heiszephafx

1.6K posts

heiszephafx

heiszephafx

@zephafx

Katılım Ekim 2021
178 Takip Edilen50 Takipçiler
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe@zittokabwe·
I stand with the people of Iran against any genocidal threats by US president. The world must condemn and take action intended war crimes by the US and Israel against another sovereign state of Iran
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe tweet media
English
279
110
654
61.9K
John Heche
John Heche@HecheJohn·
KUTOKA KATIKATI YA KUTA ZA MAGEREZA UKONGA, ANAANDIKA TUNDU ATIPHAS LISU: Mwaka 1988 mto Vaal huko Free State ulifurika na kujaza bwawa kubwa la kuzalisha umeme la Vaal Dam. Bwawa likazidiwa maji na kutapika. Sehemu kubwa ya maji yakaenda kuathiri mashamba ya makaburu huko Free State na Gauteng. Nyumba za wakulima wa kizungu zikabomoka, na vifo 11 vikaripotiwa. Wakati huo kulikuwa na mapambano makali ya watu weusi kudai uhuru kutoka kwa makaburu. Baada ya makaburu kupata majanga hayo ya mafuriko, maelfu ya watu weusi walishangilia mitaani na wengine wakifanya sherehe kama ishara ya kushukuru "miungu" yao kwa kuwalipia kisasi. Rais Pieter Willem Botha, mmoja wa Marais katili mno wa Kikaburu, akalaani kitendo cha Waafrika kushangilia vifo vya makaburu. Huyu ni yule aliyewahi kusema Waafrika hawana akili za kujitawala, wanapaswa kutawaliwa milele. Baada ya mafuriko hayo P.W Botha akasema serikali yake haitawavumilia walioshangilia vifo vya makaburu kwa sababu huo si ubinadamu. Aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama cha ANC, Walter Sisulu, akamjibu P.W Botha kwa maneno ambayo yanaishi hadi leo. Sisulu alisema: "Kama makaburu hawaumizwi na vifo vya watu weusi, wasitegemee kwamba weusi wataumizwa na vifo vyao. Weusi wameuawa kinyama na makaburu, na wengine hawakupewa hata heshima ya kuzikwa; walifukiwa kwenye makaburi ya halaiki kama wanyama. Leo, makaburu wakifa wanataka weusi waomboleze? Huku ni kujipa haki kubwa kuliko hata malaika. Hamuwezi kuua watu weusi, muwafukie kama mizoga, halafu mkifa nyie mnataka watu haohao wasikitike. Binadamu ni yule yule, awe mwenye ngozi nyeusi au nyeupe. Kama wewe kaburu unaumizwa na kifo cha kaburu mwenzako; unapaswa kuumizwa na kifo cha mtu mweusi pia. Kuwa mweupe au kuwa na madaraka hakukufanyi kuwa binadamu kuliko wengine. Utu wetu haupo kwenye rangi za ngozi zetu wala vyeo vyetu.”
John Heche tweet media
Indonesia
46
415
1.4K
36.1K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Asante Mungu kwa hiki kidogo, tunaendelea kuomba na kuamini kwamba utatupa kile kikubwa zaidi.🙏
Hilda Newton tweet media
Filipino
86
141
1.1K
29.6K
John kalage 🇹🇿
John kalage 🇹🇿@kalage_jr·
Nioneshe picha ya muhogo mchungu akiwa kijana nikupe perfume moja bure.
John kalage 🇹🇿 tweet media
Polski
24
24
478
29.3K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
#UPDATES_KESI_YA_MGAWANYO_MALI_ZA_CHADEMA Part 4. Mahakama imerejea. Anasimama Mpale Mpoki na kusema uwakilishi kwa upande wetu ni kama ilivyokuwa awali. Kwa upande wetu na sisi upande wa waleta maombi uwakilishi uko vile vile. Alban Fidelis Kairu anasimama na kuanza kusema kwa niaba ya akina Said Issa nitajikita kwenye areas mlizozisema. Naomba ruling ya Said Issa kuadapt Sect. 4 ya Appellate Jurisdiction naomba kuitumia ruling hiyo katika kujenga hoja zangu. Hoja ya tukishindwa kuelezea value ya subject matter. It is proper kwa mujibu wa para 7,8,11, 12 na 14 and 15 ya Petition waliweza ku state value ya subject matter za property ambazo ni mali za Chama. Pia walisema Chama kilikuwa kina own property zenye thamani ya bilioni 4. Para 11 ya petition hao petitioners wali