The Rustick

4.5K posts

The Rustick banner
The Rustick

The Rustick

@rustickjm

dar es salaam Entrou em Mayıs 2015
429 Seguindo210 Seguidores
The Rustick
The Rustick@rustickjm·
@GilbertPaul095 Wale wa mchujo jezi zao zimeandikwa GSM Foundation, huyu ni mmoja kati ya wale wa kulipia.
0
0
0
41
MTANZANIA 🇹🇿
MTANZANIA 🇹🇿@GilbertPaul095·
Kwahiyo huyu ni moja kati ya waliopita kwenye Mchujo wa academy ya yanga……?????? Kipaji kimo kweli au connection?!!
MTANZANIA 🇹🇿 tweet media
Filipino
88
26
545
47.8K
Vliandro
Vliandro@vliandro_gerald·
Ila hii nchi na TFF ni changamoto 🤌🏽 leo hii kwenye kusambaza viti vya zamani vilivyotolewa Kwa Mkapa, wanaamua kupeleka viti 6000 uwanja wa Jamhuri, Morogoro mkoa usio na timu Ligi kuu while kuna mikoa ina zaidi ya timu mbili ama prominent contesters NBCPL. Kazi ipo
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
14
7
202
14.3K
The Rustick
The Rustick@rustickjm·
@mentor209 Yani Kristo anakuwaje Mkristo ilihali yeye ndiye Kristo!? Watu wengine bhana. Sinagogi ni nyumba ya Ibada ya Wayahudi. Hekalu ni chuo cha Torati. Hayo ndiyo majengo mawili ya kiimani aliyoingia Yesu. Halafu, kama Yesu angekuja leo, angeingia msikitini na popote penye dhambi.
Indonesia
0
0
1
137
GIPSON BNN
GIPSON BNN@mentor209·
Yesu hajawai kuwa mkristo ila waebrania walimwita masihi “mpakwa mafuta” . Yesu ni mhayudi na alizaliwa Palestine 🇵🇸 wakati huo ikijulikana kama judea alizaliwa katika mji wa betleemu Yesu aliishi katika Torah ya musa. Pia wakati wake hakuwai kusali kanisani wala hakukuwa na
Indonesia
128
51
387
47.2K
KIBWENGO
KIBWENGO@kidogosana·
@rustickjm @Mkanaani_ kadanganya ila maana sahihi ni hii,..... nahisi shida sio anae tafsili shida ni kitabu kimeluhusu kilamtu atafsili anavyotaka yeye ili mladi awe na roho mtakatifu. So asilaumiwe mtu huwenda Kila anaetafsili ndo roho mtakatifu kamuongoza hivyo.,,
Indonesia
1
0
0
11
Mkanaani 🇮🇱🇹🇿
Mkanaani 🇮🇱🇹🇿@Mkanaani_·
Kwenye Kitabu cha nabii Hosea, Mungu alimwambia Hosea akaoe mwanamke kahaba akazaa nae watoto watatu na kati yao mmoja hakuwa wake yaani alizaa nje ya ndoa ! Mbaya zaidi mwanamke akasepa kwenda kula maisha. Mungu akamwambia Hosea amsamehe mkewe na mrudishe maana yeye ni mke wake. Mungu anataka tujifunza nini hapa, Mungu anataka tujue yale maumivu anayopata mwanaume/mwanamke akigongewa au mkewe kuzaa au mume kuzaa nje ya ndoa ndivyo maumivu Mungu anapata sisi tunapo mwacha na kuipenda Dunia. Ulikuwa ujumbe wa Mungu juu ya Taifa la Israeli hata sisi leo.
Mkanaani 🇮🇱🇹🇿 tweet media
Indonesia
8
7
74
5.3K
The Rustick
The Rustick@rustickjm·
@kidogosana @Mkanaani_ Yes. Yesu wakati anajiandaa kufanya hiduma yake, alifunga siku 40, shetani akamjaribu kupitia maandiko "..... maana imeandikwa atatuma malaika wake....." Yesu akamjibu akamwambia, "Usimjaribu BWANA Mungu wako" Kumbe hata shetani hutumia maandiko.
Indonesia
1
0
1
5
KIBWENGO
KIBWENGO@kidogosana·
@rustickjm @Mkanaani_ Hapa unamaanisha kuwa kama utatafsili unavyotaka wewe bas hilo ni kosa lako si ndio???
Filipino
1
0
1
4
The Rustick
The Rustick@rustickjm·
@kilepi_tweve Support your argument with some data, mfano kadi za njano/nyekundu, fouls committed/game, adhabu zingine kutoka mamlaka eg kamati ya "saa 72" nk.
Filipino
0
0
0
25
Kilepi Captain Jr
Kilepi Captain Jr@kilepi_tweve·
