ICON🤠
1.9K posts

ICON🤠
@ChileIcon
Die Trying🙏//Street SOUL💔// Bless Us..👊

HipHopFamily naziona comments chini ya uvungu Zina sema mkongwa kapuyanga! Sijajuwa kapuyanga kivipi🤔 Kwaupande wangu nielimu sana kwa vijana na wazee, Ujana una mambo yake nauzee una mambo yake nimuhimu kutofautisha Mashabiki na hisi walitaka line za diss TunaPostHipHopTu

@Roma_Mkatoliki @chapo255 Wana Hip Hop wetu wengi wanashindwa kuconnect na raia. Msanii hajui aimbe nini ambacho hata mtu ambae yupo chaka akisikia atikise kichwa. Kuna namna pia hakuna connection kati ya mziki na biashara. Je biashara zitawatumia vipi wasanii ambao hawawezi kusanya kijiji?

Nadhani si kwamba watu walikuwa wanataka line za diss ila kwa Jay moe tulitegemea ufundi mkubwa sana na majigambo ya hali ya juu. Labda nikupe mfano imagine ile ngoma yake ya "Famous" ndio ingekuwa Tukusa yake Yaani moto na ufundi wa namna ile sio hiki alichofanya ni kawaida

HipHopFamily naziona comments chini ya uvungu Zina sema mkongwa kapuyanga! Sijajuwa kapuyanga kivipi🤔 Kwaupande wangu nielimu sana kwa vijana na wazee, Ujana una mambo yake nauzee una mambo yake nimuhimu kutofautisha Mashabiki na hisi walitaka line za diss TunaPostHipHopTu

Kinachiendelea juu ya Mex Cortez , Climax Bibo na Baghdad kinapaswa kuchukuliwa very positive kuanzia wasanii wenyewe hadi wadau. Game inachangamka na sio chuki, diss track na magoma yakitoka ndio unyama for the game.

#HipHopFamily Raha ya Hip Hop battles Ma Emcee wanazidi kutuonyesha walicho nacho Safi🙏🏿 Tz Ina rappers wengi sana wanaweza kutoa Ngoma Kila siku kwa muda wa mwaka mzima . But 👇🏿 #TunaPostHipHopTu ✊🏿👮🏿♂️