John Kitoka

4.2K posts

John Kitoka banner
John Kitoka

John Kitoka

@JohnKitokavo08

Director of Foreign and Diaspora Affairs. CHADEMA #SamiaToICC #JusticeForVictimsOfTanzaniaMassacres #ConstitutionalReforms #FreeTunduLissu

Cape Town, South Africa Entrou em Mart 2012
1K Seguindo3.3K Seguidores
Tweet fixado
John Kitoka
John Kitoka@JohnKitokavo08·
One year after the arrest of opposition leader Tundu Lissu, Tanzania faces a critical test of its democratic commitments and the rule of law. thechanzo.com/2026/04/09/tan…
English
0
8
26
581
Tanzania Editors Forum (TEF)
Umuhimu wa habari haujashuka, jambo la msingi tunafanyaje ili kuwa na vyanzo vingine vya mapato katika vyombo vyetu vya habari. Kwa sasa mapato hayajapungua kwenye vyombo vya habari pekee - Deodatus Balile, M/kiti TEF wakati wa Mkutano Maalumu wa Marekebisho ya Katiba, DSM.
Tanzania Editors Forum (TEF) tweet mediaTanzania Editors Forum (TEF) tweet mediaTanzania Editors Forum (TEF) tweet mediaTanzania Editors Forum (TEF) tweet media
Indonesia
2
0
1
84
John Kitoka
John Kitoka@JohnKitokavo08·
@MariaSTsehai Leo mtandao ni shida kubwa. Hawa mbwa koko wa huyu malaya wa kizimkazi wanasumbua sana leo. Hatuwezi ckia kabisa.
Indonesia
0
0
0
67
John Kitoka
John Kitoka@JohnKitokavo08·
Hoja iliyowasilishwa kwenye andiko lako ni dhaifu sana na haina mashiko wala uzito wa uchambuzi wa kina, bali imejaa mapungufu ya kimantiki na inakwepa kwa makasudi na kiasi kikubwa ukweli na uhalisia wa mazingira ya kisiasa nchini Tanzania kwa sasa. Inashindwa kutambua muktadha mpana wa uimla na ukandamizaji wa haki za binadamu na kisiasa unaoendelea, na badala yake inapindisha chanzo halisi cha mgogoro-ambacho ni ukiukwaji mkubwa na wa wazi wa Katiba na misingi ya utawala wa sheria na haki za binadamu. Kwanza kabisa, si sahihi kuwasilisha kurejeshwa kwa uhuru wa CHADEMA kama fursa iliyotolewa kama hisani na dola au mahakama kama mbinu ya kimkakati ya kupunguza shinikizo. Ukweli ni kwamba kuzuia chama cha siasa kufanya shughuli zake halali kwa siku 310 ni kosa kubwa la kikatiba, kisheria na kisiasa. Mahakama ya Rufaa haikugawa “nfursa ya kisiasa kama zawadi ”-ilirekebisha dhuluma baada ya kurudhishwa na hoja za waleta maombi. CHADEMA hatukupewa hisani; tulishinda mashindano ya hoja za kisheria ndani ya mfumo wa utoaji haki, licha ya mapungufu yake yaliyo bayana. Hiyo ndiyo tafsiri sahihi. Pili, hoja za wanaojiita wachambuzi wa kimkakati zinakosa uhalali wa kimaadili. Zilikuwa wapi wakati mamilioni ya wananchi waliponyimwa haki zao za msingi-haki ya kushiriki siasa, kukusanyika, na kuchagua viongozi wao katika uchaguzi huru, haki na unaoaminika? Kukaa kimya wakati wa ukiukwaji mkubwa wa haki za kikatiba na kijamii, halafu baadaye unaibuka baada ya haki kurejeshwa na kuanza kuonya kuhusu “mtego” kunaonyesha uchambuzi usio na msimamo thabiti. Tatu, kudai kwamba CHADEMA tulikuwa tunategemea “malalamiko ya kuzibiwa pumzi” kama mtaji wetu mkuu ni upuuzi usio kifani na kunabeza historia historia yetu ya mapambano ya kisiasa dhidi ya dola dhalimu. Ni kweli kuwa sasa tunapaswa kuendelea kuimarisha ajenda mbadala za kiuchumi na kijamii, lakini hilo ni jukumu la kudumu la chama chochote cha siasa-siyo matokeo ya kufunguliwa kwetu. Huu si mtihani mpya, bali ni mwendelezo wa wajibu wetu. Nne, kuweka mjadala katika fremu ya kwamba CHADEMA tunaweza “kulegezwa makali” kwa kupewa majukwaa ni kudharau uwezo wa kisiasa wa chama chetu pamoja na uelewa wa wananchi. Demokrasia hujengwa kwa ushindani wa wazi wa hoja, si kwa kunyima majukwaa. Woga wa majukwaa mara nyingi huwa upande wa wasioweza kushindana kwa hoja, si wale wanaotafuta kuyatumia majukwaa yenyewe. Mwisho, lakini siyo kwa umuhimu, CHADEMA tuna kila sababu ya kusherehekea ushindi huu kama hatua muhimu ya kurejesha utawala wa sheria na katiba. Hata hivyo, huu ni ushindi wa pambano moja tu-mapambano makubwa bado yapo mbele yetu, ya kupigania katiba mpya na demokrasia ya kweli, kulinda haki hizi zisivunjwe tena na ya kushinda vita ya hoja mbele ya wananchi kwa sera mbadala zenye kugusa maisha yao. Ni vita ya kuushinda uimla na ufisadi na impunity katika sura zake zote.
