ICON🤠

1.9K posts

ICON🤠 banner
ICON🤠

ICON🤠

@ChileIcon

Die Trying🙏//Street SOUL💔// Bless Us..👊

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Şubat 2020
801 Takip Edilen61 Takipçiler
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@SwahiliKid22 Sure expectation zilikuwa high ila deliverance yake imekuwa average
Filipino
0
0
0
13
Hip hop Icon🤠
Hip hop Icon🤠@SwahiliKid22·
Nadhani si kwamba watu walikuwa wanataka line za diss ila kwa Jay moe tulitegemea ufundi mkubwa sana na majigambo ya hali ya juu. Labda nikupe mfano imagine ile ngoma yake ya "Famous" ndio ingekuwa Tukusa yake Yaani moto na ufundi wa namna ile sio hiki alichofanya ni kawaida
Nigga hood the Emcee ✊🏿👮🏿‍♂️@LucasOdero8

HipHopFamily naziona comments chini ya uvungu Zina sema mkongwa kapuyanga! Sijajuwa kapuyanga kivipi🤔 Kwaupande wangu nielimu sana kwa vijana na wazee, Ujana una mambo yake nauzee una mambo yake nimuhimu kutofautisha Mashabiki na hisi walitaka line za diss TunaPostHipHopTu

Filipino
4
1
9
411
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@JabirSaleh Kinachoipoteza hip-hop ni ubinafsi -hawa wasanii wa mainstream vs hawa underground -hawa waimba trap vs hawa bumbup -hawa cjui hip-hop missing vs hawa commercial -hawa wanabebwa hawa vs hawabebwi - hawa hawajui vs hawa wanamjuaa.. Wala tusiangaike kuikwepa competition!
Indonesia
0
0
0
6
JABIR SALEH (Zee la kujibrand)/Zee la kutrendi
Naomba ni dis agree hapa kaka Chapo respectfully,Hiphop haipo kwa ajili ya rappers kudiss baina yao,hii tabia ya kusubiri rappers mpaka wapondane na tufurahie inadissapoint sana wakati wengi wao wanaachia miradi mizuri tu lakini wanaliwa buyu,tuwa support sawa na genres nyingine
SANUKAnaCHAPO@chapo255

Kinachiendelea juu ya Mex Cortez , Climax Bibo na Baghdad kinapaswa kuchukuliwa very positive kuanzia wasanii wenyewe hadi wadau. Game inachangamka na sio chuki, diss track na magoma yakitoka ndio unyama for the game.

Filipino
8
3
53
3.6K
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@mnazi36 @Balyx_ Hzo flow mzee unaweza wafata wenye flow ye ukabak na uandishi wake
Indonesia
1
0
0
15
Mnazi😤
Mnazi😤@mnazi36·
@Balyx_ Uandishi sawa ila flow hanaa na ndio kinachomuangusha kwa game ya sasa
Filipino
2
0
1
112
Balyx
Balyx@Balyx_·
Kijana mwenye ego ya Wizkid Kijana anaye-inspire walom-inspire Kijana anayetoa ngoma bila interview ya redio Unique flow. Master kabisa huyu 🐐
Nigga hood the Emcee ✊🏿👮🏿‍♂️@LucasOdero8

#HipHopFamily Raha ya Hip Hop battles Ma Emcee wanazidi kutuonyesha walicho nacho Safi🙏🏿 Tz Ina rappers wengi sana wanaweza kutoa Ngoma Kila siku kwa muda wa mwaka mzima . But 👇🏿 #TunaPostHipHopTu ✊🏿👮🏿‍♂️

