Tindo Nyundo

11.2K posts

Tindo Nyundo

Tindo Nyundo

@kinwillys

Wily King from UAE

Entrou em Ocak 2014
115 Seguindo220 Seguidores
Tindo Nyundo retweetou
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
HABARI MBAYA Msaidizi wa Mhe. Lissu @daviddjumbe ametekwa usiku huu na maofisa wa Usalama wa Taifa ambao walikuwa na silaha za moto. Jumbe ametekwa akiwa nje ya geti la nyumbani kwake , maeneo ya Bunju Dar es salaam. Wananchi waliokuwa wanakimbiza gari iliyomteka, wameiona ikiingia kwenye nyumba za Usalama wa Taifa zilizo maeneo ya Mbweni. #FreeDavidJumbe
Hilda Newton tweet media
Indonesia
13
48
152
6.5K
Tindo Nyundo retweetou
Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya@Twaha_Mwaipaya·
Kaka tusaidie kupost huenda ikatusaidia jamaa yetu kapigwa risasi juzi ijumaa hakuna kinachoendelea ndugu wameamua wazike tu hawana hela ya kufatilia kes saidia upost tu huenda ikasaidia jamaa kauliwa Kikuyu Dodoma. Usiku ilisikika milio ya risasi usiku asubuhi tumemuokata kapigwa risasi na awajachukua kitu chochote alikua na pikipiki mpya na hela zake.
Twaha Mwaipaya tweet media
Indonesia
5
39
166
8.6K
Tindo Nyundo
Tindo Nyundo@kinwillys·
@YerickoNyerereT We ni bonge la msenge, kwenye vyombo vya maamuzi si ndio kila siku Ado mara azimiwe mic, mara akalishwe chini? Yaani hilo bunge kibogoyo ndio unaita chombo cha maamuzi!
Indonesia
0
0
0
11
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Msafara wa Mgombea Ubunge CHAUMMA Jimbo la Isman Masasi Daudi Ukiwasili Halmashauri ya Wilaya ya Iringa kwa ajili ya Kulejesha fomu, Msafara huo umewasili Saa 7:26 Mchana. CHAUMMA tunajenga taasisi imara yenye kuwakilisha umma katika vyombo vya maamuzi…. Siasa zilizobalehe
Indonesia
35
4
12
4.8K
Tindo Nyundo retweetou
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Majibu ya kisomi ya CHADEMA kwa msajili wa vyama vya siasa “ Ni kanuni ya wazi kabisa kuwa barua yako ina kasoro kubwa sana ya duplicity kwani inataka vitu viwili tofauti na vyenye matokeo tofauti. Kutudai maelezo juu ya kile ulichokiita ni matukio kadhaa ya uvunjifu wa sheria na baada ya hapo kutaka tutoe utetezi wa kwa nini chama kisifungiwe au kusimamishwa kufanya shughuli zake ni kutotenda haki na ni kukiuka misingi ya haki.” Barua inaendelea hapo chini 👇🏾
Maria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
17
175
560
18.7K
Tindo Nyundo retweetou
Benda_Nascimento
Benda_Nascimento@BendaNasciment1·
@joeselasini Safii hata wagawe hela hatuziachi maana ni hela zetu tunachukua na kwenye mkutano tunatoa tone tone
Indonesia
1
3
33
2K
MO 29 TV
MO 29 TV@MO29TV·
Muda huu Kahama Uwanja umejaa watu wamekuja kwa nauli zao Sugu ni humu tu.
2
40
191
1.7K
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mwenye ile video ya Zitto Kabwe akiwahakikishia CCm kuwa wasijali hakuna maandamano yatatokea kwenye uchaguzi sababu kuna kimoja tu Tanzania kinachoweza kuitishisha maandamano na chama hiko ni ACt na wao wanashiriki uchaguzi. Naomba nitumie hiyo video WhatsApp +1 424 537 3057
Indonesia
28
173
1.6K
103.8K
Tindo Nyundo
Tindo Nyundo@kinwillys·
@zittokabwe Mnataka umoja gani, mliombwa msishirki uchaguzi wa kihuni ili kuupunguzia nguvu, mkagoma. Sasa mnataka umoja na nani? Mko vyama 17 mliokubali kushiriki uchaguzi, unganeni na muwaiganishe wananchi kuuamgusha huo utawala. Cdm msikubali hizi ghiliba za Zito maana amekosa atakacho.
Indonesia
0
0
0
145
Tindo Nyundo
Tindo Nyundo@kinwillys·
@HecheJohn Huko mnakopita kama inawezekana pandisheni wananchi kadhaa kutoa ushuhuda wa mauaji ya 29 October. Na msikubali chochote kuhusu maridhiano ya hadaa, na wahausika wote ikiwemo rais watajwe bila hofu.
Indonesia
0
0
4
213
Tindo Nyundo retweetou
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Siku ya pili oparesheni #freetundulissukatibampya tutafika kila kona ya Nchi.. Endelea kuchangia mabadiliko kupitia 0744446969 Chadema HQ Asante sana Geita.
John Heche tweet mediaJohn Heche tweet mediaJohn Heche tweet mediaJohn Heche tweet media
Indonesia
24
281
1.2K
16.1K
Tindo Nyundo retweetou
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Viwanja vya Nyankumbu, Geita Mjini vimeongea! Zaidi ya TZS 2,559,000 zimepatikana kupitia #ToneTone. MaCCM hayataki kuamini kwamba chama cha siasa ambacho ni mali ya umma Tanzania ni CHADEMA. Angusha TONE lako hapo kupitia 0744446969; Jina - CHADEMA HQ. #PeoplesPower. 👊🏾
