kushoto/anti clockwise? Pictorial interpretation matters a lot. Naogopa kuweka nadharia ya kushoto na anti clockwise😖 Najua kuna watangulizi wana picha zinaangalia kushoto ila kwa wakati huu kuangalia kushoto fulu dah

Filipino
11
22
134
23.3K
Kaso retweetledi
BBC News Africa
BBC News Africa@BBCAfrica·
#BBCAfricaEye investigates a wave of enforced disappearances spreading fear across Tanzania – told through powerful testimonies from survivors of abduction and torture. 🎥 Watch the documentary 'State of Fear' here: bbc.in/4kcyrkB
BBC News Africa tweet media
English
93
1.3K
3.2K
261K
Kaso retweetledi
Tundu Antiphas Lissu
Tundu Antiphas Lissu@TunduALissu·
EDWIN MTEI: MJENZI WA NCHI, KIONGOZI WA MFANO Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe na wanafamilia wa marehemu Edwin Mtei, Viongozi, wanachama na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ndugu wananchi, waombolezaji, mabibi na mabwana; Nimepokea taarifa za kifo cha Mwenyekiti Mwanzilishi na Mwasisi wa Chama chetu, marehemu Edwin Isaac Mbiliewi Mtei kwa masikitiko makubwa. Katika hili nafikiri sitakosea nikisema kwamba siko peke yangu. Hata hivyo, naombeni mniruhusu niwape pole nyingi watoto, wajukuu, ndugu na wanafamilia wa marehemu Mzee Mtei. Salamu hizi za rambirambi zinawahusu pia viongozi, wanachama na wafuasi wote wa CHADEMA popote walipo katika nchi yetu na nje ya nchi. Aidha, Mzee Mtei alisimama katika mstari wa mbele kabisa katika harakati za ujenzi wa nchi yetu; kwa sababu hiyo, salamu hizi ziwafikie pia wananchi wote wa Tanzania katika ujumla wao. Maandiko Matakatifu yanatufundisha katika Zaburi 90:10, kwamba “miaka ya kuishi ni sabini, au tukiwa wenye afya, themanini…” Mwenyezi Mungu alimbariki marehemu Mzee Mtei kwa kumpa ziada ya miaka ishirini na nne (24) katika gawio lake la kawaida la miaka ya hapa duniani; na alimzidishia miaka kumi na minne katika nyongeza yake ya miaka kumi kwa wenye afya. W.E.B Dubois, kiongozi wa harakati za ukombozi wa Waafrika duniani, aliandika katika kusherehekea miaka tisini ya kuzaliwa kwake kwamba “…kama kuishi hakukupi thamani, busara na maana ya maisha, basi hakuna sababu yoyote ile ya kuishi.” Miaka tisini na nne (94) ya maisha ya marehemu Mzee Mtei yalitupa thamani kubwa, yalijaa busara tele na yalikuwa na maana kubwa. Naomba nikope maneno ya Amiri bin Sudi, au kwa jina lake maarufu ‘Andanenga’, mtenzi na mshairi maarufu wa Kiswahili, pale aliposema: Mzee Mtei …. “alisheheni sifa nyingi sana, njema zisizo idadi, za marefu na mapana, hazipimiki kwa yadi, ilobaki sisi kushindana, dua tumuombe wadudi, ampokee Baba yetu, kwa fukisho la ubani, udi na uvumba.” Ndugu Waombolezaji, Marehemu Mzee Mtei alikuwa mmojawapo wa wajenzi wakuu wa misingi mikuu ya kiuchumi ya nchi yetu, hasa katika miongo miwili ya mwanzo ya Uhuru. Alikuwa mmojawapo wa wasomi mahiri wa kwanza katika fani ya uchumi wa mara baada ya Uhuru. Kwa sababu ya umahiri wake, haikuwa ajabu kwamba pale wakuu wa nchi za Afrika Mashariki walipoamua kuvunja iliyokuwa Bodi ya Sarafu ya