UVCCM TZ

10.1K posts

UVCCM TZ banner
UVCCM TZ

UVCCM TZ

@uvccm_tz

Official account for the Youth League Arm of Tanzania's Rulling Party - CCM (The Revolutionary Party). Established: February 1, 1978. Enquiries: [email protected]

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Nisan 2016
40 Takip Edilen41.3K Takipçiler
UVCCM TZ
UVCCM TZ@uvccm_tz·
Tukutane Tunguu - Zanzibar
Eesti
1
5
7
2.5K
UVCCM TZ
UVCCM TZ@uvccm_tz·
katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre (JKCC) Jumamosi Januari 24, 2026. Wanavyuo eenh 🔊 tukutane JKCC kwa wingii... #kazinaututunasongambele
Filipino
0
0
2
222
UVCCM TZ
UVCCM TZ@uvccm_tz·
KAWAIDA MGENI RASMI UNI-SUMMIT LIFE IN AND AFTER CAMPUS DODOMA Mwenyekiti wa UVCCM Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Ndugu Mohammed Ali Kawaida atakuwa mgeni rasmi wa mkutano wa UNI-Summit Life In & After Campus ambao utawakutanisha Wanavyuo wote wa mkoa wa Dodoma..
UVCCM TZ tweet media
Indonesia
3
1
9
381
UVCCM TZ
UVCCM TZ@uvccm_tz·
*KIKAO CHA KAMATI YA UENDESHAJI - CHIPUKIZI WA CCM TAIFA* Mwenyekiti wa Chipukizi wa CCM Taifa Ndg. Qailah Nurdin Bilal ataongoza Kikao Cha Kamati ya Uendeshaji kitakachofanyika Jumamosi 17 Januari, 2026 Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya UVCCM - Upanga, Dar es Salaam.
UVCCM TZ tweet media
Indonesia
3
0
5
230
UVCCM TZ
UVCCM TZ@uvccm_tz·
Mwenyekiti wa UVCCM Ndugu Mohammed Kawaida anaungana na watanzania kutoa pole kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Familia, Wananchi na Wabunge kufuatia Kifo cha Mbunge wa Jimbo la Peramiho Ndugu Jenista Mhagama kilichotokea 11 Disemba, 2025. Pumzika Kwa Amani Kiongozi wetu
UVCCM TZ tweet mediaUVCCM TZ tweet mediaUVCCM TZ tweet mediaUVCCM TZ tweet media
Indonesia
3
1
7
558
UVCCM TZ
UVCCM TZ@uvccm_tz·
Watanzania tupo kwenye Mstari Mzuri wa Kuelekea Maendeleo endelevu Kupitia Misingi ya Amani, Upendo,Umoja na Mshikamano na Kushirikiana pamoja Kuujenga Uchumi wa Taifa Letu Kupitia Watanzania Wote. Tupendane ,Amani na Upendo ndio Tunu ya Maendeleo yetu #KazinaUtuTunasongaMbele
Indonesia
2
0
4
280
UVCCM TZ
UVCCM TZ@uvccm_tz·
RAIS DKT. SAMIA ATOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA 1,036 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Suluhu Hassan katika kuadhimisha miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo 09 Desemba 2025 ametoa msamaha kwa wafungwa 1,036. #HatokiMtu #kazinaututunasongambele
UVCCM TZ tweet media
Indonesia
0
2
9
509
UVCCM TZ
UVCCM TZ@uvccm_tz·
𝗠𝗔𝗔𝗗𝗛𝗜𝗠𝗜𝗦𝗛𝗢 𝗬𝗔 𝗦𝗜𝗞𝗨𝗞𝗨𝗨 𝗬𝗔 𝗨𝗛𝗨𝗥𝗨 𝗪𝗔 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗕𝗔𝗥𝗔 Mwenyekiti wa UVCCM na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM 𝘕𝘥𝘶𝘨𝘶 𝘔𝘰𝘩𝘢𝘮𝘮𝘦𝘥 𝘈𝘭𝘪 𝘒𝘢𝘸𝘢𝘪𝘥𝘢 anawatakia Watanzania wote Heri ya Sikukuu ya Uhuru wa Tanzania Bara.
UVCCM TZ tweet media
Indonesia
3
1
10
863
UVCCM TZ
UVCCM TZ@uvccm_tz·
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
UVCCM TZ tweet mediaUVCCM TZ tweet mediaUVCCM TZ tweet media
हिन्दी
0
0
7
702
UVCCM TZ
UVCCM TZ@uvccm_tz·
PRESS STATEMENT
UVCCM TZ tweet mediaUVCCM TZ tweet media
English
0
0
2
264
UVCCM TZ
UVCCM TZ@uvccm_tz·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Andrew Lentz, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, tarehe 08 Desemba, 2025. #KaziNaUtuTunasongaMbele
UVCCM TZ tweet media
Indonesia
1
1
5
393
UVCCM TZ
UVCCM TZ@uvccm_tz·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana na kuzungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Andrew Lentz, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, tarehe 08 Desemba, 2025. #KaziNaUtuTunasongaMbele
UVCCM TZ tweet media
Indonesia
0
0
2
299
UVCCM TZ
UVCCM TZ@uvccm_tz·
"Amani na usalama katika eneo letu ni muhimu ili kuelekeza fedha na rasilimali kwenye vita dhidi ya umasikini badala ya kuzielekeza kwenye kujihami au kupigana vita." Hayati Benjamin William Mkapa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Tatu #HatokiMtu
Indonesia
1
0
6
134