ubuntu

3.4K posts

ubuntu banner
ubuntu

ubuntu

@UbuntuSt

Philosopher

Dar es Salaam, Tanzania Entrou em Nisan 2022
516 Seguindo341 Seguidores
ubuntu
ubuntu@UbuntuSt·
@ChademaTZ2 Mhhh Kuna semaji la Chama engine inaweza Toboa hapo Kweli? Tuache unafiki chadema Ina watu smart Sana asee..
Indonesia
0
0
0
34
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
Mahojiano ya Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi Mhe. Brenda Rupia na chombo cha habari cha Africa Thinks.
Filipino
16
142
515
9.8K
ubuntu
ubuntu@UbuntuSt·
@Foseveni47 Unafaidika nini kufurahia mateso ya binadamu mwenzako ? Ukiwa Na akili Zako kbs Na hofu ya Mungu unaamini kbs Lissu ana kesi? Acheni roho mbaya Na mjue Mungu yupo kazini siku zote.
Indonesia
0
0
0
21
FOSSE MINDZ
FOSSE MINDZ@Foseveni47·
#TaifaKwanza #KataaVurugu Kauli ya Mwabukusi Rais wa TLS kuhusu mwenendo wa kesi ya uhaini ya Tundu Lissu imetolewa na Wakili huyo bila kuzingatia utaratibu wa kusikilizwa pande zote (due process). Kama Mwabukusi ameamua kuingia kwenye siasa ajiuzulu nafasi hiyo akagombee kwenye Vyama na aache Chama cha Kitaaluma kitekeleza majukumu yake. #TumeNaUkweli
Indonesia
2
10
8
570
ubuntu
ubuntu@UbuntuSt·
@Mwitah_tz Kiingereza chenyewe unatumia chatgpt. Utaweza kuelewa alichokiandika?
Indonesia
0
0
2
89
Mwita C. Mwita
Mwita C. Mwita@Mwitah_tz·
You know the concerns you have just raised are well understandable BUT at the same time, it is important to recognize that the Tanzanian commission you refers to is not the only process underway. Tanzania has, in fact, hosted multiple independent and international review efforts looking into the same issues. These include engagements facilitated by the office of the United Nations Secretary-General through a Special Representative who met with even fhe President , as well as stakeholders across society etc. Kwa mfano. Honorable Sen, you must have known that, regional and multilateral bodies have also taken an interest in assessing the situation. A delegation linked to the Commonwealth of Nations, led by former Malawian President Lazarus Chakwera, has also been part of these engagements. African-led initiatives, including one associated with the African Women Leaders Network, have involved respected former heads of state like Ellen Johnson Sirleaf and Sahle-Work Zewde. Mr. Sen drawing conclusions based only on one report while several others are still pending may risk presenting an incomplete picture. A more measured approach would allow space for all these findings to be released and assessed collectively. This is particularly important in complex governance matters, where different inquiries may highlight different dimensions, from legal accountability to institutional reforms and social reconciliation. I hope you understand that , maintaining a balanced perspective helps avoid premature judgments that could deepen mistrust. Those who remain skeptical of the domestic commission’s findings may reasonably choose to wait for the outcomes of these additional international and regional reviews. In the meantime, it is equally important to acknowledge that Tanzania continues to function as a stable state, engaging openly with multiple oversight processesan indication that scrutiny is being addressed rather than avoided. Thank you for your attention to this matter.
Senate Foreign Relations Committee Chairman@SenateForeign

As expected, this “commission” glossed over a violent crackdown and the facts. I support the administration’s bilateral review and call for sustained pressure on Tanzania, including the release of Tundu Lissu. Waiting out scrutiny with a whitewashed report is a flawed strategy; it won’t restore credibility but rather deepens long-term risk and mistrust of the ruling regime.

