
northeast
2.4K posts


@Pierre88751351 @EsirEid unaijua iyo splitting the moon ni tukio gani😂😂 kabla anaetaka kuaibisha hajajiabisha zaidii.
NISHUSHE MADESA..?
Indonesia

#TajiriLaKihaya
Hatarii saaana🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Allahu Akbar🙏🏽
Cool_Ustaaz ☪@Cool_Ustaz
THE MOON LANDINGS ARE F-A-K-E AND THE QURAN TOLD US WHY THEY CAN'T GO. — OPEN THREAD 🧵
Indonesia
northeast retweetledi

@Tchoumen06 @mafolebaraka Amini kwamba kaka, shida kila unapogusa makolokolo kibao hadi yanakatisha tamaa km unafanyia watu kazi/kazi bure.
Indonesia
northeast retweetledi

Kuna mjadala niliona juzi huko kwa WAPOPO wakijaribu kulinganisha malipo ya ELON NA FACEBOOK.
Watu wa Facebook inadaiwa wanalipwa vizuri zaidi ya huku kwa elon. Kuna demu mmoja anafanya contents za football (mghana) na shabiki wa BARCA (Berneese).
Last year alishare post ya malipo yake kutoka meta kwa mwezi mmoja alilipwa $4,300(Zaidi ya MILIONI 10 TSH) na hapo alikuwa na followers 600K tuu.
Kwasasa anamiliki followers 1.7M na anaendelea kupeleka moto kama kawa,bado sijajua analipwa shingapi kwa mwezi ila muda huu YUPO SPAIN atakuwepo kesho BERNABEU kuangalia game ya Madrid na Bayern.
Maisha ya utafutaji hasa wanangu wa WEST AFRICA yamekuwa mepesi sana—kazi yao kuu kuumiza NDONGA mtandao unalipa. Ukileta hizo akili bongo unaonekana MWIZI.
Kikubwa wapo wanaofaidika wanaobisha nadhani wabaki na njia zao ngumu wanazoamini maana dunia nzima hatuwezi kufanana kama Maparachichi.
Hata wazee wetu miaka yao wapo waliosanuliwa michongo ya pesa wakakaza vichwa leo vinavyoumia ni vizazi vyao (Sisi).
FAINALI UZEENI—PITA KULIA NIPITE KUSHOTO MWISHO WA SIKU UZEE UTAAMUA.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Indonesia

@mafolebaraka 2) Friendly kiuchumi kwa maana haina mambo mengi.
mfano.
ili kijana abeti
a) anadeposit atakatwa kodi tu ya muamala
b)Akiwin inalatwa 18% WHT
amemalizaaa.
Hakuna kashikashi wala kukimbizana.
WATU WANABET sio kwa Kupenda coz hakuna Mambo Mengi + ts y n new company znaibuka daily
Filipino

@mafolebaraka Sipendi mtu akemee tatizo bila kuweka Solution/Alternative.
-Hakuna Asiejua betting ni tatizo
Then
1)Onesha Mikakati Himilivu ya Vijana kijikwamua (zingatia saana neno himilivu)
2)Mikakati Rafiki na Friendly.
Inaendelea...
Indonesia
northeast retweetledi

Hakuna nchi inaendelea kwa mideni ya 130trillion TZS..😁😁


𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿@_zack255
MAUZO YA NJE YA TANZANIA YAONGEZEKA KWA ASILIMIA 10.2 Mauzo ya bidhaa za Tanzania kwenda nje ya nchi yameendelea kuimarika ambapo yameongezeka kwa asilimia 10.2 kutoka TZS trilioni 40.7 mwaka 2024 hadi kufikia TZS trilioni 44.9 mwaka 2025. Ukuaji huu unaonesha kuimarika kwa shughuli za uzalishaji na biashara ya kimataifa, huku sekta mbalimbali kama kilimo, madini na viwanda zikichangia ongezeko hilo. #TanzaniaYetu
Indonesia
northeast retweetledi

