WasafiTv

3K posts

WasafiTv banner
WasafiTv

WasafiTv

@wasafitv

Official Twitter Page for Wasafi TV Channel | AZAM-411 | DSTV 296 | ZUKU-028 | STARTIMES-444 & 333 | COCONUT TV-20 | DodomaCable-113 Visit Our Website

Katılım Aralık 2017
1 Takip Edilen101K Takipçiler
WasafiTv
WasafiTv@wasafitv·
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhwan Kikwete, amesema kuwa sekta ya bima ina nafasi muhimu katika kuchochea maendeleo ya kiuchumi, kwa kuwa ni nyenzo madhubuti ya kulinda biashara na uwekezaji dhidi ya hatari mbalimbali.
Indonesia
1
0
5
269
WasafiTv
WasafiTv@wasafitv·
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi amewatoa hofu wananchi wa Kaliua kuwa mambo yote yalioahidiwa na serikali kwa wanachi katika ilani ya uchaguzi ya 2025-2030 yatatekelezwa ikiwemo ujenzi wa Barabara ya Mpanda- Kaliua -Kahama.
Indonesia
0
0
3
301
WasafiTv
WasafiTv@wasafitv·
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, amesema nia ya Serikali ni kuona kwamba TEHAMA inafanya huduma za umma zinakuwa bora, zinapatikana kwa wakati, kwa uwazi na kwa usalama.
WasafiTv tweet mediaWasafiTv tweet mediaWasafiTv tweet mediaWasafiTv tweet media
Indonesia
0
0
3
270
WasafiTv
WasafiTv@wasafitv·
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa Kenan Kihongosi amewataka Watanzania wote bila kujali vyama vyao vya siasa kuungana kutunza amani ya nchi ambayo ni tunu na urithi ulioachwa na Waasisi wa Taifa.
Indonesia
0
0
1
261
WasafiTv
WasafiTv@wasafitv·
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi Taifa, Kenani Kihongosi, amewasisitiza wakazi wa Kata ya Puge Wilayani Nzega kuwa wazalendo namba moja wa kulinda amani ya nchi, akibainisha kuwa amani ndiyo msingi wa maendeleo ya Taifa.
Indonesia
6
1
5
286
WasafiTv
WasafiTv@wasafitv·
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi ameanza ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo iliyotekelezwa na serikali ya awamu ya sita katika kipindi cha siku 100 za utekelezaji wa ahadi za Rais Dkt.Samia Suluhu
Indonesia
12
3
7
431
WasafiTv
WasafiTv@wasafitv·
Viongozi wa serikali na taasisi za uvuvi kutoka nchi za Afrika Mashariki wameeleza kwa pamoja wasiwasi wao juu ya kuendelea kwa uvuvi haramu katika Ukanda wa Kusini Magharibi wa Bahari ya Hindi, wakionya kuwa meli kubwa za uvuvi hasa kutoka mataifa ya mbali .
WasafiTv tweet media
Indonesia
0
0
3
178
WasafiTv
WasafiTv@wasafitv·
Mhe. Abdallah Ulega amesema Serikali ya awamu ya sita imefanya mabadiliko katika sheria ya zabuni nchini ambapo kwasasa Miradi yote isiyozidi gharama ya Shilingi Bilioni 50 itafanywa na makandarasi wazawa ili kuchochea mzunguko wa fedha na kutoa uzoefu kwa Makandarasi wazawa.
Indonesia
1
2
8
620
WasafiTv
WasafiTv@wasafitv·
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Frank Nkinda amekabidhi Hundi ya zaidi ya Bilioni moja kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu fedha zinazotokana na asilimia 10 ya mapato ya ndani ya Halmashauri.
WasafiTv tweet mediaWasafiTv tweet mediaWasafiTv tweet mediaWasafiTv tweet media
Indonesia
0
0
2
225
WasafiTv
WasafiTv@wasafitv·
Waziri Prof. Kitila Alexander Mkumbo, amewasilisha Bungeni Jijini Dodoma Mpango Elekezi wa Maendeleo wa Muda Mrefu 2026/27-2050/51, Mpango wa Nne wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano (2026/27-2030/31) pamoja na Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2026/27.
Indonesia
0
0
3
193
WasafiTv
WasafiTv@wasafitv·