Filipino
0
0
1
23
ROYAL TELEVISION
ROYAL TELEVISION@Royal_Tv_Tz·
Wakati vumbi la shangwe likitimka na rangi za CHADEMA zikitawala mitaani baada ya kurejeshewa uhuru wa kufanya siasa, taswira ya nje inatafsiriwa kama ushindi mkubwa wa demokrasia nchini. Kwa wafuasi wa chama hicho, hayani matunda ya msimamo usioyumba na shinikizo la muda mrefu dhidi ya kile walichokiita ukandamizaji, wakiamini kuwa sasa uwanja wa mapambano umerejea mikononi mwao kuelekea kilele cha mabadiliko ya kweli. ​Hata hivyo, kwa jicho la ndani kabisa hatua hii inaibua mjadala mzito kuhusu mtego wa maridhiano. Wachambuzi wa siasa za kimkakati wanahoji ikiwa serikali imeamua kutoa uhuru huu kama njia ya kupunguza shinikizo la ndani na nje, huku ikijua fika kuwa kuwapa wapinzani majukwaa ni mbinu ya kuwafanya wapunguze makali ya mapambano ya chinichini. Swali linabaki: Je, CHADEMA wamepata haki yao kisheria, au wameingizwa kwenye mfumo wa diplomasia ya mezani unaoweza kuwapumbaza na kuwafanya waonekane kama sehemu ya utawala badala ya wakosoaji imara? ​Aidha, hali hii inaiweka CHADEMA kwenye mtihani mkuu wa ukomavu wa kisiasa na sera. Kwa muda mrefu, mtaji wao mkubwa ulikuwa ni malalamiko ya kuzibiwa pumzi, lakini sasa uwanja ukiwa wazi watatakiwa kuthibitisha kuwa wana hoja mbadala za kiuchumi na kijamii zinazoweza kumgusa mwananchi wa kawaida. Bila kisingizio cha kuzuiliwa, CHADEMA inatakiwa kuonyesha kama inaweza kushinda vita ya hoja dhidi ya serikali au kama itajikuta ikizama kwenye mtego wa kupiga kelele majukwaani huku mfumo wa utawala ukiendelea kujiimarisha kwa mbinu mpya za kisasa.
ROYAL TELEVISION tweet media
Indonesia
16
8
80
5.9K
John Kitoka
John Kitoka@JohnKitokavo08·
CHADEMA HQ +255 744446969 BACK AGAIN IN FULL FORCE. SUPPORT CONSTITUTIONAL REFORMS.
John Kitoka tweet media
English
0
10
23
294
Zoom Afrika
Zoom Afrika@zoomafrika1·
Who's this guy ?
Zoom Afrika tweet media
English
21
0
37
8.1K
John Kitoka
John Kitoka@JohnKitokavo08·
Although I am not deeply religious, I stand in firm solidarity with Pope Leo in condemning the manipulation of faith for political, military, or economic gain—including by leaders such as Donald Trump. Using the name of God to justify power and oppression is a grave betrayal of what is sacred. Religion must remain a force for truth, justice, and human dignity—not a tool for exploitation. #ApostolicJourney #Cameroon
English
0
0
0
50
John Kitoka retweetou
khalifa said #IRAN 🇮🇷 ☭🌹
mimi pia nawasihi watanzania, wanaoweza, waichangie chadema. tunafaidika moja kwa moja tukiwa na upinzani imara, unaoweza kuishika mapembe ccm na serikali yake, hususan kwenye sera na matendo yake ya kionevu na kikandamizaji dhidi yetu w'nchi. tujihimu:
Indonesia
26
382
1.3K
14.7K
John Kitoka
John Kitoka@JohnKitokavo08·
@mwikokirajabu @MariaSTsehai Napendekeza ukasome kitabu kilichoandikwa na Mchumi nguli Amartya Sen- "Development as Freedom. In fact, Democracy and Development are not mutually exclusive. Democracy isn't an antithesis of Development and the reverse is also very much true.
English
0
0
0
3
RAJABU MWIKOKI
RAJABU MWIKOKI@mwikokirajabu·
@MariaSTsehai Shangazi Maria, what should start first between Democracy and development?, kwa sababu watu wakiwa maskini wengi ni ngumu kupigania Democracy ndio maana utaona wananchi wanachanganywa Ata na kofia, baiskeli, n.k ivo wanaona kama hawana cha kupoteza .1
Filipino
2
0
0
143