ZIGO LA DENI LA TAIFA NI MATOKEO YA USHAURI WA HOVYO NA MAAMUZI MABOVU YA SERIKALI..📌
Suala la deni la taifa kuwa kubwa na linaelemea watanzania siyo la kuficha na ni matokeo ya ushauri wa hovyo wa kuuchumi na maamuzi mabovu ya kuamini kuwa kukopakopa ni njia ya kupata maendeleo.!
Inachosha sana tunapokuwa na watu ndani ya serikali ambao hawataki kutumia maarifa kuelekeza watu ubaya wa jambo hili lakini wako tayari kuleta amateurs kuja kutetea uozo wa hivi na kupotosha watanzania.
Sasa nimewachambulia kwa lugha nyepesi na laini sana kama uji wa mgonjwa mnywe na kuelewa ni kwa kiasi gani tuko kwenye shida na uhovyo wa ushauri wa Mwigulu umeliweka taifa hili hapa lilipo!.
🚨 Ukuaji wa deni la taifa kwa miaka yote aliyokuwapo Nyerere ,Mwinyi,Mkapa,Kikwete na Magufuli madarakani ni jumla ya $3.47bn (yaani miaka 60 hivi jumla ya kukopa kwao kwa mwaka)
🚨Lakini kwa miaka 4 tu serikali ya Rais Samia imekopa $6.25bn kwa mwaka
🚨Kwa miaka 60 marais waliotangulia wote wamekopa kwa jumla ya miaka 60 ongezeko la $28.3bn kwa mwaka
🚨Lakini ndani ya miaka 4 ya Rais Samia serikali imekopa kwa ongezeko la $25bn
Maana ya takwimu hizi ni hivi ,ndani ya miaka 4 kati ya 2021-2025
💡 Serikali hii imekopa mara 2 zaidi ya Magufuli
💡Serikali hii imekopa mara 4 zaidi ya JK
💡Serikali hii imekopa mara6 zaidi ya Nyerere
💡Serikali hii imekopa mara 9 zaidi ya Mwinyi
💡Serikali hii imekopa mara 19 zaidi ya Mkapa
🚨Unawezaje kukopa kwa kiwango hiki na takwimu hizi halafu unakosa aibu na kudanganya watu kuwa uchumi unakua? Unakua kwenda wapi yaani?
🚨Mambo haya yanakuwa hivi kwa sababu serikali imeshauriwa vibaya na ikafanya maamuzi ya hovyo kuamua kukopakopa matokeo yake leo hii unaambia watu uchumi umekua wanakutazama usoni hawakuelewi unaongea nini! Uchumi umekuwa wapi wakati hawana hela na hawaoni ukuaji unaousema kwenye maisha yao.
🚨Unawezaje kukua uchumi wa 6% hakafu unashindwa kuajiri vijana wanaomaliza vyuo vikuu wanaishia kuwa waendesha bodaboda mkawapa na jina eti "maafisa usafirishaji"..
🚨Unawezaje kuwa na uchumi unakua kwa 6% halafu miradi ya maendeleo imekwama na bado miradi uliyokopa hela kuijenga haijiendeshi kwa faida na inapata hasara! CAG amesema juzi SGR, Bwawa na Nyerere na BRT ni hasara tupu!.
🚨Unakuwaje na uchumi unakua kwa 6% halafu unashindwa kutoa subsidy /ruzuku kwenye mafuta ya magari watu walalalamika bei imepanda?. Kama uchumi unakua na mko na mihela mnayosema ya kutosheleza nchi kwa miezi 4.😁 si mtoe ruzeku au?
🚨Hatuwezi kuwa wajinga wa kusifia mambo ya hivi wakati ukweli ni kuwa serikali hii imeharibu uchumi kwa kuwa tumekopa sana na maamuzi mabovu ya kujiingiza kwenye mikopo ! Huu ni ukweli ambao lazima usemwe halafu tukishaelewana na kuwaambia watu ukweli tutarudi kusifiana na mambi ya mitano tena
🚨MWISHO ni kuwa sehemu kubwa ya mikopo hii na mihela hii inakwenda kwenye wapiga madiki na wezi kwenye miradi ya serikali ambayo kuna kikundi ndani ya nchi hiki kina fanya mambo haya ndiyo maana mnashangaa wakina Anjela Kizigha wanatoa wapi hela za kununua ma Bughati 😁 hawa watu ni wezi!
🚨Haya mamho ndiyo yanafanya watu wanapata hasira na kuingia manjiani kuchoma moto nchi bila kujali kufa! Haya mambo ndiyo yanafanya kila jumapili makanisani wachungaji na maaskofu wanaipopoa serikali kushoto kulia bila kuogopa!
🚨Nchi iko kwenye shida hizi halafu kuna watu wanaleta porojo za sijui kukua kwa uchumi wat wat!
🚨Hakuna uchumi unakua na tuko hapa kwa kuwa serikali ilipewa ushauri wa hovyo na Mwigulu na ikafanya maamuzi ya hovyo na leo tuko hapa! Rais alishauriwa vibaya na akaamua vibaya na tuko pabaya na tunaishi pabaya.
💡Pambaneni na takwimu hizo mimi sitaki shida maana FACTS ARE VERY STUBBORN📌
#KigogoMediaUpdates