Indonesia
15
217
1.1K
19.8K
Brenda Rupia Jonas
Brenda Rupia Jonas@BrendaRupia·
Geita mmetisha sana! Asanteni sana kwa mapokezi yenu makubwa na ya kihistoria. CHADEMA tunawashukuru kwa kujitokeza na mioyo yenu ya kujitolea na michango yenu ya ton tone ,hakika mchango yenu ina nguvu kubwa katika mapambano haya. Mwenyezi Mungu aendelee kuwabariki sana. Kesho tunaelekea Kahama kuendeleza mapambano ya kudai haki, demokrasia ya kweli, uhuru wa kweli kwa Watanzania wote na mwisho lakini sio kwa umuhimu uwajibikaji wa waliotoa order ya shoot to kill Oktoba 29. CHADEMA NI 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 #KatibaMpyaNiSasa #FreeTunduLissu #TunawatuTutashinda
Brenda Rupia Jonas tweet mediaBrenda Rupia Jonas tweet mediaBrenda Rupia Jonas tweet mediaBrenda Rupia Jonas tweet media
Indonesia
7
129
679
8.5K
Tindo Nyundo retweetou
ROYAL TELEVISION
ROYAL TELEVISION@Royal_Tv_Tz·
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara, John Heche, ametangaza mikakati mazito ya kukiamsha chama hicho nchi nzima ikiwa ni pamoja na kujiandaa kuitisha maandamano makubwa ya kihistoria ili kushinikiza kuachiwa kwa Mwenyekiti wao, Tundu Lissu, na kupatikana kwa Katiba Mpya. ​Heche ametoa msimamo huo leo Mei 17, 2026, mjini Geita wakati akihutubia mamia ya wananchi kwenye mkutano wa operesheni ya chama hicho, ambapo amewataka viongozi kuanzia ngazi ya Kanda hadi Kata kuwafuata wananchi majumbani mwao kwa ajili ya kusajili wanachama wapya. ​Mwanasiasa huyo amewataka Watanzania kuweka agano thabiti na CHADEMA kama wanavyoweka agano kwenye klabu za Simba na Yanga, huku akisisitiza kuwa nguvu ya mabadiliko ipo kwenye idadi ya watu (namba) watakaokuwa tayari kukipigania chama hicho. "Tunataka kuwa wengi, kila mtu ambaye hana kadi ya chama kachukue kadi na uweke agano... Watanzania wekeni agano na CHADEMA kwamba hiki ni chama chetu tutakipigania mpaka tone la mwisho la damu yetu,” amesema Heche. Akizungumzia hofu ya maandamano nchini, Heche ameshangazwa na hatua ya baadhi ya watu kudhani kuwa maandamano ni uhaini, akibainisha kuwa CHADEMA imeshafanya maandamano mengi ya amani mikoa mbalimbali kama Mwanza, Arusha, na Geita bila kuleta madhara yoyote. “Kila ukitaja maandamano tumbo linawakata, wanafikiri maandamano ni uhaini. CHADEMA imeshafanya maandamano kibao kwenye nchi hii hata nzi hakufa... Sisi maandamano tutakayoyafanya ni yatakayofuata sheria zote na taratibu, lakini yatakuwa makubwa hayajawahi kutokea nchi hii na yatakuwa na matokeo tunayoyahitaji,” amesisitiza. ​Heche amehitimisha kwa kuweka wazi kuwa maandamano hayo yanalenga kushinikiza mamlaka kumuachia huru Mwenyekiti Tundu Lissu, kuleta Katiba Mpya, na kutekeleza mambo yote ya msingi ambayo wananchi wanayahitaji kwa ustawi wa nchi yao.
Indonesia
3
28
114
3.2K
Adv.Innocent⚖️
Adv.Innocent⚖️@Adv_innocent·
Nikiona hivi moyo wangu unapata Nguvu na faraja ya ajabu.
Adv.Innocent⚖️ tweet mediaAdv.Innocent⚖️ tweet media
Indonesia
17
75
357
3.7K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Huyu ALONSO atatusumbua sana mwakani.
Indonesia
27
21
439
10.3K
Tindo Nyundo
Tindo Nyundo@kinwillys·
@zittokabwe Na hivi vyombo vya ulinzi vinaingizwa kwenye siasa kupitia madaraka ya rais. Ni lazima madaraka ya rais kwa vyombo vya ulinzi na usalama yadhibitiwe. Wakati wa Magufuli na sasa kwa Samia vyombo vya dola vimetumika wazi wazi kuharibu demokrasia yetu kwa maslahi ya ccm.
Indonesia
0
0
0
201
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Hatua ya muhimu kabisa kuokoa Taifa letu ni kuviondoa vyombo vya Ulinzi na Usalama kutoka kwenye Siasa. Ushiriki wa TISS katika siasa na haswa siasa za vyama ndio kumepelekea nchi yetu kuingia kwenye mkwamo na kusababisha mauaji ya raia. Ni lazima kuendesha kampeni mahususi ya kuviondoa vyombo vya dola kutoka kwenye Siasa zetu
Indonesia
31
36
143
8.3K
Tindo Nyundo retweetou
Patrick Ole Sosopi
Patrick Ole Sosopi@PatricOleSosopi·
Katoro wapo tayari kuchangia #ToneTone. Mpesa Namba: 0744446969 Jina: Chadema HQ NMB Namba: 22606600140 Jina: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Patrick Ole Sosopi tweet mediaPatrick Ole Sosopi tweet mediaPatrick Ole Sosopi tweet mediaPatrick Ole Sosopi tweet media
Filipino
0
22
76
1.7K