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Alexander Mkumbo, amesema kuwa dhima ya Mpango wa Nne wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano (2026/27-2030/31) ni Mageuzi kwa Ajili ya Ukuaji wa Uchumi Jumuishi na Uzalishaji wa Ajira.
Indonesia
0
0
3
338
WasafiTv
WasafiTv@wasafitv·
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameagiza kuanza utaratibu wa kuvunja mkataba wa kampuni ya ujenzi kutoka China ambayo imekuwa ikisuasua katika ujenzi wa barabara ya Omurushaka – Kyerwa yenye urefu wa kilomita 50.
Indonesia
0
1
6
486
WasafiTv
WasafiTv@wasafitv·
(TISEZA) imetembelea mradi wa Hospitali ya Kamanga Medics (Kamanga Medics Hospital) iliyopo eneo la Nyegezi jijini Mwanza, ambao kwa sasa uko katika hatua ya upanuzi. Hospitali hiyo inamilikiwa na wawekezaji Watanzania, ikiongozwa na Dkt. Rodrick Kabangila ambaye ni Mmiliki
Indonesia
0
1
2
328
WasafiTv
WasafiTv@wasafitv·
Mbunge wa Jimbo la Mtumba, Mh. Anthony Mavunde kwa kushirikiana na Kampuni ya Oryx leo amekabidhi jumla ya majiko 1,000 ya gesi kwa mama lishe na baba lishe wa Jimbo la Mtumba, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuunga mkono jitahada za Mh. Rais Dkt. Samia S. Hassan .
WasafiTv tweet mediaWasafiTv tweet mediaWasafiTv tweet mediaWasafiTv tweet media
Indonesia
0
1
3
291
WasafiTv
WasafiTv@wasafitv·
Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) imezindua rasmi Dawati la Huduma kwa Wawekezaji Mkoa wa Shinyanga, hatua muhimu inayolenga kusogeza huduma za uwekezaji karibu zaidi na wananchi, hususan wawekezaji wa ndani na wajasiriamali wa mkoa huo.
WasafiTv tweet mediaWasafiTv tweet mediaWasafiTv tweet mediaWasafiTv tweet media
Indonesia
0
1
3
291
WasafiTv
WasafiTv@wasafitv·
Mwekezaji wa ndani amewekeza zaidi ya shilingi bilioni 11 katika ujenzi wa kiwanda cha kutengeneza mabomba cha MOLI mkoani Simiyu, uwekezaji unaotarajiwa kuchochea maendeleo ya viwanda, kuongeza ajira na kukuza uchumi wa mkoa huo pamoja na Kanda ya Ziwa kwa ujumla.
Indonesia
0
0
4
300
WasafiTv
WasafiTv@wasafitv·
Ndani ya Siku 100 Serikali imetoa jumla ya mikopo 193 yenye thamani ya Shilingi milioni 821.7 kupitia Mfuko wa National Entreprenuership Development Fund(NEDF) na Credit Guarantee Scheme (CGS) katika mikoa 19 .
WasafiTv tweet media
Indonesia
0
0
2
165
WasafiTv
WasafiTv@wasafitv·
Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amesema ndani ya siku 100 za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan madarakani, Wizara hiyo imeandaa mpango ambao utawawezesha kuongeza Viwanda 9048 na kuzalisha ajira milioni 6.5 katika kipindi cha miaka sita kuanzia 2025.
WasafiTv tweet media
Indonesia
0
0
1
207
WasafiTv
WasafiTv@wasafitv·
Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amesema ndani ya siku 100 za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan madarakani, Wizara hiyo imetenga maeneo maalum ya Viwanda vya Vijana katika maeneo mbalimbali ambapo kwa Mkoa wa Dar es salaam eneo hilo la Vijana lipo Kigamboni .
WasafiTv tweet media
Indonesia
0
0
2
180
WasafiTv
WasafiTv@wasafitv·
Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amesema ndani ya siku 100 za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan madarakani katika kipindi chake cha pili cha Urais, Wizara hiyo imefanikiwa kutoa mikopo yenye thamani ya Tsh. milioni 821.7 ambayo imezalisha Viwanda vidogo na kuleta ajira .
WasafiTv tweet media
Indonesia
1
0
1
239