Kitila Mkumbo (PhD)

4.2K posts

Kitila Mkumbo (PhD) banner
Kitila Mkumbo (PhD)

Kitila Mkumbo (PhD)

@kitilam

Husband to Prosista, Dad to Aggrey, Calvin and Abigail, TZ raia, mwananchi, MP, Minister. Tweets mine!

Tanzania Katılım Eylül 2013
817 Takip Edilen145K Takipçiler
Kitila Mkumbo (PhD) retweetledi
Tabassum Parveen
Tabassum Parveen@Tabbu_ai·
Instead of watching 2 hours of Netflix, watch this MIT lecture by Patrick Winston. It will teach you more about communication and clarity than most people learn in years of speaking. Save this.
Tabassum Parveen@Tabbu_ai

x.com/i/article/2050…

English
4
36
193
44.7K
Kitila Mkumbo (PhD) retweetledi
Vala Afshar
Vala Afshar@ValaAfshar·
A masterclass on ‘how to speak’ by MIT professor Patrick Winston - 15 key lessons
English
3
65
249
28.7K
Kitila Mkumbo (PhD) retweetledi
Belarus MFA 🇧🇾
Belarus MFA 🇧🇾@BelarusMFA·
🇧🇾🇹🇿#Belarus views #Tanzania as a strategic partner and a key gateway to the markets of East and Southern Africa. During Belarusian FM Maxim Ryzhenkov’s meeting with Tanzania's Minister of State in the President's office @kitilam, both sides agreed to expand the legal framework for investment protection, customs cooperation, and visa facilitation 🤝
Belarus MFA 🇧🇾 tweet media
English
0
7
18
763
Kitila Mkumbo (PhD) retweetledi
Ramy Abdu| رامي عبده
French judge Nicolas Gouyou, who issued an arrest warrant for Netanyahu at the ICC: • Visa and Mastercard have blocked all my cards • I cannot make any purchases • I am a judge, yet treated like a criminal • Judges, lawyers, and politicians are being intimidated • A colleague told me my name won’t be removed from the blacklist until Trump’s term ends • Despite intervention by the French president, U.S. authorities have not responded
English
2.3K
39.8K
98.3K
4.8M
Kitila Mkumbo (PhD) retweetledi
Russians Rox
Russians Rox@Russians_Rox·
🚨 BREAKING: 🇶🇦 Qatari Minister Lolwah Al-Khater to Trump and Netanyahu: “Stop speaking on our behalf. Stop using us as an excuse for your agendas. We don’t want you to ‘liberate’ us—we just want to be left alone. Stop fueling wars. It’s not our fault you failed in school and were educated by Hollywood—the world is not a movie.”
Russians Rox tweet mediaRussians Rox tweet media
English
1.6K
20.6K
74.3K
3M
Kitila Mkumbo (PhD) retweetledi
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Baada ya miaka 35, tumelazimika kufanya tena tathmini ya mfumo wa kodi nchini ambapo leo nimepokea ripoti ya Tume ya Rais ya Kutathmini Maboresho ya Mfumo wa Kodi Nchini niliyoiunda Julai 2024. Tume imewasilisha mapendekezo 284 yanayolenga kuboresha mfumo wa kodi ili uendane na mabadiliko ya kiuchumi, kiuwekezaji na kibiashara duniani. Maboresho ndiyo maendeleo. Kwa muktadha huo, tumechukua hatua hii kwa malengo makuu mawili; kwanza, kupanua wigo wa walipakodi, ili kila mwananchi ashiriki kujenga uchumi wa nchi yetu, na pili, kutambua kuwa mfumo bora wa kodi ni muhimu katika kujenga uchumi imara, jumuishi na shindani, sawa na malengo ya Dira 2050. Ninawashukuru wananchi wote kwa kutoa maoni kwani mmeshiriki kuamua hatma ya leo na kesho yetu na Taifa letu. Aidha, katika utekelezaji wa mapendekezo hayo, tutashirikiana kikamilifu na sekta binafsi, wananchi na wadau wengine ili tufanikishe lengo la ukusanyaji rasilimali zinazohitajika kwa ustawi wa watu na maendeleo ya nchi yetu.
