๐‘ ๐š ๐ ๐ข ๐ฎ ๐ฌ

30.7K posts

๐‘ ๐š ๐ ๐ข ๐ฎ ๐ฌ banner
๐‘ ๐š ๐ ๐ข ๐ฎ ๐ฌ

๐‘ ๐š ๐ ๐ข ๐ฎ ๐ฌ

@Eradius_

Expert at giving advice I never follow.

Online Entrou em ลžubat 2014
6.1K Seguindo7.8K Seguidores
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madengeยท
Mpira natazama na remote mkononi, Man City wakishika tu mpira ninabadili Channel. Sitaki kuwaficha, hofu ni kubwa mnoo.
Filipino
42
17
398
7.7K
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madengeยท
Chupa za maji zenye nembo ya Arsenal zinauzwa kwa mashabiki wa Man City nje ya uwanja wa Etihad kabla ya mechi ya leo. Hizi dharau zao sisi tunaziona vizuri kabisa.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
10
13
284
5.5K
Vunga
Vunga@VungaEl74ยท
Wakati Iran ilizuia Mlango-Bahari wa Hormuz na kufanya mambo mengi kuhusu mabomu yao, mengi yalisemwa kuhusu wao kuwa wakubwa kuliko Marekani na ushindi wao bandia ulipokelewa na washangiliaji wao. Kwenye karatasi, walionekana kuwa upande wenye nguvu zaidi. Hadi hapo, Trump aliamua kuhamisha kipande kimoja tu kwenye ubao wa chesi na mengine sasa ni historia. Kwa hatua hiyo moja tu (kuziba Mlango-Bahari wa Hormuz) Trump aliharibu propaganda na mabadiliko yao yote. Wakati wa vita huwa muhimu kila wakati. Kama Iran ingetumia Mlango-Bahari wa Hormuz mapema; hakuna mtu angegundua sasa kwamba Trump anaweza kuamuru kwa urahisi kinachotokea katika bahari ya Arabia, Bahari ya Hindi, Ghuba ya Oman na Mlango-Bahari wa Hormuz. Trump anatufundisha tena kwamba kujizuia mara nyingi si jibu bora la uchokozi.
Indonesia
9
7
57
3.4K
Mange Kimambi ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ
Tonight, I had the pleasure of having dinner with the legendary @LarryMadowo, my Kenyan brother. We covered a wide range of topics, from Tanzaniaโ€™s October 29th massacre and where the country stands today, to what lies ahead and Metaโ€™s removal of my accounts. It was a deeply engaging and productive evening. It was a true honor to meet in person a journalist who works without fear, using his voice to speak for those who cannot.
Mange Kimambi ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ tweet mediaMange Kimambi ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ tweet mediaMange Kimambi ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ tweet media
English
131
677
4.8K
145.4K
Vunga
Vunga@VungaEl74ยท
Hapo ni sehemu ngani
Vunga tweet media
Indonesia
28
5
46
3.2K
Vunga
Vunga@VungaEl74ยท
Lahaula iran mikazo 0 ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Euskara
5
2
11
491
Vunga
Vunga@VungaEl74ยท
Iran wamefunga Mlango-Bahari na Trump hana baya ameamua kuwasaidi kwa nje kufunga kabisa hakuna mtu Kupita Kwani kuna ubaya Trump ni mtu makini sana ๐Ÿ˜…
Vunga tweet media
Indonesia
12
11
91
2.2K
Kante
Kante@MkulimaKanteยท
Who is this guy??
Kante tweet media
English
9
10
38
1.5K
๐‡๐š๐›๐ข๐ข๐› ๐˜๐š๐ก๐ฒ๐š