Indonesia
northeast retweetledi

@MunishiRenald 😂😂tueni wapole Team iran itapata Visa, team Us woote visa uhakika hakuna haja ya fujoo
Indonesia
northeast retweetledi

🚨🇺🇸 🇮🇷 THE RESCUE MISSION EVERYONE CELEBRATED MAY HAVE KILLED MORE PEOPLE THAN IT SAVED...
Former CIA analyst Larry Johnson says nobody counted the losses.
Two Blackhawks down. A C-130 exploded mid-air. Possibly six dead from one crash alone.
All of this two days after Trump declared every air defense in Iran obliterated.
Then the post:
"Open the fucking strait, you crazy bastards."
Power plant day. Bridge day. Praise be to Allah.
Johnson says the cursing is noise.
Mocking a deity while needing every Muslim ally you can get is the real damage.
@LarryCJohnson2
Mario Nawfal@MarioNawfal
🚨LIVE NOW: TRUMP TO BOMB IRAN "BACK TO STONE AGE" IN 48 HOURS UAE-based political strategist Amjad Taha and Ex-CIA Larry Johnson On Iran War x.com/i/broadcasts/1…
English
northeast retweetledi
northeast retweetledi
northeast retweetledi
northeast retweetledi

#JasusiBriefing: ukiona kocha anamtoa nahodha wakati mechi bado ngumu, ujue gemu haiendi vizuri.
Japo Trump kamtimua Mwanasheria Mkuu Pam Bondi kwa sababu ya ishu ya Epstein kwa upande mmoja na pia kushindwa kuwatia hatiani mahasimu wa Trump, Mnadhimu Mkuu wa Jeshi Jenerali George Randy amepigwa chini kwa sababu vita ya Irani haiendi vizuri.
So far matarajio kwamba kumuua Ayatollah Khamenei kungepelekea regime change sio tu hayajafanikiwa bali pia they are far from being realised.
Inadaiwa kuwa kwa zaidi ya miaka 30, Irani ilikuwa ikijiandaa kwa vita kama hii. Na ikifanikiwa kudindisha kwa wiki chache tu zijazo, Trump atalazimika kumtaliki biefuefu wake Netanyahu hasa kutokana na shinikizo la uchumi wa dunia.
#Jasusi yupo mitaa ya Ghuba -virtually - na ataendelea kukujuza from time to time.
Roger! Over and out 😎
instagram.com/reel/DWt5CL0DG…
Indonesia
northeast retweetledi
northeast retweetledi