English
7
16
24
3.5K
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
‼️🚨MBONA WAMEMKURUPUSHA LISSU NA KUMTOA GEREZANI KINYEMELA‼️ Jamani angalieni Lissu hata hajachana nywele wamemwamsha na kumkurupusha! Wamembeba na gari waliong’oa plate nunber na kwa siri Hawakutaarifu mawakili wake This is not right! Kulikuwa na emergency gani ? Hii ni hatari! Lissu appears disheveled and hurried in today’s clandestine transfer to court without his lawyers being notified! Something is fishy! Hii haikubaliki! Hatuoni good intention hapa! Msirudie tena au tutajua mnataka kutekeleza nia ovu #FreeTunduLissu NOW!
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
43
232
883
42.5K
GASTON SHUNDO GARUBINDI
GASTON SHUNDO GARUBINDI@ShundoGaston·
MHE LISSU AFIKISHWA MAHAKAMANI LEO Leo Asubuhi, Mheshimiwa Lissu amefikishwa Mahakamani kusomewa uamuzi mdogo kufuatia Maombi yake ya kuunganishwa kwenye kesi ya Said Issa Mohamed na wenzake dhidi ya Bodi ya wadhamini wa Chama na Katibu Mkuu. Kuna mambo mawili hapa ya kukumbuka; Mosi, Maombi ya Mhe Lissu yalisikilizwa na Mwanga hivyo kisheria yeye alipaswa kutoa uamuzi wa Maombi hayo. Pili, Ikumbukwe kwamba jalada la kesi ya Said Issa Mohamed na wenzake dhidi ya Bodi ya wadhamini na Katibu Mkuu, lilishaondoka mezani kwake, lipo kwa Jaji Ngunyale. Sasa, Jaji Mwanga katika uamuzi wake amekataa Maombi ya Lissu kuunganishwa kwenye hiyo kesi. Ufafanuzi zaidi utatolewa na Chama.
Indonesia
7
71
254
8.4K
ubuntu
ubuntu@UbuntuSt·
@MariaSTsehai Ni kuikosea heshima CDM kumuita eti ana komu wa CDM, huyo aitwe Anna komu wa jaji mtungi mtumika kuua chadema.
Indonesia
0
0
1
18
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Kuna mengi sana tutajifunza kipindi hiki kigumu Na moja ni kuhakikisha uzeeni huharibu legacy yako Aione hii kwenye file Chande na Juma Nasema #TutaelewanaTu
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Filipino
10
41
201
9.6K
ubuntu
ubuntu@UbuntuSt·
@joniieugene @HildaNewton21 Sahih, hicho kilitakiwa kiwe kipindi cha kutibu madhambi yote maana hata km ulikuwa huamini uwepo Wa Mungu ndio tayr siku Zako zimeshafika Kikomo. Bora uanze kubeti ukimkuta upone.
Indonesia
0
0
0
21
eugene
eugene@joniieugene·
@HildaNewton21 Unakuta mtu ana miaka 86 na kiuhalisia kwa maisha ya kawaida hapo ana miaka 5 tu ya kuishi akiwa na akili timamu...lakini bado anakua chawa na kujidhalilisha kama vile ana miaka 40 ya kuishi... Imagine hawa wazee Polepole kashinda
Indonesia
2
2
31
2.5K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Mzee Butiku kaleta uchawa wa kumtetea Idd Amin Mama weee saizi kapigwa na stroke yupo huko anapigania uhai wake.
Hilda Newton tweet media
Filipino
99
115
1.2K
45K
ubuntu
ubuntu@UbuntuSt·
@EduTalkTz @kitilam Sahih, mf mdogo Tu, katiba yetu inasema hata ukipata kura 1 Zaidi ww Ni mshindi. Zile Kura mil 32 zilikuwa Na haja Gani kupikwa? Kura mil 3-5 zilitosha kbs. Mf mwingine kulikuwa Na haja Gani kutumia nguvu Ile? Nahisi wanamfanyia maksudi kbs Na baada ya urais wake atajutia.
Indonesia
0
0
2
280
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Swali kidogo kwa Prof. @kitilam : Hivi mheshimiwa, kwa taaluma yako, uwezo wako, na hata conscience, haujisikii aibu kuwa sehemu ya utawala wa aina?? Mmeshindwa kabisa hata kutumia taaluma maarifa ya kawaida kumsaidia Samia kufanya propaganda?? Inakuwaje watu wazima mliosoma na kufanya kazi nyingi za kitaaluma mpaka kuwa MAPROFESA mnakubali boss wenu awe exposed kiasi hiki?? Ni kweli mmeshindwa kabisa hata kumshauri namna ya kupackage uongo ili angalau usound kama ukweli??? Hata kumwambia “mheshimiwa, kuna namna tunaweza kuandika hii report ikatusaidia kufanikisha malengo yetu ya kitawala pasipo kutuexpose” mmeshindwa kabisa?? Rais anawezaje kuzungukwa na maprofessor yet akabehave namna hii mbele ya umma na jumuiya ya kimataifa?? Mtachukuliwa serious kwenye lolote kweli??🤔🤔🤔
(---) Onesmo Mushi tweet media
Indonesia
36
37
218
18.9K
ubuntu
ubuntu@UbuntuSt·
@EduTalkTz Anapigania ukurugenzi wa TBC. Huyu Jamaa Naye ameamua kujichafua kutumia mfumo dharimu Ambao mwisho wake lazima utakuwa mbaya kwao Tu.
Indonesia
0
0
0
38
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Njaa na tamaa ni kitu cha kisenge sana.
(---) Onesmo Mushi tweet media
