KhalidMrope retweetledi
KhalidMrope
3.4K posts

KhalidMrope
@khalid_mrope
I can't ignore politics. #Simba&LiverpoolDiehardFan.
Katılım Haziran 2020
545 Takip Edilen235 Takipçiler
KhalidMrope retweetledi
KhalidMrope retweetledi

Ujumbe wa Bibi Sylvia ni alama ya Political Resilience.
Baada ya kupokea uamuzi Mahakama ya Rufaa kuondoa zuio lililowekwa na Mahakama Kuu kwa amri ya Jaji Hamidu Mwanga, chama chetu kikatangaza kufanya mkutano na waandishi wa habari kueleza kuhusu uamuzi na mwelekeo wa chama baada ya hatua hiyo.
Tumefika Makao Makuu. Mbele yangu ameketi BIBI. Tangazo limetolewa muda mfupi, lakini amefika kuwasikiliza viongozi. Nikamfuata, nikamsalimia. Akafurahi. Anaitwa Sylvia Ernest Kayombo. Ana umri wa miaka 74. Amewahi kuwa mtumishi wa Serikali.
Hii ndiyo ‘political emotional attachment’. Kwa umri huo, hatafuti vyeo au fursa. Anaamini katika kinachopiganiwa na CHADEMA. Ni uzalendo wa Kifikra. Bibi Sylvia ana matumaini kwamba mabadiliko anayoyatamani kuyaona Tanzania yanaweza kutokea kupitia CHADEMA.
CHADEMA imevuka hatua za kuwa chama cha siasa. Huwezi kuisambaratisha imani kwa amri. Katika sayansi ya jamii, taasisi inapofikia hatua ya kuwa imani, ni ngumu kuisambaratisha kwa nguvu za nje (external shocks) kama amri za mahakama na shinikizo la dola.
Hii ni kwa sababu muunganiko wa mwanachama na chama unahamia katika moyo (emotion) badala ya maslahi ya msimu (opportunism). Uwepo wa bibi ni ujumbe kwa viongozi wa chama, kuna kizazi kinachotazama kila hatua kwa matumaini makuu,
Ujumbe wa Bibi Sylvia Ernest Kayombo ni alama ya uvumilivu wa kisiasa. Ni dhihirisho siasa za kweli hazijengwi juu ya ruzuku au ofisi za kifahari, bali zinajengwa juu ya matumaini ya watu ambao wako tayari kusubiri, hatima ya kitu ambacho wanaamini.


Indonesia
KhalidMrope retweetledi
KhalidMrope retweetledi
KhalidMrope retweetledi

@YerickoNyerereT Kazi ya Yericko siku hizi ni kujipiga kidole na kujinusa,,!!!
Indonesia

Hivi ndivyo ubilionea unavyotengemezwa na kukua, Na huu ndio ujasusu wa Kiuchumi, Kwa sehemu flani Tanzania imeanza kushinda vita vya ujasusi wa kiuchumi kwa hatua kubwa sana katika eneo la Afrika Mashariki, Majirani hawaamini wanachokiona kutoka Tanzania. Ni juzi tu Rostam kanunua 80% ya vyombo vya habari vyote nchini Kenya.
Hongera TISS kwa kazi kubwa ya kutegua kitendawili kigumu na kufungua mitego yote migumu ya kiuchumi kwa Watz katika ulingo wa Afrika. Tunahitaji kina Rostam 10 hivi ili kuiendesha Afrika kiuchumi, Twende kushindana na mashirika makubwa ya Ujasusi wa Kiuchumi Afrika kama South African Secret Service (SASS na The Egyptian General Intelligence Service (GIS), or Mukhabarat.
Tuko kwenye njia nzuri sana, tuwekeze nguvu kubwa kuwalinda Wawekezaji wetu wakubwa wa kimataifa kama Bakhresa Group, Rostam, Mohamed Dewji nk, Pia Tiss inawajibu wa kujenga matajiri wengine wapya kwa kila namna na waingie kwenye ushindani wa kiuchimi Afrika. Serikali kwa upande wake iondoe sera za kifedha zinazozuia ukuaji wa matajiri, Sera za kikodi ambazo ni kikwazo kwa matajiri, Bad behavior ya kiutumishi kwa watekelezaji wa sera za kiuchumi nchini. Kwakufanya hivyo, ndani ya miaka 15 tu mbele, Tanzania itakuwa moja ya chini zinazokua kwa haraka kiuchumi kwakuzalisha matajiri wengi na kwa haraka sana.
Halafu kesho wajinga wenye videri akilini hasa wanaharakati uchwara waliojazana huku upinzani wataanza kuropoka ati oooho Rostam mwizi mara fisadi nk…..Mtu ananunua hisa halali kwa 100% anamiliki uwekezaji kwakufuata sheria zote za nchi, halafu kesho kibaka wa upinzani nchini ataibuka na porojo….
Waswahili tuna wivu sana!
Na Yericko Nyerere


Indonesia
KhalidMrope retweetledi
KhalidMrope retweetledi

@LembrusMchome @ChademaTZ2 @ccm_tanzania @TunduALissu Ila nyie akina Mchome jau sana, kuna Mchome mwingine anashangilia Yanga ila uwa anajifanya shabiki wa Simba ni jau sana yule jamaa!!
Indonesia

Mwl.Yohana Lulyeho ni Katibu wa @ChademaTZ2 mkoa wa Tabora, ni katibu wa Mbunge wa Nzega mjini @ccm_tanzania alikua meneja kampen wa Mwenyekiti @TunduALissu kipindi cha uchaguzi wa ndani ya chama kwa mkoa wa Tabora. Mwenyekiti akipata hizi habari gerezani ataumia sana.