Samia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet mediaSamia Suluhu tweet media
Indonesia
56
76
282
22K
Kitila Mkumbo (PhD) retweetledi
Ahmadiyya UK
Ahmadiyya UK@AhmadiyyaUK·
National President @AhmadiyyaUK Rafiq Ahmed Hayat and members of the Ahmadiyya Muslim Community hosted Hon. Kitila Mkumbo (@kitilam), Minister of State, and H.E. Mbelwa Kairuki (@MbelwaK) to the Baitul Futuh Mosque this Sunday. It was an honour to host the delegation and further strengthen the longstanding ties of friendship and mutual respect between the Ahmadiyya Muslim Community and Tanzania.
Ahmadiyya UK tweet mediaAhmadiyya UK tweet mediaAhmadiyya UK tweet media
English
2
21
77
2.1K
Kitila Mkumbo (PhD) retweetledi
UK in Tanzania
UK in Tanzania@UKinTanzania·
As we reflect on last week’s King’s Birthday Party, we want to extend a heartfelt thank you to all our generous sponsors & incredible vendors, both old & new, for making the evening truly special. The night wouldn’t have been the same without your support & hard work!
English
1
1
5
2.9K
Kitila Mkumbo (PhD) retweetledi
Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿
Katikati ya upendeleo na mambo mengine yasiyoeleweka humu duniani, bado watu wenye uwezo, sifa stahiki na bidii wana nafasi ya kutoboa. Usichoke kujijengea uwezo na kuzitafuta sifa sahihi.
Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿 tweet media
Indonesia
3
5
17
4.5K
Kitila Mkumbo (PhD) retweetledi
Haki Ngowi
Haki Ngowi@Hakingowi·
📍Dodoma ▪️WAZIRI PROF. MKUMBO AKUTANA NA MKURUGENZI WA GATSBY, WAJADILI KUIMARISHA USHIRIKIANO Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Mkumbo, Juni 3, 2025, alikutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Gatsby, Bw. Justin Highstead, jijini Dodoma. Katika kikao hicho, viongozi hao walijadili namna ya kuendelea kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na wadau mbalimbali wa maendeleo, likiwemo Shirika la Gatsby. Pamoja na mambo mengine, Mhe. Waziri Prof. Mkumbo alipongeza mchango wa Shirika la Gatsby katika kusukuma ajenda za maendeleo nchini, hususani katika maboresho yanayoendelea kwenye sekta mbalimbali. Kwa upande wake, Bw. Highstead alieleza kuwa shirika lake litaendelea kushirikiana na Serikali kwa kutoa mchango wake katika kujenga uwezo na kushirikiana katika kutekeleza baadhi ya mikakati ya maendeleo. 📸:Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji
Haki Ngowi tweet mediaHaki Ngowi tweet mediaHaki Ngowi tweet mediaHaki Ngowi tweet media
Indonesia
0
2
8
2K
Kitila Mkumbo (PhD)
Kitila Mkumbo (PhD)@kitilam·
@lifeofmshaba No reform…sio sera ya CCM. Sie tumetoa Ilani ya chama chetu. Usituuzie sera za vyama vingine tafadhali.
3
0
1
258
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Wameshamaliza Kutoa ELIMU kwa wananchi wakaijua katiba yote ? Hawa wahuni wanaweza cheza na akili za watu wakafika 2027 wakasema wameanza kutoa Elimu ya katiba Mpya kwa miaka 3 wakifika 2030 wakasema ndio wamemaliza Namna ya CCM kujiokoa na hili Tatizo, Moja wakubali reforms za kuhusu uchaguzi sasa ili tupate wabunge na viongozi bora Mbili wasiseme wamekubali katiba Mpya kabla ya 2030, waseme kwenye ILANI yao hiyo katiba itapita kwenye mchakato gani mpaka kuipata na waweka time line kila kitu kitafanyika lini, bila haya mawili CCM watapotezea watu muda Wakubali #NoReformsNoElection na Wasema mchakato wa Katiba Mpya utafanyika vipi na kwa muda gani sio kuweka vitu vinaelea
