Africanist and developist

1.9K posts

Africanist and developist

Africanist and developist

@viewist

Human resource Officer, child of peasant and communist believer

Katılım Aralık 2019
4.8K Takip Edilen4.1K Takipçiler
Africanist and developist
ILA WATU 😃 Baada ya Yanga kupost kikosi cha leo Vs Waliete Benguela, kuna jamaa ame comment "kikosi cha Yanga kinabadilika kama kesi ya Lissu" 😃 Any way, baadae tupeane uchambuzi wanangu, nimekosa kuitizama mechi kutokana na MAJUKUMU 🥱
Africanist and developist tweet media
Indonesia
0
0
0
35
Africanist and developist
Kifo Ni kifo tu . Akitekwa mtoto wa Rais na akauawa, je Rais atasema kifo Ni kifo tu. Free mdude. Acha janja janja
Africanist and developist tweet media
Indonesia
0
0
0
131
Africanist and developist
Serikali ya SAMIA ina dhamira ya dhati kabisa ya kutaka kuiangusha CHADEMA sababu inafahamu wanaweza wasipate ushindi kwenye uchaguzi wa mwaka huu. CHADEMA Ni people's power hata wafanye nini tutavishinda.
Indonesia
0
0
0
81
Africanist and developist
Kama uchaguzi mkuu mwaka huu utakuwa huru na haki Tundu lissu anaweza akiifanya CHADEMA ishinde viti vingi vya ubunge kuliko CCM. Take note!!! People's power@Tundulissu
Africanist and developist tweet media
Indonesia
1
1
12
346
Africanist and developist
Kuhusu Tundu lissu kupigwa risasi Kuna ukweli CHADEMA wanaujua na wameficha ili kulinda maslahi ya chama.
Africanist and developist tweet media
Filipino
1
0
11
432
Africanist and developist
John Pombe Maguful the PhD thou he rested but his Legacies live forever....unapopata nafasi ya kuishi duniani,Acha alama,alama chanya zitakutetea!!! Forever kwenye mioyo ya watanzania ....John Pombe Maguful!.
Africanist and developist tweet media
Indonesia
3
12
64
1.2K
Africanist and developist
Wafuasi wa CHADEMA wanahitaji demokrasia katika nchi hii lakini wao kwenye chama Chao hakuna demokrasia. Hili linatufundisha kuwa ukitaka demokrasia hakikisha nyumbani kwako Kuna demokrasia. Uongozi lazima uwe na ukomo wa muda ili kuleta mawazo mapya. Chagua Tundu lissu.
Africanist and developist tweet media
Indonesia
0
1
4
186
Africanist and developist
Huyu mbowe Ni mnafiki Sana!!! Mbona hakusema haya MAGUFULI halipokuwa hai.
Africanist and developist tweet media
Indonesia
4
0
10
448
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Leo MH.LISSU ameenda kurudisha Fomu yake ya kugombea ngazi ya MWENYEKITI wa CHADEMA Taifa. Cha kushangaza wengi ni mtoko wake wa kuvalia BULLET PROOF, anafanya hivi kujihami dhidi ya watu wabaya walioshindwa mara ya kwanza kumuua. Uking’atwa na Nyoka hata jani likikugusa lazima ushtuke. Licha ya umaarufu wake wa kisiasa ndani na nje ya Nchi, ila bado WALIOJULIKANA kuwa ni USALAMA wa taifa wanataka kumdhuru tena. Kugombea kwake nafasi ya juu ya chama kikuu cha upinzani taifa ni wazi ataenda kushugulika na Serikali dhidi ya haya mambo ya kijinga hasa ya UTEKAJI na ukiukwaji mkubwa wa HAKI za binadamu. Misimamo yake ambayo amekuwa nayo tangu akiwa mbunge, hiki ni kivutio kikubwa kwa wananchi wengi wanaopenda HAKI. Huu ndio muda ambao tunaamini HAKI itaenda kupiganiwa kweli kweli kama chama KIKUU CHA UPINZANI. Huyu hapendwi na CCM kwasababu ya kuww na misimamo ambayo inapewa nguvu na wananchi hasa wanyonge. Mtu wa hivyo anaogopwa sana na CCM. Sifa hizi anazo TAL. Wapiga kura watakao mfanya TAL awe mwenyekiti na kuja kushugulika na WAKOLONI WEUSI ni wajumbe wa mkutano mkuu CHADEMA. Sisi wananchi tunamuombea Kura ya ndio TAL tunaomba mtuletee yeye kwenye haya mapambano dhidi ya WAKOLONI WEUSI.✌🏾 REPOST 400 🔥🔥🙇🏾‍♂️
SIR TIVA tweet mediaSIR TIVA tweet media
Indonesia
77
344
2K
100.6K
Africanist and developist
CHADEMA inahitaji mabadiliko ya uongozi ili kuleta mawazo mapya na mtu sahihi Ni Tundu lissu ambaye huwa hapindishi msimamo wake wa kimawazo.
Africanist and developist tweet media
Filipino
0
0
0
94
Africanist and developist
Baadhi ya wachambuzi wanasema Yanga wamekosea kumfukuza Gamond lakini pia wanaamini kocha mpya wa Yanga Ni wakawaida. Akifanya vizuri baadae utasikia yanga ilifanya chaguo sahihi na maamuzi mazuri.
Africanist and developist tweet media
Indonesia
1
0
1
185
Africanist and developist
Kwenye uchaguzi mkuu wa 2025 asilimia 90 ya wabunge wa CCM watapiga magoti ya huruma ili wapate Kura maana ahadi nyingi hazijatekelezwa. Na wanaona Rais yupo bize na safari za nje ya nchi.
Africanist and developist tweet media
Indonesia
0
1
5
186
Africanist and developist
Awamu hii ya serikali ya awamu ya sita watatekwa, kukamatwa na kuuawa wanaharakati na wanasiasa wengi Sana sababu aliyepewa dhamana ya kuwalinda wananchi wake ana amini kifo Ni kifo tu. Nchi hii ngumu sana. Free BONIFACE
Africanist and developist tweet media
Indonesia
0
0
1
131
Africanist and developist
Africanist and developist@viewist·
Kwa maneno Yale ya kichonganishi kutoka kwa Ahmed Ally na mwisho wa msimu Simba ikakosa ubingwa unadhani mashabiki watajisikiaje.
Africanist and developist tweet media
Filipino
0
0
0
71
Africanist and developist
Africanist and developist@viewist·
Hakuna kitu kigumu Kama kuongoza Taifa lenye wajuaji wengi na wapiga kelele wengi.
Indonesia
0
0
1
107
Africanist and developist
Kinachoendelea Sasa Ni kukandamiza mafanikio ya Yanga yaliyoletwa na Eng. Hersi Said. Hivyo Kuna kundi la watu linatamani nafasi ya urais wa klabu wa Yanga.
Africanist and developist tweet media
Filipino
1
0
1
149
Africanist and developist
SAMIA hakuwa na vigezo vya kuwa RAIS wa Tanzania. Ndiye Rais wa hovyo kuwahi kutokea.
Africanist and developist tweet media
Filipino
2
1
9
799
Africanist and developist
Ni dhahiri KARIA hafai kuwa kiongozi wa TFF maana analiongoza shirikisho kizee.
Africanist and developist tweet media
Indonesia
1
0
5
307