vision Empire store 🎽
13.9K posts

vision Empire store 🎽
@visionempire_tz
🔥 Vision Empire Store | Jezi Original 🇹🇿 🛒 Jezi Grade 1 – 25,000 TZS 📍 Dar & Mtwara | 🚚 Tunatuma popote 📩 DM kwa oda 📞 0694336065 | +255 625 449 187
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Nisan 2023
636 Takip Edilen708 Takipçiler
vision Empire store 🎽 retweetledi

Wimbo huu ni upend kwako
Marafiki Wana furahia uwepo wangu japo
Wapo kadhaa wanao chukia uwezo wangu
Hawatajua Wala kuikisia kesho yangu
Wee ni kiooo........@dizastavina

Indonesia

Chuga sijui wamekuwaje aisee
HABARIMPYA TV@HabarimpyaTv
Makonda aongoza vibe la Mapokezi ya Rais Samia Arusha,.
Suomi

@gabyconscious Hii inakwenda kumsaidia vip? Kijana kwenye maisha ya kawaida? Huku mtaani hakuna muda WA kuchambua hizi sentence 🚮
Indonesia

Sijui kwa nini mnadiss vitu sababu hujaona umuhimu wake haimaanishi ni TAKATAKA
Mfano hii Concept ya kuchambua sentensi kwa matawi inatumika kwenye PROGRAMMING ….Tree Data Structure, data representation
Mti=AST
Kiima= Node / subtree
Kitenzi= Subtree for actions
“Juma”👇

Kamala Dickson@ItsKamala
Kuna Mwalimu amejiandaa na kaandaa lesson plans ya siku nzima ya Leo anaingia darasani kuwafundisha wanafunda wanafunzi “Kuchambua sentensi kwa njia ya matawi” na anaona fahari kwamba kuna kitu ameongeza kwenye maisha ya Vijana wa Taifa hili! Tuko kwenye mtelemko mkali sana
Indonesia


@vitalisvedasto @Thereal_taivina Humu ukiwa mjinga mjinga utaachwa
Indonesia

@Thereal_taivina kwenye ugonjwa hamchangi ama mpk awe ni mtu wenu ?? my bro kaungulia ndani nimeomba msaada kuwa tag juu mkamute , bro angu leo tumezika . Humu kuna vigenge maalumu vya ukanda
Indonesia
vision Empire store 🎽 retweetledi
vision Empire store 🎽 retweetledi

#UtaratibuTheAlbum Ni Santuri Mpya Kutoka Kwa Mkusanyiko Wa Mawazo Ya Vichwa Vitatu Vinavyokwenda Kwa Jina La #WARATIBU (@onetheincredibl @kamilifreeman | @juniorromantz). Mradi Huu Utapatikana Kuanzia Tarehe 27 (September). Ahsante.
ARTWORK : @mkuucreative & @Artbyfere_
Indonesia
vision Empire store 🎽 retweetledi

