Think Different tweet media
Indonesia
5
1
22
3K
Kitila Mkumbo (PhD) retweetledi
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Mkutano Mkuu Maalum wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Dodoma, Mei 30, 2025 Siku ya pili ya mkutano wetu jijini Dodoma ambapo kwa pamoja tumezindua Ilani ya CCM 2025-2030. Ilani hii imeandaliwa kwa weledi mkubwa kwa manufaa ya Taifa letu, ikilenga zaidi katika kuchochea mapinduzi ya kiuchumi, kuzalisha ajira na kuboresha maisha ya wananchi. Vipaumbele vingine ni kuimarisha miundombinu ya usafiri na usafirishaji, kukuza matumizi ya sayansi na teknolojia, kudumisha amani, utulivu na usalama, kudumisha utamaduni, na kukuza sanaa na michezo na kuongeza kasi ya maendeleo vijijini. Aidha, tukielekea kwenye uchaguzi mkuu, nimezielekeza kamati za kuteua wagombea kutenda haki ili tupate viongozi watakaotekeleza ilani kikamilifu. Pia, nimewaasa wanachama wa CCM kuimarisha umoja na mshikamano, tuingie kwenye uchaguzi tukiwa wamoja, ili chama chetu kipate ushindi mkubwa na turudi kuendeleza kazi ya kuwatumikia wananchi wote.
Indonesia
220
126
433
69.9K
Ananilea Nkya (PhD)
Ananilea Nkya (PhD)@AnanileaN·
NINARUDIA kusema wanaoondoka CHADEMA ni wale walioingia kwenye siasa kwa ajili ya fedha na vyeo. Wanaobaki ni raia wema wenye uchungu na nchi na wanaumizwa na ufukara wa wananchi wengi na hivyo wako tayari kuunganisha nguvu kudai MABADILIKO, na Mungu yupo nao
Ananilea Nkya (PhD) tweet media
Indonesia
159
185
1.3K
90.1K
Kitila Mkumbo (PhD) retweetledi
Ambassador Tone Tinnes
Ambassador Tone Tinnes@NorAmbTZ·
Gratulerer med dagen! 🇳🇴 Thank you to our Tanzanian partners and Hon. Dr. Kitila Mkumbo for joining our May 17 reception in Dar. As we mark Norway’s Constitution Day, we celebrate strong, growing ties with Tanzania—founded on partnership, peace, and shared values. #17mai 🇳🇴🤝🇹🇿
Ambassador Tone Tinnes tweet mediaAmbassador Tone Tinnes tweet mediaAmbassador Tone Tinnes tweet mediaAmbassador Tone Tinnes tweet media
English
2
3
13
1.9K
TYCOON
TYCOON@tycoon20s·
@kitilam @JonMrema @millardayo Mr. Honourable juzi umezingua sana arusha, wenzako wanaongelea region facts za kukuza uchumi we unakazi ya kusifia watu na siasa nyingi. Nikuombe ukialikwa tena kwenye Arusha forum jikite kuzungumzia vitu vya hasa kuhusiana na mada husika. Kiufupi ulitumia muda vibaya🙏
Indonesia
2
0
2
186
millardayo
millardayo@millardayo·
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Mzee Cleopa David Msuya, aliyewahi kushika nyadhifa mbalimbali za juu Serikali zikiwemo Waziri Mkuu na Makamu wa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi CHADEMA, Brenda Rupia leo May 07,2025 imesema “Mzee Msuya aliwahi pia kuwa Waziri na Katibu Mkuu katika Wizara mbalimbali katika vipindi tofauti vya uongozi wake, CHADEMA tutamkumbuka Mzee Msuya kwa utumishi wake uliotukuka kwa Taifa letu” “Tutaendelea kuenzi na kuthamini mchango wake mkubwa katika ujenzi wa Taifa, tutakumbuka pia kauli yake maarufu ndani ya chama chetu aliposema ‘Chadema ni wachambuzi wa mambo’. kauli iliyobeba heshima na kutambua nafasi ya Chama katika mjadala wa kitaifa” #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
13
42
990
42.3K
Jon Mrema
Jon Mrema@JonMrema·
@millardayo Kifo hakijawahi kusikitisha kwani ndio njia ya kwenda AHERA . Tumeumia na kuhuzunika ,ila Tumshukuru Mungu kwa maisha yake .
Indonesia
172
2
61
13.1K