Eesti
76
38
300
10.5K
ubuntu
ubuntu@UbuntuSt·
@MariaSTsehai Hili taifa liko kwenye hatarii kubwa Sana,yaan Kweli hata km unaamua kudanganya unashindwa hata kutumia akili japo wale wenye uelewa Mdogo uwawazishe? Hili taifa Kweli? 63 elfu? Wale wale Wa kupika matokeo eti watu million 32 walipiga kura Kweli? Taifa Kiko ktk htr kubwa sana
Filipino
0
0
1
350
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
🙄 Ila nyie! Ina maana miezi 4-5 walikuwa bize wanapokea simu na sms hizi 56k We are not serious as a country tukipokea mambo haya kama ilivyo! Alafu hao waliojaza anonymous mbona hamjatushtua tungesaidia kujaza 😁 Sijui wanatuonaje ila hii ndo classic case ya kupiga sarakasi umevaa taulo 🤣 #TutaelewanaTu #SamiaMustGo
Maria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
37
72
391
31.2K
ubuntu
ubuntu@UbuntuSt·
@joeselasini Waliokosea Sana waliokubali Amri haramu ya kuua vijana wasio Na hatia. Huwezi waua watu namna hii halafu utegemee ww Na kizazi Chako kuishi kwa Amani. Hiyo haiwezekani Na haina maridhiano. Ni suala la Muda
Indonesia
0
0
0
22
ubuntu
ubuntu@UbuntuSt·
@EsirEid Hapa duniani Kuna vitu 2 vinapingana, Giza Na Nuru ukiamua kufuata Giza hapo utahangaika Na mwili wako(materialism) mpaka utaua Na kutesa Akina Lissu wengi, lakin ukiamini ktk Nuru(idealism) ww uko Na Mungu. Amini nakwambia mauaji Yale Na mateso Yale Na haya hayatapita hivihivi.
Indonesia
0
0
2
607
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Watu wanaojidai kushangazwa/kukasirishwa na LISSU kuzungumza Au kuweka maridhiano na Serikali Regardless to whether akiwa Gerezani Au Huru ni WANAFIKI na WABINAFSI MNO! Dunia KWA Sasa imebadilika saana ni KATILI MNo … International Laws zipo kwenye karatasi tu ila Hazifatwi… Kanuni ni ile ile ONLY THE STRONG WILL SURVIVE! Iran,MOJTABA khamenei -Marekani /Israel-Wameua BABAKE MZAZI,MKE wake na Familia yake…wamelipua Raia wakiwemo wanafunzi 168… wamelipua miundo mbinu nk… Ila BADO wanaenda PAKISTAN kuzungumza, Kuona jinsi gani watayamaliza maisha yaendelee… Alafu wewe unajidai Hutaki Lissu azungumze- Ningewaelewa Kama na nyie mliopo URAIANI,mngegoma kuzungumza na serikali Au kuifanyia kazi… Ila wewe ni mfanyabiashara- BADO unaendelea na shughuli zako na unalipa Kodi serikali bila shida… mlioajiriwa serikalini mnaenda kazini… kila kitu kipo Normal Alafu unaendelea kufurahia mwingine yupo Gerezani! Yaani mtu mmoja akupiganie wewe… Kama kweli mngekuwa na hio NIA… Watu wote mngegoma hamfanyi chochote hadi LISSU Aachiwe Huru… Walimu msiende shuleni, Madaktari msiende Hospitalini… mlioajiriwa msiende kazini… Wafanyabiashara Msiagize mizigo… mathalan, waagiza mafuta wagome kuagiza hadi lissu aachiwe huru nk. UCHUMI usimame… Wiki moja tu- LISSU angekuwa URAIANI… Ila nyie mnaendelea na your normal duties- mmeshaHALALISHA serikali mnayoiita ni HARAM… Alafu LISSU awapiganie😅 mnashangaza! Kama kweli unampenda LISSU hauwezi furahia akiendelea kukaaa KOROKORONI… sio Sawa kwanza Kwa waliomweka in the first place Ila DUNIA HAIJALI… Hakuna HAKI kwenye DUNIA KATILI… Kimsingi tayari- RAIA tumesha MSALITI TUNDU… maamuzi yoyote ambayo LISSU atayachukua… ni HALALI na HATUMDAI Kwa chochote Kile…
Indonesia
127
113
570
34.8K
Odero Odero
Odero Odero@HakiBalozi255·
Kwa nini viongozi wanasiasa na wanaharkati wameamua kwa makusudi kuvuruga na kuipa kisogo ajenda ya Msimamo wa LISSU kuhusu utayari wake wa kufanya Mazungumzo baada ya kufutiwa mashitaka dhidi yake ? @godbless_lema @HecheJohn @HildaNewton21 @IAMartin_
Indonesia
86
2
22
15.3K
ubuntu
ubuntu@UbuntuSt·
@zittokabwe Daaa Ila zitto Kweli ndio amekuwa binadamu WA kupingwa Kwa kila anachokisema? Zitto aliyekuwa Na uwezo WA kugombea Jimbo Lolote tz Na kushinda Leo amekuwa hivi? Hata Lissu Kwa zitto ilikuwa akalale Kwa ushawishi Leo hii zitto ndio WA kudharauliwa Kwa namna hii? Zitto Zitto zitoo
Filipino
0
0
0
235
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe@zittokabwe·
Ni dhana ya 'kweluma'. Ameandika vizuri mwana riwaya Jeniffer Nsubuga Makumbi wa Uganda katika Kitabu chake kiitwacho THE FIRST WOMAN. Kweluma: that is when oppressed people turn on each other or on themselves and bite. It is a form of relief. If you cannot bite your oppressor you bite yourself!
Ansbert Ngurumo@ngurumo

