Hitman

8K posts

Hitman

Hitman

@xxhitx

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Aralık 2019
753 Takip Edilen332 Takipçiler
JohnDoe
JohnDoe@mad_genius6·
Madenge akichukua kadi ya CCM itamfaa sana.
Indonesia
2
0
8
266
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI@Maestrowafact·
Kuna vijana wasiopungua 500 nchini walipatiwa mafunzo makali kwa ajili ya kufanya vurugu siku ya uchaguzi Sasa mkurugenzi wa wavaa suti anafanya nn ofsini na Kamishna wa Intellejensia jinai kama walishindwa ng'amua hizo cell za mafunzo😅😅😅
Indonesia
33
66
721
23.1K
Hitman
Hitman@xxhitx·
@nulphin Mwana tunapigwa saaana Kuna namna wakuda wametuwahi
Filipino
0
0
0
56
Dr Calipso
Dr Calipso@nulphin·
Kuna namna aisee yaan umeme wa Elfu 10 units 28 siku tatu zimeisha duh apo nakuja tu usiku asubuhi nakua job. Apa tunapigwa sana siku izi na hii serikali
Indonesia
39
53
287
24.5K
MRENO⛑️
MRENO⛑️@mreno255·
Kweli mabroo wenye vipato hawanaga huruma na mahusiano ya watu. Kumbe Janja Alitombewa hii mama na nasibu 😂💔
MRENO⛑️ tweet media
Filipino
50
42
478
40.1K
Hitman
Hitman@xxhitx·
@fbuyobe We mtu wa kgb punguza siraha za maangamizi🙌🙌🙌🙌
Indonesia
0
0
1
16
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Baadae utasikia “Watanzania naombeni msaada wenu. Nina kansa ya mkundu”.
Fortunatus Buyobe tweet media
Indonesia
290
138
1.4K
80.1K
Hitman
Hitman@xxhitx·
@mad_genius6 Umesoma physics au ulikalilishwa physics 🤔🤔🤔🤔🤔
Filipino
1
0
2
38
JohnDoe
JohnDoe@mad_genius6·
Nimesoma Physics, lakini bado najiuliza: inawezekanaje chombo kuwa na joto la takribani nyuzi joto 2700°C kwa nje, huku ndani kukiwa na nyuzi joto 22°C tu? Hawa watu wa Artemis II wanatuchukuliaje kweli??
Indonesia
10
1
16
543
Hitman retweetledi
Mbunge Wa Taifa
Mbunge Wa Taifa@taifa_mbunge·
Nduli Idd Amin Mama katuma wasiojulikana nchini Kenya ili wawateke na kuwapoteza Waandishi wa Habari wa @radio47__kenya kisa wanamkosoa.
Indonesia
6
86
445
16.4K
Hitman retweetledi
Masaki
Masaki@selemasaki·
Dereva kanikosha sana!! 🖐️
Indonesia
40
65
559
47.3K
Hitman retweetledi
Hasta La Victoria Siempre
Hasta La Victoria Siempre@Oktoba29·
Kushoto ni Salim Mvurya, waziri wa michezo Kenya. Ana Degree 1, Masters 1 Kulia ni Daudi Bashite, Waziri wa michezo Tanzania. Alifeli darasa la nne mara 2, Alifeli la Saba, Alipata div zero form 4. Akatumia cheti Cha watu, jina Paul Muyenge, Akadisco vyuo mbalimbali ikiwemo SUA.
Hasta La Victoria Siempre tweet mediaHasta La Victoria Siempre tweet media
Indonesia
21
45
346
13.4K
ROSALINE🦋
ROSALINE🦋@AmRosalinee·
Udini pembeni huu uchafu usifuge wala kula🙏🙏🙏
ROSALINE🦋 tweet media
40
15
57
3.3K
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI@Maestrowafact·
Unayoiona kama kampeni ya kukemea betting ni matokeo ya kikao cha wachawi Pichani. Pichani ni Vijana wenzetu waliojaa husuda na roho mbaya wafahamu kiundani BARAKA, NDANDA na GILLSAINT + DANNY Kaa rada nikujuze mkali