Indonesia
6
4
44
2.4K
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@Roma_Mkatoliki @chapo255 Leo uniambie raptcha na dizasta mi shabiki kusema dizasta alimfunika rapcha kwamba inaiua hip-hop? Mkato lile verse na kaligraph kwamba ulichukua point tatu inaua hip-hop Kati ya mex na climax kwamba nan mkali wa freestyle unajuaa hip-hop Logic hapa haiji kwakwel
Filipino
0
0
0
23
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@Roma_Mkatoliki @chapo255 Competition lazima iwepo has hyo divide and rule policy inayozaa ubinafsi ambao IPO kwenye tansnia ya hip-hop na hicho ndo kirusi kinachoitafuna rap Leo tukisema diss track ,verse Kali na nan mkali si tunaangalia art yake mtu hii inauaje hip-hop ?
Indonesia
1
0
0
27
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Kinachiendelea juu ya Mex Cortez , Climax Bibo na Baghdad kinapaswa kuchukuliwa very positive kuanzia wasanii wenyewe hadi wadau. Game inachangamka na sio chuki, diss track na magoma yakitoka ndio unyama for the game.
Indonesia
7
19
295
22.5K
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@Roma_Mkatoliki @chapo255 Hzo ndo competition ni tofaut na mada yako juu kuhusu diss mkali nan na aliyefunikwa nilichookimaaanisha kipo kwenye heading ni UBINAFSI kundi flan ndan kuona wao wapo superior Kuhusu competition ther is no way inakwepeka in all means !
Filipino
0
0
0
14
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@Roma_Mkatoliki @chapo255 Kinachoipoteza hip-hop ni ubinafsi tu ! -hawa wasanii wa mainstream vs hawa underground -hawa waimba trap vs hawa bumbup -hawa cjui hip-hop missing vs hawa commercial -hawa wanabebwa hawa vs hawabebwi - hawa hawajui vs hawa wanamjuaa.. Wala tusiangaike kuikwepa competion!
Indonesia
1
0
0
29
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@Roma_Mkatoliki @chapo255 Apo kwenye wengi mbn mpo wengi kinachoiangusha hip-hop sio disstrack Wala nani mkali au nani kaua ... Maana kwenye Kila niche lazima survival for fittest iwepo Hii tumeiona hata huko majuu kwa miaka Kuna wasanii wamekuwa kwa Hizi hizi beloo Mfano Kendrick Lamar vs drake !
Indonesia
1
0
0
255
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@LucasOdero8 Hajafanya kitu kibaya ila kafanya kawaida ... Unaweza ukawa umefaulu ila una wastani wa D tofaut na wengine waliopata wa A +
Indonesia
1
0
1
14
Nigga hood the Emcee ✊🏿👮🏿‍♂️
HipHopFamily naziona comments chini ya uvungu Zina sema mkongwa kapuyanga! Sijajuwa kapuyanga kivipi🤔 Kwaupande wangu nielimu sana kwa vijana na wazee, Ujana una mambo yake nauzee una mambo yake nimuhimu kutofautisha Mashabiki na hisi walitaka line za diss TunaPostHipHopTu
Nigga hood the Emcee ✊🏿👮🏿‍♂️ tweet media
Filipino
14
7
52
3.4K
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@BabuBomba4 Kuna sehemu km biti na yeye walitaka waachane afu still mnasifiaa with all respect ila mi kiukweli ngoma Bado sijaipa masterclass
Filipino
0
0
0
7
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@BabuBomba4 Hapa sasa tunapokinzana wanahiphop km tumeamua hip-hop ni ukweli bas uwe ile ngoma ni average mkubwa ...
Filipino
1
0
0
28
Babu Bomba
Babu Bomba@BabuBomba4·
Wanangu mnaseme pembeni mchopanga haja nyoosha mlitaka afanye kwa ukubwa upi ule ndiyo uwezo wake na sio Kila Ngoma utanyoosha kikubwa kafanya sisi kama mashabiki wa wakongwe tumefurahi kwa ushiriki wake . Wasipo fanya mnasema wakifanya mnasema pia mashabiki tuwe na shukrani 🙌
Indonesia
9
3
27
725
ICON🤠
ICON🤠@ChileIcon·
@BabuBomba4 Afu ana love na hip-hop passion yake ni kubwa mno kwa game
Filipino
0
0
0
35
Babu Bomba
Babu Bomba@BabuBomba4·
Kingine nacho weza kusema kuhusu chabba bro sauti yake toka naanza kumfatilia hajaway kuchange kama wengne paka hapo unagundua bro yupo makini sana kwenye kujichunga na hua hana malalamiko kwenye Media yeye anachia kazi kama hivi anasepa na Kijiji chake kweupee. Kazi ziongee
Indonesia
3
1
27
1.1K
Hip hop Icon🤠
Hip hop Icon🤠@SwahiliKid22·
Legend Jay Moe heshima yake inabaki pale pale na haitashuka ila kwenye hii TUKUSA amepwaya sana. Kwa kifupi ni tukusa mbovu ukilinganisha na Moto ambao ameuwasha dizasta, solo na zohani. (TUKUSA) TUNAJUA KUCHANA SANA. Ni jukwaa la ufundi wa lugha, masimulizi na uwasilishaji
Indonesia
18
8
71
3K
I’M ALMAS
I’M ALMAS@IM_Almas1·
Kibongo bongo sidhani kama kuna ngoma kali zilizofanyiwa Rmx kama: Sikati tamaa - Darassa Mchizi wangu - Nako 2 Nako
Indonesia
13
2
41
4K