allege kuhusu pesa ambazo Chama kilikuwa kinamiliki kwenye Account number za Chama. Ukiangalia kwenye reply yao walipinga mambo hayo sasa kwa vile wao walipinga basi halikuwa pure point of law. Jaji anamuuliza kwani uamuzi wa Jaji ulikuwaje kuhusu suala hilo la value ya subject matter? Ilisema kuwa monetary value haikuwa issue kwasababu hawakudai masuala ya mgawanyo wa pesa. Jaji sasa tuambie value ilikuwa shilingi ngapi? Mheshimiwa jaji para ya 7 inasema hivyo. Jaji tuambie sasa mliandika wapi kwenye petition yenu value ya subject matter. Mhe. Jaji sasa hapa Hivi soma CPC kuhusu value ya subject matter inasemaje? Jaji amemwambia asome sheria inasema kuwa lazima kuwe na statement inayoonesha value ya subject matter. Expressely haipo lakini impliedly ipo, inasema huyu Bwana mdogo.😂 Jaji hebu sema sasa hiyo Para. 25 unayoase.a inasemaje? Au ndio hiyo ina statememt? Haya uamuzi wa Jaji umesemaje kuhusu suala hilo maana naona kama ndio unajibu leo haya mambo. Mheshimiwa Jaji value hazikuunganishwa. Jaji anamuuliza kwahiyo hiyo ipo kwa mujibu wa O.VII? Jamaaa amechanganyikiwa hawa wazee wanapiga sana maswali. Majaji wa Mahakamaa ya Rufani ni kama wao ndio Mawakili aiseee.😂 Alban Fidelis Kairu anaendelea kuhusu Court fees hilo ni suala la Mahakama halikuwa suala letu. Uamuzi wa Mahakama kuu uliotolewa ni kweli haikuwa Kesi ya Kikatiba. Na Appllicants walikuwa wanalalamikia under Political Party Act. Jaji sasa kama haikuwa Constitutional case ilikuwa ni kesi gani? Wakili wa akina Said Issa hii kesi yetu ilikuwa ni Petition. Inaanzia ukurasa wa kwanza. Jaji wa Mahakama ya Rufani isome kama ilivyo. Wakili anasema imeandikwa CIVIL CAUSE. Jaji na huko chini imeandikwaje? Wakili amasema imeandikwa Petition. Jaji: Sasa hapo nini ni nini? Mheshimiwa haya mambo magumu lakini ndio yako hivyo. 😂 Jaji sasa katika suit kuna civil case, constitutional case. Hii ni ipi? It is suit under political parties Act anajibu wakili wa serikali. Jaji labda tuendelee na wenzako pengine watakusaidia. Haya endelea tu. Naomba niwasomee uamuzi wa Mahakama kuu ulivyosema. Anausoma hapa. Kwa kifupi huyu jamaa anayeitwa Wakili anayoongea hata Majaji hawamuelewi. Wanangonga maswali yakutosha. Kwanza sauti yake imeisha kabisa sasa hivi hatumsikii. Ananong'oneza tu kule mbele. 😂 Waheshimiwa Majaji ukurasa wa 720 Jaji sasa hiyo si ni ile barua? Wakili anajibu ndio. Jaji sasa hiyo barua inaelezea ruling na ruling ndio inapingwa wewe hatukuelewi hapa unasema nini? Wakili mimi nasema Jaji alikuwa sahihi tu. Jaji sasa yale madai yenu yana affect constitutional right wewe unasemaje? Wakili anasema hizo rights tulizosema tuna refer kwenye Political Party Act. Jaji unataka nikukumbushe kila walichosema ili uweze kujibu? Wewe hukuwasikia? Waheshimiwa walitaja Article 12 na 30 hazihusiani na kesi iliyopo Mahakamani. Hakuna constitutional demand iliyopo. Jaji kwahiyo unasema ulikuwa una demand nini? Sisi tunademand kuvunjwa kwa Katiba ya Chadema na matakwa ya Sheria ya Vyama vya Siasa. Part 5 itaendelea kwenye post inayofuata. Naomba repost yako.
Filipino
18
163
334
12.8K
Bony 📚
Bony 📚@bonifacejoseph_·
Huyu fala naye alikuwa useless, kawacost sana wenzake wengi walikufa kwa sababu yake, pamoja na ulemavu wake akasurvive. 😂😂🚮
Bony 📚 tweet media
Filipino
37
22
483
26K
heiszephafx
heiszephafx@zephafx·
@mangekimambi Kuna bro nlikua namheshimu tu kapigwa block anajiliza usenge usenge
Filipino
0
0
0
33
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi·