Afrika Mashariki, na kila nchi kuanzisha Benki Kuu yake, Edwin Mtei aliteuliwa kuwa Gavana Mteule, hata kabla Benki Kuu yenyewe haijaanzishwa rasmi. Kwa vyovyote vile itakavyokuwa, jina la Edwin Isaac Mbiliewi Mtei litahusishwa milele na Benki Kuu ya Tanzania; jina na saini yake yalikuwa kwenye noti za kwanza kabisa kutolewa na Benki Kuu ya Tanzania kati ya mwaka 1966 na 1974; na kati ya mwaka 1978 na 1981 alipokuwa Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa nafasi yake ya Gavana wa Benki Kuu na baadae Waziri wa Fedha, Mzee Mtei alikuwa mmoja wa washiriki wakuu katika kutunga na kutekeleza sera za kiuchumi za serikali ya Mwalimu Nyerere. Historia halisi ya nchi yetu haiwezi kumtenganisha Mzee Mtei na Azimio la Arusha lililopelekea utaifishaji wa mali za makampuni na mashirika binafsi na kuanzishwa kwa mfumo wa serikali kuhodhi njia zote muhimu za uchumi, yote yakifanywa kwa jina la Ujamaa na Kujitegemea. Na wala historia ya kweli ya nchi yetu haiwezi kumtenganisha Mzee Mtei na kushindwa kwa sera hizo kuanzia miaka ya mwisho ya sabini. Alikuwa ‘jikoni’ wakati sera hizo zinaandaliwa; na alikuwa mmoja wa ‘wapishi’! Heshima yake kuu, na mchango wake kuhusu suala hili ambalo historia ya nchi yetu itauenzi milele ni huu; Mzee Mtei hakunyamaza mara alipogundua kwamba sera za kiuchumi za serikali yake, sera alizoshiriki kuzitunga na kuzisimamia hazitekelezeki tena. Mzee Mtei alimkabili Mwalimu na kumweleza ukweli wake; kwamba sera za kiuchumi za Azimio la Arusha zilikuwa zimeshindikana kutekelezwa; akamshauri Mwalimu kubadili msimamo wake ili kwenda sambamba na mahitaji ya nyakati na hali halisi ya uchumi wa kimataifa
Indonesia
21
480
1.8K
52.2K
Lembrus Mchome
Lembrus Mchome@LembrusMchome·
Kwa hotuba ya leo ya @freemanmbowetz kwenye mazishi ya Mzee Mtei ni dhahiri sasa ni muhimu sana kuunda tume maalum kwaajili ya kumuomba radhi Mbowe na kuomba atoe mwelekeo sahihi kwani waliopo kwenye siasa wameshindwa kutoa mwelekeo sahihi wa kuiondoa ccm
Filipino
3
2
33
11.1K
Kaso
Kaso@uncle_kaso·
John Wegesa Heche...!
Deutsch
0
0
0
25
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
#TANZIA: Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu (Mb) ametangaza kifo cha Mbunge wa Viti Maalum Mheshimiwa Halima Idd Nassor, kilichotokea leo Jumapili tarehe 18 Januari, 2026 katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Jijini Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu. “Kwa masikitiko makubwa, natangaza kifo cha Mounge wa Viti Mheshimiwa Halima Idd Nassoro kilichotokea leo 18 Januari, 2026 Jijini Dar es Salaam, Natoa pole kwa Waheshimiwa Wabunge wote, tamillia ya Marehemu, ndugu, jamaa na marafiki, Mwenyezi Mungu awape moyo wa uvumilivu na subira katika kipindi hiki kigumu,” amesema Mheshimiwa Spika Taarifa iliyotolewa na @bunge_tz imeelezakuwa Ofisi ya Bunge kwa kushirikiana na familia ya Marehemu inaratibu mipango ya mazishi na taarifa zaidi zitaendelea kutolewa. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge tweet media
Filipino
62
1
153
16.8K