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Kuna siku mtaelewa kwa nini nasema kuwa tunapoteza muda ila mabadiliko yanawezekana kirahisi kwa sababu #WenyeNchiWananchi - tunacheleweshana tu! But anyway hii njia ilikuwa lazima tupite ili sote tuamke - sema it came with a very heavy price tag! Ila #TutaelewanaTu
Filipino
8
52
226
4.7K
John Kitoka
John Kitoka@JohnKitokavo08·
Nimemuelewa sana Adam Smith. It's accountability. Stupid. #SamiaIsGuilty and must face the full force of the law.
John Kitoka tweet media
English
0
2
9
154
John Kitoka retweetou
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
Siku ya pili Bavicha wakiendele na usafi Makao Makuu Mikocheni, Dar es salaam.
Indonesia
6
88
594
11.7K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Wambieni tu vyama twa kwenye Briefcase kwamba huwezi kuendesha maisha yako kwa kutegemea uji wa mgonjwa.😂😂😂
HT
23
40
335
7.3K
John Kitoka retweetou
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imefuta (imeondoa) zuio (injunction) lililotolewa na Mahakama Kuu (Masjala ya Dar es Salaam) Juni 10, 2025 na Jaji Hamidu Mwanga (ambaye ndiye aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo). Zuio lilikuwa linazuia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufanya shughuli zozote za kisiasa, kutumia mali zake, kushiriki katika shughuli za chama hadi kesi ya msingi isikilizwe na kumalizika. Kesi (Civil Case No. 8323 ya 2025) ilifunguliwa na Said Issa Mohamed (Makamu Mwenyekiti wa Freeman Mbowe) pamoja na wenzake wawili (waliohusishwa na mgawanyo wa mali za chama kati ya Bara na Zanzibar). Walidai kuna mzozo wa ndani kuhusu mali na uongozi wa CHADEMA. Jaji Mwanga alitoa amri ya muda (interim injunction) ikizuia chama kufanya shughuli zozote za kisiasa na kufungia mali zake ili kesi yao isikilizwe. Amri hiyo ilikuwa ilikuwa ya muda wa siku 14 mwanzoni, lakini iliendelea kuwepo kwa miezi mingi (hadi karibu mwaka mmoja). Hadi kufikia leo April 15, 2026 ni jumla ya siku 310 tangu kuwekwa zuio hilo haramu kabisa. CHADEMA ililalamika kwamba: Zuio lilikuwa kali sana na liliathiri haki yao ya kufanya siasa. Jaji Mwanga alikiuka taratibu za haki ya kusikilizwa (right to fair hearing). Zuio lilikuwa limezidi muda unaoruhusiwa kisheria. Mahakama ya Rufaa iliyoketi Dodoma ilianza kusikiliza maombi ya marejeo (revision) Machi 24, 2026. Leo (Aprili 15, 2026) jopo la majaji limetoa maamuzi yake na kufuta zuio hilo lililowekwa na Jaji Hamidu Mwanga. CHADEMA sasa iko huru kuendelea na shughuli zake zo za kisiasa, mikutano, kampeni na matumizi ya mali yake bila kizuizi hicho. Hivyo shughuli ya kushughulika na Serikali katili ya CCM inaanza pale ilipoishia. Kesi ya msingi (mgawanyo wa mali) itarudi Mahakama Kuu ya Tanzania, lakini kwa jaji mwingine (sio Jaji Hamidu Mwanga tena) kuamua suala moja tu la msingi, kama kesi hiyo ililetwa ndani ya muda au vinginevyo.. Hakuna zuio la kufanya shughuli za kisiasa kwa CHADEMA. Chama chetu kiko huru kutoka katika minyororo ya ukatili wa Serikali katili ya CCM. CHAMA kitatoa taarifa rasmi kwa umma na kueleza vizuri. NB; Siku 310 za CHADEMA gerezani, ‘vyama mpango wa kando’ wa CCM hawajafanya hata kongamano la jando na unyago. Tumerudi, tupatane kwa ground tuwaoneshe kazi inavyofanywa. PEOPLE’S POWER. MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
Martin Maranja Masese tweet media
Indonesia
54
308
1.4K
44.8K
John Kitoka
John Kitoka@JohnKitokavo08·
Back again...✌️✌️
John Kitoka tweet media
English
0
6
27
1.1K
John Kitoka
John Kitoka@JohnKitokavo08·
The ruling by High Court Judge Hamidu, which had barred CHADEMA from carrying out its constitutionally guaranteed political activities, has now been overturned by the Court of Appeal. He will also be replaced by another judge in the main petition. This marks an important victory—one battle won—but many more lie ahead before the broader struggle is secured. #JusticeForLissu #JusticeForChadema @ChademaDiaspora @MariaSTsehai @rugemeleza
English
0
22
51
2.3K