Nasikia kuna watu wanatoa milio huko kuwa nawa block hapa kwenye page yangu. Hivi hawa watu ni wageni kwangu au? Mimi huwa nablock machawa wa wauwaji na wenye low IQ maana huwa sitaki watumie platform yangu kueleza upuuzi wao. Na wao wafanye kazi ya kujenga brand zao na platform zao then waspread mawazo yao kwa Watanzania, sio wasubiri kina Mange tufanye kazi ya kujenga platform zetu na majina yetu for almost 20 years then yeye aje kutumia platform yangu kusambaza mawazo yake ya low IQ. No you won’t use my platform kuwafikia Watanzania. Jengeni za kwenu. Yani ni hivi upumbavu wenu kaandikeni kwenye page zenu sio yangu. Hapa ni unachezea block na ki comment chako cha ki low IQ kinafutwa hapo hapo. Mimi sio kiongozi wa serikali, mimi ni private citizen, I have the right to block stupidity from my platforms. Serikali ndo inatakiwa ikubali na kupokea mawazo ya low iQ na high iQ maana hata hao wenye mawazo finyu ni elimu mbovu ya serikali imesababisha. So yeah, only intelligent people ambao wana mawazo sahihi ya kuleta haki kwa Watanzania ili nchi yetu ipate amani ya kweli watapata nafasi ya ku comment, Ila kama una unga mkono wauwaji na unyimwaji haki kwa Watanzania usilete pua yako hapa. Alafu kwani am that important mpaka mnalia lia hivyo nikiwa-block? Si mkaushe tu?
Indonesia
96
158
1.3K
58K
heiszephafx
heiszephafx@zephafx·
@bonifacejoseph_ Wakenya kila siku wanampga short rais wao yaan n hawamkubali vbaya sana😁😁
Indonesia
0
0
2
179
Bony 📚
Bony 📚@bonifacejoseph_·
Mkubwa wanamuita Benjamin Leta Nyau 🤣🤣🤣🙌
Bony 📚 tweet media
Indonesia
20
21
302
9.1K
BeLINDA
BeLINDA@belindaPINDA01·
@ArseneFanuel Ulikuepo kipindi anawauwa Umesahau marekani ni bigwa wa propaganda umesahau kwa gadafi isiwe na akili changa
Filipino
5
0
13
320
BeLINDA
BeLINDA@belindaPINDA01·
Spana kidogo kuhusu marekani Israel nikala block... Tutaungana kuitetea tanganyika ila ilifika swala la iran Qummmake sina uchawa wa kupuuzi🔥🔥🖕
BeLINDA tweet media
Indonesia
37
16
175
7.3K
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
KHAMENEI Hajafa unaambiwa, ule mtego tu, jamaa kajichimbia chimbo kama Makaveli!! 😁
#NIPENI_MAUA_YANGU💐 tweet media
Suomi
83
70
1.5K
56.5K
Kante
Kante@MkulimaKante·
@zephafx Unafikiri angeweka wazi uliza babu yake alikuwa ana asili gani
Indonesia
1
0
0
77
Kante
Kante@MkulimaKante·
Napendelea sana kukaa vijiweni na mara nyingi huwa napenda kuwa msikilizaji zaidi ili kuchota maarifa hata kwa wadau na siku ya leo ndio nimesikia kuwa hata Donald Trump sio mmarekani kama tunavoaminishwa wanasema ni muisraeli kihistoria.
Kante tweet media
Indonesia
39
13
265
12.5K
Kante
Kante@MkulimaKante·
@zephafx Unamjua babu yake😁🫵
Indonesia
1
0
0
407
heiszephafx
heiszephafx@zephafx·
@MkulimaKante Vita alianzisha irael akapigwa kipigo cha mbwa koko mwaka jana trump ametia maguu hata siku haijaisha kaangusha mbuyu achana na marekan chezea nchi zote ila trump akili zake anazijua mwenyewe
Filipino
1
0
1
29
Kante
Kante@MkulimaKante·
Nimenyoosha mikono juu hakuna taifa la kuipiga Marekani hata wakiungana vipi. Hawa jamaa wakikununia ni bora uwaombe tu msamaha yaishe🙌 Maana tekinolojia ya makorobosta yao inaogofya sana. Naamini China, Russia na Korea kaskazini kuna kitu wamejifunza. Mimi nimejifunza nilikuwa nawaamini sana Iran nikajua watakiamsha ila sijapenda siku moja tu jemedari chali💔💔🙌 Hawa jamaa tuwaheshimu tu no way, Nimenyoosha mikono juu🙌
Indonesia
64
24
362
30.3K
heiszephafx
heiszephafx@zephafx·
@mangekimambi Mzee kaua watu wengi sana yeye kuuliwa waarabu wa bongo mnajifanya kuskitika acheni unafki asee kwan wale waliouwawa walikua mapaka
Indonesia
0
1
7
1K
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi·
SERIKALI YOYOTE INAYOUA RAIA WAKE INASTAHILI KUONDOLEWA MADARAKANI KWA STYLE YOYOTE ILE…..
Indonesia
106
228
1.5K
49K