Nature/Wildlife/People.

99.2K posts

Nature/Wildlife/People. banner
Nature/Wildlife/People.

Nature/Wildlife/People.

@IssaRanger

Worldwide adventures & MEMES. Lets share our similarities and celebrate our differences. Urafiki wa pesa siutaki.

Kilimanjaro, Tanzania Entrou em Ağustos 2017
16.9K Seguindo34.1K Seguidores
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Huu ndio ulikuwa muda wa serikali kujifunga mkanda na kupunguza matumizi yasiyo na lazima ili wananchi tupate nafuu ya maisha.
Indonesia
26
16
162
4.1K
Nature/Wildlife/People. retweetou
BIG LEO🦅
BIG LEO🦅@leodey4u·
repost if you've done this before 😂
BIG LEO🦅 tweet media
English
649
9.4K
23K
422.4K
Nature/Wildlife/People.
Wanasiasa ndio wafanyabiashara na wafanyabiashara ndio wanasiasa halafu sisi tumewekwa mtu kati,tutakamuliwa mpaka tutoke damu.
Indonesia
0
0
8
166
Nature/Wildlife/People. retweetou
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Finally tunaanza kuishi yale mambo ambayo tulikua tunasoma kama historia. Si Babu yako ulikua unasema ni mzembe bwana 🤭
Filipino
8
31
311
8.6K
Nature/Wildlife/People.
Chumvi itapanda,mchele & unga vitapanda,viazi vitapanda,mkate utapanda,nauli itapanda,mkaa utapanda,pumba itapanda,nyanya zitapanda,sabuni zitapanda,mafuta ya kupikia yatapanda,nyama itapanda,gas itapanda,cement itapanda,mbao zitapanda. Hapo ndio utatamani ungekuwa tu mtoto.
Indonesia
0
0
3
162
Nature/Wildlife/People. retweetou
ONJOLO KENYA🇰🇪
ONJOLO KENYA🇰🇪@onjolo_kenya·
Arrest Anthony 😂😂😂
ONJOLO KENYA🇰🇪 tweet media
English
168
2.2K
18.6K
233.5K
H E R R Y 🦉
H E R R Y 🦉@Uherry14·
Mimi Humu na Fake Life Wewe Je ?
Polski
2
4
7
489
H E R R Y 🦉
H E R R Y 🦉@Uherry14·
Wakina Dada punguzeni kutuita Dear sisi wengine tunaanza dhani mnatupenda tunaanza daka hisia
Indonesia
4
10
50
858
Joy Rich
Joy Rich@Joy_Mbura·
Mafuta pandisheni,Mpemba hana gari wala pikipiki Iła daladala msipandishe nauli naomba naomba💔💔 Mimi mwananchi wa kipato cha chini mtaniuwa Serikali yangu
Joy Rich tweet media
Filipino
8
9
55
2.5K
Nature/Wildlife/People. retweetou
Faith Lyimo
Faith Lyimo@Binti_Lyimo·
Watu wanakuangalia unajua umependeza kumbe wanakushangaa 🤣
Indonesia
1
5
7
155
Nature/Wildlife/People.
Kwa hii generation kuitwa Mume wangu/mke wangu ni swala la dakika tu 🤣🤣🤣yani dakika tu.
Indonesia
1
0
4
125
Larry Madowo
Larry Madowo@LarryMadowo·
Some Kenyans and Tanzanians are so angry at their governments and elected officials that they celebrate when leaders die. The disillusionment is deep!
Larry Madowo tweet media
English
100
766
4.3K
180.8K
LongaZimale
LongaZimale@LongaZimale·
@IssaRanger Asante sana. Karibu sana Kilwa Kipatimo upate Supu ya Pweza na uji wa shurba kwa Afya yako kijana wangu.
Indonesia
1
0
1
6
LongaZimale
LongaZimale@LongaZimale·
Wanaume tunakufa haraka kwa sababu ya kujitutumua kubeba “Mizigo” mikubwa ya Vicheche na Midege Pori isiyo liwa. Amani kwetu.
Indonesia
3
7
25
705
Nature/Wildlife/People. retweetou
LongaZimale
LongaZimale@LongaZimale·
Mwanamke atakacho kiongea wakati amekasirika, ni kweli toka moyoni kwake, usifanye mzaha nayo.
Indonesia
1
5
27
423