Nimesoma chapisho ya Wakili Kisabo tena. Sioni tatizo lolote katika kauli ya Tundu Lissu. Kinachokera baadhi ya viongozi na wafuasi wake ni maneno 11 ya mwisho kwenye pointi namba moja: "kwamba yuko tayari kwa mazungumzo akiwa mtu huru yeye pamoja na chama." Kwanini yapotoshwe?

English
24
5
30
24.6K
Odero Odero
Odero Odero@HakiBalozi255·
@mwigulunchemba1 Ndugu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania picha hii uitunze na ikukumbushe kwamba Uongozi ni HUDUMA,Uongozi ni Majawabu kwenye mkwamo,matatizo.Hongera kwa kuonesha kujali. Tukumbuke Maridhiano @ikulumawasliano @SuluhuSamia
Odero Odero tweet media
Indonesia
13
4
6
415
ubuntu
ubuntu@UbuntuSt·
@sukununu01 Hiyo issue Iko Mbali Sana Kwa upeo wa fikra Zako, hivyo chili Tu usikilizie Saa 2 usiku ukalale.
Filipino
0
0
1
96
SUKUNUNU 🇹🇿
SUKUNUNU 🇹🇿@sukununu01·
Chadema inaharibiwa na wanaharakati hasa mwanamke chama kinatakiwa kuongwa na wanasiasa sio wanaharakati asilia 90 wakili wanaeee mpiga vita leo huyo ndio msaada kwa asilimia kubwa wanachama wanapokamatwa mkono wake wa kuwapambania kuwa towa upo
SUKUNUNU 🇹🇿 tweet media
Filipino
68
2
25
4.3K