Utafiti wa ZipRecruiter wabaini kuwa 1 kati ya wanafunzi 5 hujutia fani walizosoma baada ya kuingia kwenye soko la ajira. Sababu kuu? Ugumu wa kupata kazi na mishahara midogo kuliko matarajio, huku fani za sanaa huria zikiongoza kwa majuto.
Faida ya ku engage kwenye tweet za watu ni kwamba unatengeneza marafiki active... Unatambulika mapema haijalishi una followers wangapi!! 👏🇹🇿.. weka handle nikufolo mkuu!!!
katika hafla hiyo, Rais Samia alisisitiza umuhimu wa kulinda watoto, akisema kuwa watu wanaotupa watoto mara nyingi hawatambui uzito wa kitendo hicho. Aliwataka wazazi wanaoshindwa kuwalea watoto wao kuwapeleka kwa mamlaka halali au vituo vya kulelea watoto badala ya kuwatelekeza
Rais wa 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮, 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻, amemchukua na kumlea mtoto wa kike aliyetelekezwa katika mji wa 𝗡𝘇𝗲𝗴𝗮. Zoezi hilo la kumkabidhi mtoto lilifanyika tarehe 11 Machi 2026 katika makazi ya Rais, 𝗜𝗸𝘂𝗹𝘂 𝗖𝗵𝗮𝗺𝘄𝗶𝗻𝗼, mkoani 𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮.
Happy New year Tanzania.
2026 ni Mwaka wa kufocus kupambania haki ambazo wenzetu waliuawa wakizipigania.
2026 sio Mwaka wa kufanya maridhiano na wauwaji walioua Ndugu zetu na bado wanatushikilia na mtutu as bunduki.
2026 ni Mwaka wa kudai Katiba Mpya na uchaguzi Mpya, sio Mwaka wa kufanya maridhiano na wezi wa uchaguzi.
2026 ni Mwaka wa Watanzania wote kustay focus ili tupiganie haki na na sio Mwaka wa kurudi tena Kwenye upuuzi wa kutekwa akili na kiki na upuuzi we wasaniii. Please stay focused. Tukisharudi Kwenye umbea wa wasanii basi tumekubali kushikwa akili na Samia na genge lake la wauwaji. STAY FOCUSED