Indonesia
KhalidMrope retweetledi

@LembrusMchome @ChademaTZ2 @ccm_tanzania @TunduALissu Yohana sio Katibu wa Mkoa CDM kwa sasa usipotoshe. Alijiuzuru nafasi hiyo pamoja kujivua uanachama wake kwa barua. Na alikabidhi mali zote za chama zilizokuwa chini yake. Kujiudhuru na kuhama chama haijawahi kuwa kosa la jinai. Ameondoka sisi tunaendelea kukijenga chama.
Indonesia
KhalidMrope retweetledi
KhalidMrope retweetledi

Pandre kitima ametoa hekima yake tundu lissu achiwe Huru ili amani iwepo nchini
#tutaelewantuh
Indonesia
KhalidMrope retweetledi

Dunia inajua kwamba kesi ya Mwenyekiti wetu ni uongo..
Dunia haijatuacha na haitatuacha katika mapambano haya..
Kila mtu kwa sauti kubwa tunapaswa kupiga kelele kila siku kuhusu #FreeTunduLissuNow Hii ndio iwe kampeini yetu.

Indonesia

@YerickoNyerereT @ChademaTZ2 Wewe unashindwa kuimiliki CDM, unakubali vipi kushindwa na mwanamke jasusi, faida ya ujasusi na mizimu yako ipo wapi?

Indonesia

Mmiliki wa @ChademaTZ2 akitoa maagizo kwa wajumbe walikwenda kukutana na Jumuiya ya Madola…. Mwisho anawatukana kabisa kwamba “WASILETE UPUMBAVU”.

Filipino

@YerickoNyerereT Heche kavamia siasa, nyie watu wa Kigamboni huyu mganga aliyemroga kafa au ni vipi?

Indonesia

Umeelewa nini katika hizi picha mbili?
Mzee wangu @omarkashera Somo la Protoko linatakiwa sana kuhimizwa kwa viongozi wa vyama vya siasa, viongozi wa kijamii na watu maarufu na mashuhuri.
Hii ndio tofauti kubwa ya Viongozi wa kisiasa na wanaharakati uchwara wahuni waliovamia siasa.
Picha gani hii ya kihuni kwa kiongozi wa taasisi anayopiga na kiongozi wa kimataifa huku umelazimisha kumshika mkono kama mko baa? Kweli maadili ya kisiasa na kiuongozi yametoweka!
Na Yericko Nyerere

Indonesia

@kasesco_tz Watu wanataja Chanika, Vikindu, Bunju, Kigamboni kuwa ni vijijini, majibu ya swali yanaangalia umbali badala ya sifa ya eneo kuitwa kijiji, kwamba sehemu kuwa mbali na city centre ndo inakuwa kijijini? Harakati zinazofanyika Chanika zinaweza meza Kahama nzima😂😂
Indonesia
KhalidMrope retweetledi

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuutarifu umma kuwa leo, tarehe 10 Aprili 2026, Makamu Mwenyekiti wa chama, Mheshimiwa John Heche, ameongoza jopo la viongozi wa chama katika kikao na ujumbe maalum wa Mjumbe wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Rais mstaafu wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera, ambao wapo nchini kwa ajili ya kufuatilia matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu yaliyoripotiwa kutokea tarehe 29 Oktoba, ambapo wananchi wengi walipoteza maisha.
Walioambatana na Mhe. John Heche
ni Katibu Mkuu Mhe. John Mnyika, Naibu Katibu Mkuu Bara Mhe. Amani Golugwa, Mwanasheria Mkuu wa Chama Mhe. Rugemeleza Nshala, Mwenyekiti wa Bazecha Taifa Mhe. Susan Lyimo na rafiki wa Chadema Mhe. Jenerali Twaha Ulimwengu
Katika kikao hicho, Dkt. Chakwera amepokea taarifa ya msimamo wa Kamati Kuu ya CHADEMA. Aidha, amepewa maelezo ya kina kuhusu matukio yaliyotokea kabla na baada ya tarehe 29 Oktoba, ikiwemo kukamatwa kwa Mwenyekiti wa chama, Mheshimiwa Tundu Lissu, pamoja na wimbi kubwa la utekaji, mauaji ya raia, na kuzuiwa kwa shughuli halali za kisiasa za chama.
Vilevile, Dkt. Chakwera amepokea ombi rasmi kutoka CHADEMA la kuruhusiwa kwenda kumuona Mheshimiwa Tundu Lissu akiwa gerezani, ili kujionea hali halisi na kupata taarifa za moja kwa moja.

Indonesia














