Sikjunior Mrimi

2 posts

Sikjunior Mrimi banner
Sikjunior Mrimi

Sikjunior Mrimi

@whozsik

Software Engineer | Building @karibubriq

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Aralık 2025
23 Takip Edilen3 Takipçiler
Sikjunior Mrimi retweetledi
Temidayo
Temidayo@thisistemidayo·
Bro to Bro “Usiende kwenye Meza ya Negotiation Ukiwa na Njaa” “Familia Kwanza” “Jichanganye” “Take Calculated Risks” “Kwa ile Mamma enyewe USIZINGUE” “Usiwe mnyonge kudai haki yako” “Watu ni wale wale” “Heshimu Pesa ya Mtu, hata kama ni ndogo” “Achana kabisa na wake za watu” “Wakusoma USIWAKARIBIE” Itaendelea.
Indonesia
10
69
378
18.1K
Haulay
Haulay@Positivenga1·
Ukisikia Joseph Kusaga, Kichwani mwako inakuja Clouds Media. Ukisikia Benjamin Fernandez, Kichwani mwako inakuja Nala. Ukisikia Diamond Platnumz, Kichwani mwako inakuja WCB. Hawa wote wanabiashara na shughuli zaidi ya moja, na zingine hatuzifahamu kabisa lakini walianza kwanza kwa kutengeneza biashara 1, ikawapa credibility na resources za kuanzisha biashara zingine. Changamoto ya vijana wengi ni tunataka kuanza na kumiliki “group of companies” au “biashara 5” toka siku ya kwanza bila resources, time na and focus.
Indonesia
6
20
171
5.5K