Yanga inaweza kuwa ndio clabu yenye wachezaji wenye nidhamu ya ovyo sana hapa Tanzania.
Indonesia
9
6
52
1.5K
The Rustick
The Rustick@rustickjm·
@kidogosana @Mkanaani_ Yesu wakati anaanza huduma yake alisema "nimetumwa kuwatangazia habari njema..." Kwahiyo, kile kisu kilichoko jikoni mwako, ukikitumia kumchoma mkeo badala ya kukatia mboga, hilo siyo kosa la kisu, ni kosa lako.
Filipino
1
0
0
5
The Rustick
The Rustick@rustickjm·
@kidogosana @Mkanaani_ 1. Ishara zitaambatana nao waaminio 2. Mkamate sn elimu, usimuache aende zake 3. Watu wangu wanaangamia kwa kosa maarifa. 4. Nao watasema, tulitoa pepo kwa jina lako, atawajibu "Siwatambui nyie" Hizi ni baadhi tu ya tahadhari ambazo Biblia imetoa
Indonesia
1
0
0
4
The Rustick
The Rustick@rustickjm·
@sukununu01 Kwann mnamdhihaki mtu anayehitaji msaada. Mnafahamu watu hawa wana matatizo makubwa kifkra na kiakili.
Indonesia
1
0
0
368
SUKUNUNU 🇹🇿
SUKUNUNU 🇹🇿@sukununu01·
Huuuuuuuu niushirikina pia uliopo ndani ya roma
SUKUNUNU 🇹🇿 tweet media
Indonesia
50
8
154
15.6K
The Rustick
The Rustick@rustickjm·
@kidogosana @Mkanaani_ Well, nafikiri kuna point imekupita. Biblia harafasiriwi kwa akili na ufahamu wa kibinadamu, bali kwa ufunuo wa Roho Mtakatifu. Biblia inatafasiriwa kulingana na Mungu anataka kusema nini na watu wake wakati huo. Ukileta akili zako ni wewe, siyo Biblia.
Filipino
1
0
1
6
KIBWENGO
KIBWENGO@kidogosana·
@rustickjm @Mkanaani_ Hapa mnakose tena sana tu au mnaitumia hii njia vibaya, wengi wenu mnatafsili kwa matakwa yenu ,fikilia binadam tuna akili tofauti wapo wenye uelewa wa juu kati n chini, Sasa wote watoe tafsili wanazo taka wao, kweli??? Kwmfano👉 Utakuta andiko linasema usizini, anakuja huyu ..👇
Indonesia
2
0
0
10
The Rustick
The Rustick@rustickjm·
@kidogosana @Mkanaani_ Na huo ndiyo ukamilifu wa Biblia. Biblia imesema kila kitu katika mazingira yote. Neno moja ktk Biblia lina maana elfu kulingana mazingira na ufunuo. Hata Yesu Kristo amefundisha kwa njia hizo, mf. habari ya mpanzi, shamba la mizaituni.
Filipino
1
0
0
15
KIBWENGO
KIBWENGO@kidogosana·
@Mkanaani_ Hapa ndo mnapokosea kila mtu anatafsili anavyotaka yeye, nakuhakikishia andiko hilohilo ukiwaita wachungaji 10 wawili tu ndo watafanana kutafsili
Indonesia
1
0
0
50
The Rustick
The Rustick@rustickjm·
@iboysean Jizuie usiusikilize mara mbili, utakulamba!
Indonesia
0
0
1
1.4K
Sean 🦩
Sean 🦩@iboysean·
Huu wimbo mpya tunalazimishwa sana 😂😂😂
Filipino
30
17
406
29.2K
The Rustick retweetou
Senator Shehu Sani
Senator Shehu Sani@ShehuSani·
The rejection of AFCON title by Morocco’s Captain Hakimi,in solidarity with Senegal, is one of the most significant,remarkable and historic events in footballing history.
English
660
6.9K
63.2K
2.5M
Dullah_theKing🎧
Dullah_theKing🎧@DullahTheking2·
If you could play just one track, which one would it be???? 👇🏽
Dullah_theKing🎧 tweet media
English
68
31
154
7.3K
Leebang JI
Leebang JI@Wutangtz·
@giboretz Mmejenga wasukuma au CCM?si CCM kilumba!?
Indonesia
1
0
1
79
TheProtégéTZ
TheProtégéTZ@giboretz·
Tanzania haitaki kujenga uwanja wa maana wa mpira kanda ya ziwa, tumeamua kujenga wenyewe kimyakimya😀
TheProtégéTZ tweet media
Indonesia
3
1
43
3K
The Rustick
The Rustick@rustickjm·
@EsirEid Sawa. Lakini imeandikwa "in Japan" , hakuna neno Japanese.
Filipino
0
0
0
100