Waziri wa ulinzi wa China, Dong Jun, amesema,'China imejitolea kwa ajili ya amani na utulivu duniani na inafuatilia hali ya Mashariki ya Kati kwa makini, Meli zetu zinaingia na kutoka kwenye maji ya Mlango-Bahari wa Hormuz, Tuna mikataba ya biashara na nishati na Iran, Tutaheshimu na kutarajia wengine kutoingilia mambo yetu, Hormuz ipo chini ya Iran na Mlango upo wazi kwaajili yetu tuu
Indonesia
4
9
82
3.1K
Vunga
Vunga@VungaEl74ยท
Iran inaishutumu Marekani kwa kufanya "uharamia" kwa kuzuia Mlango-Bahari wa Hormuz. Milio imeanza trump ni master game ๐Ÿ˜๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ
Vunga tweet media
Indonesia
15
11
81
2K
๐‘ ๐š ๐ ๐ข ๐ฎ ๐ฌ retweetou
SATIVA17 X ( TWEETS)
SATIVA17 X ( TWEETS)@Sativa2555ยท
Usiseme chochote hapa Repost 970
English
25
820
2.2K
22.7K
MADOPE๐ŸŒพ
MADOPE๐ŸŒพ@Ugeniaconsoยท
Afya njema ndio mtaji pekee wa kuanzia kuzitafuta pesa. Habari ya asubuhi ๐Ÿค!?
Indonesia
31
39
85
1.3K
Vunga
Vunga@VungaEl74ยท
Rais Donald Trump "ni Rais asiye eleweka katika matamshi yake na msimamo wake akisema kitu ni kama utani ila ni kweli" Ayatollah Ali Khamenei aliambiwa aache kuua waandamanaji awape uhuru wao wa kuandamana ila IRGC waliendelea kuuua Trump akamwambia asifanye hivyo tena kuwaua waandamanaji ila bado akaua Trump akamwambia usiue watu kwanza upo kwenye mchakato wa utengenezaji wa nyukilia sitisha mara moja ila yeye akasema usitupangie sisi ni nchi huru Trump akamwambia tena acha mchakato wa urutubishaji wa uranium na usiue waandamanaji bado akaua vibaya na kuendelea na mchakato wake Ayatollah Ali Khamenei akasema usitutishe bwana hakuna kitu unaweza nifanya nimejiandaa vya kutosha usiingilie mambo ya taifa letu fatilieni mambo ya taifa lenu Kumbe Ali Khamenei alikuwa ameambiwa na Russia pamoja na China watamulinda hakuna ndege ya kukatiza kwenye anga lako tutandugua Trump aliamuru jeshi liende kumtoa kabisa asionekane Ali Khamenei Ndani ya sekunde ya 60 tu Ali Khamenei alifukiwa pamoja na wasaidizi wake Ali fia pale pale Ilisikitisha sana sekunde tu ya vita aliyo jiandaa nayo miaka 42 anaukufa bila kutua neno Pole sana kwa kiongozi mkuu Ayatollah Ali Khamenei Trump hatabiliki Maduro naye kilimpata Alimuonya Maduro Aache kutesa watu mara moja awape uhuru wake. Ila hakumsikiliza tena akamkejeri kabisa kama unataka nifuata nipo hapa. Trump akamuonya tena Maduro akamwambia hatishiki kwa lolote na amejipanga vizuri kukabiliana na majeshi ya marekani Trump akamuonya tena akamwambia unataka nikuoneshe Marekani inaguvu ipi Maduro akajibu kwa dharau kama unaweza nifate nipo hapa nimejipanga vizuri sana Masikini Maduro alikamatwa usiku akiwa amelala kama kuku na ulinzi wake wote uliondolewa Trump hajawahi kutabilika kabisa kwenye maamuzi yake labda yapigwe bunge au Pentagon kupitia CIA ije report ambayo bado mambo sio mazuri.
Vunga tweet media
Indonesia
13
11
68
6K
Vunga
Vunga@VungaEl74ยท
Kitendo cha kuwa na masayari 8 na mengi hayana maji na mangine hakuna oxygen mara hakuna gravity ni useless ๐Ÿšฎ
Filipino
14
9
73
4K
asmer de unique
asmer de unique@unique_asmerยท
Happy biirthday kwanguโ€ฆ.1+๐ŸŽ‚ Hii miaka nimefikisha woii..๐Ÿ˜ญnaweza kukupanlaana
asmer de unique tweet media
Indonesia
97
75
356
8.6K