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI tweet mediaCHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI tweet mediaCHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI tweet media
Indonesia
46
52
222
87K
Hitman
Hitman@xxhitx·
@mreno255 Na wewe ulivyofala unawaza double chance😁😁😁😁
Polski
1
0
1
50
MRENO⛑️
MRENO⛑️@mreno255·
Single mother ananyonyesha zake wewe ulivyo fala unadindisha😂💔
MRENO⛑️ tweet media
Filipino
53
41
175
7.8K
Hitman retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
“Amani ni bora kuliko BIASHARA..!” Watu wa COCO BEACH ndio watu sahihi wa kuthibitisha hiii kauli.😂
Filipino
10
56
575
12K
Hitman retweetledi
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Hii video inatakiwa sambaa kwa kila mtu nchi hii
Indonesia
30
605
1.6K
53.8K
Hitman retweetledi
Yeahhh Yeahhh
Yeahhh Yeahhh@DeeBloom__·
ZXX
17
1.1K
7.5K
77.7K
MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus@MwanzoTvPlus·
ISRAELI YATANGAZA KUMUUA WAZIRI WA INTELIJENSIA WA IRAN Israeli imetangaza kuwa imewaua Waziri wa Intelijensia wa Iran, Esmail Khatib, katika operesheni inayolenga viongozi wakuu wa Iran, hatua inayochukuliwa kama kuendeleza kampeni ya kulenga maafisa wa ngazi ya juu wa nchi hiyo. Katika taarifa iliyotolewa Jumatano, Waziri wa Ulinzi wa Israeli, Israel Katz, alisema jeshi limepewa idhini pia ya kulenga kiongozi yeyote wa ngazi ya juu wa Iran atakayebainika kupitia taarifa za kijasusi, hatua inayodokeza ongezeko la mzozo unaoendelea. Taarifa hii imetolewa siku moja baada ya Israeli kuthibitisha kuuawa kwa mkuu wa usalama wa Iran, Ali Larijani, huku mvutano kati ya pande hizo ukizidi kuongezeka. Iran haikuthibitisha mara moja madai hayo mapya, lakini awali imewahi kuapa kulipiza kisasi kufuatia vifo vya maafisa wake wakuu. Mzozo huu, ambao sasa umeingia wiki ya tatu, umeona mfululizo wa mashambulio ya makombora na shambulio katika eneo hilo, jambo linaloongeza hofu ya kutokuwepo kwa utulivu mpana wa kijiografia.
MwanzoTvPlus tweet media
Indonesia
4
7
62
5K
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Siku 7 zilizopita Ali Larijani mkuu wa Usalama wa Iran ambaye alikuwa nguzo na engine ya mikakati yote ya Iran alituma ujumbe kwa Trump kuwa awe makini wasije kumuua, jana Ali Larijani ameuawa yeye. USA na Israel wanawezaje kupata hizi taarifa za watu muhimu wa Iran na kuwaua?
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
48
31
707
23.7K
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
𝐀𝐫𝐬𝐞𝐧𝐚𝐥’𝐬 𝐬𝐞𝐚𝐬𝐨𝐧 𝐢𝐬 𝐣𝐮𝐬𝐭 𝐬𝐨𝐦𝐞𝐭𝐡𝐢𝐧𝐠 𝐞𝐥𝐬𝐞! 💥 ✅ Qualified for the Champions League quarter-finals ✅ Premier League LEADERS by 9 points ✅ Play the League Cup final on Sunday ✅ Qualified for the FA Cup quarter-final 𝐇𝐨𝐰 𝐦𝐚𝐧𝐲 𝐭𝐫𝐨𝐩𝐡𝐢𝐞𝐬 𝐰𝐢𝐥𝐥 𝐭𝐡𝐞𝐲 𝐰𝐢𝐧? 🏆💭
Tanzania Abroad TV tweet media
English
1
0
26
1.8K