mzalendowaukweli

1.6K posts

mzalendowaukweli

mzalendowaukweli

@DaudSolomon

upendo

Dar es Salaam, Tanzania Присоединился Şubat 2014
240 Подписки45 Подписчики
Msafiri
Msafiri@InnocentWinsto1·
Arusha to Moshi nauli 7000 Toka 2500 ccm ndo wametufikisha huku🙌 @mmeruwaArusha
Msafiri tweet media
Indonesia
16
5
82
4.7K
Ofisi ya Makamu wa Rais
Ofisi ya Makamu wa Rais@vpo_tanzania·
Makamu wa Rais Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili katika Viwanja vya Kilimani Wilayani Chato, ambapo anaungana na waombolezaji mbalimbali kushiriki Ibada ya kumuaga Bi. Suzana Magufuli ambaye ni Mama wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
Ofisi ya Makamu wa Rais tweet mediaOfisi ya Makamu wa Rais tweet mediaOfisi ya Makamu wa Rais tweet mediaOfisi ya Makamu wa Rais tweet media
Indonesia
1
2
30
1.5K
Mr cleansheet
Mr cleansheet@cleansheet_1·
Dogo ana goli 11 za ligi, Lakini nimeangalia zote kwa utulivu sijaona goli lililotumia maarifa makubwa kiasi kumuita mchezaji hatari Huyu ni GEORGE MPOLE wa msimu juzi
Mr cleansheet tweet media
Indonesia
16
8
63
3.5K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Yani Trump kawagusa kidogo tu wauaji wa Oktoba 29, leo wamefuta kesi ya Mgawanyo wa mali za Chadema na sitashangaa mwezi ujao wakifuta kesi ya Uhaini dhidi ya Mhe. Lissu maana sasa hivi wamebanwa kwenye kona hawana pa kutokea. Wanahaha kujinasua ila uzuri tuliwaonya tangu siku ya kwanza lakini walishupaza shingo sasa kinawaramba.😂😂😂😂
Indonesia
35
151
1.1K
32.7K
mzalendowaukweli
mzalendowaukweli@DaudSolomon·
@TichaMandevu Huu sio usela mavi tuu ni usela uharo..huyu anapaswa apigwe mikwaju na atembee kwa mwendo wa kukwepa ndege
Filipino
0
0
2
677
mzalendowaukweli
mzalendowaukweli@DaudSolomon·
@Elsukay0 Aziz kesha aminiwa sana tu ila mdaa wote anachoma. Poor marking Poor passing
हिन्दी
0
0
0
80
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿
Damaro hamzidi chochote Aziz Andabwile Damaro hamzidi chochote Casemiro Wanainchi kwanini hawa vijana msiwaamini? Wanaweza kuwapa chochote kitu kuliko yule tapeli Damaro
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 tweet mediaEL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 tweet media
Filipino
14
14
130
3.2K
mzalendowaukweli
mzalendowaukweli@DaudSolomon·
@earadiofm Huu ni uchambuzi matokeo! No game analysis at all; Dodoma jiji anashinda mechi kutokana na makosa makubwa yaliyofanywa na safu ya ulinzi ya Yanga na si ubora wao. Dodoma hakuwa bora kwenye possession; walikuwa nyuma kwa mipira iliyokufa n.k
Indonesia
0
0
0
4
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Hili suala la viongozi wa dini kususia kuombea marehemu kwa sababu tu alikuwa ahudhurii msikitin/kanisan ni sahihi..?
Indonesia
83
60
302
16.2K
Neypaul🤎
Neypaul🤎@Neypaul01·
🩶
Neypaul🤎 tweet mediaNeypaul🤎 tweet media
QME
213
113
1.9K
152.9K
Maluu_26
Maluu_26@maluu_captain·
Ila mbeya..!🤣🤣
Maluu_26 tweet media
Filipino
38
37
285
10.3K
MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus@MwanzoTvPlus·
#TANZANIA:NAPE:NAKERWA NA WATU KUHAMA VYAMA, MAANA YAKE HATUNA MSIMAMO “Mimi nakerwa na watu kuhama vyama, kwa sababu yaani leo mimi kama naamini… kwa sababu siasa ni itikadi na itikadi ni imani hii hama hama maana yake hatuna misimamio, labda kuna jambo kubwa sana ambalo haliwezekaniki”-Nape Nauye, mbunge wa Mtama akizungumza kupitia M&S PODCAST
MwanzoTvPlus tweet media
Indonesia
5
11
70
4.7K
mzalendowaukweli
mzalendowaukweli@DaudSolomon·
@RevocatusMagum1 Unapowafananusha watu hawa wawili ni wazi unakuwa umejielekeza vibaya tangu mwanzo. Kuanzia umri wao haufanani, Miaka ya kucheza haiendani, Uzoefu katika ligi hii ya hapa pia bado hawana mzania Sawa. Kuanza kuwalinganisha ni upunguani
Indonesia
0
0
0
174
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
🚨AMEANDIKA EDO KUMWEMBE, Mchambuzi WASAFI FM "Chama huwezi kumfananisha na kiungo yoyote mshambuliaji. Hakuna namna ambayo unaweza kumuweka Okello katika daraja la Chama. Ufananio wa mchezaji sio shida sana kiwanjani. Shadrack Nsajigwa amefanana na Cafu maana wote ni walinzi wa kulia na wanapanda. Okello hawezi kumfikia Chama sasa hadi kihistoria. Kwanza Chama ameacha alama."
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
5
8
311
18.6K
mzalendowaukweli
mzalendowaukweli@DaudSolomon·
@mzagazi @YoungAfricansSC Mwamnyeto hajawah kuwa katika ubora ...Mara zote anatoa maboko ni vile tu wanaopata hizo nafasi huwa hawazitumii hivyo mashabiki wanamnyamazia
Indonesia
0
0
0
13
Juma Sharafi
Juma Sharafi@mzagazi·
@YoungAfricansSC Dube na Mwamnyeto hawakua katika ubora wao, Dube kakosa clear chance 3, yote tisa ni Siku mbaya kazini, we move
Indonesia
1
0
1
1.5K
mzalendowaukweli
mzalendowaukweli@DaudSolomon·
@MunyNassor @IAMartin_ Kwa nini atoke ccm?? Umeziona ahadi za mwana Tanu? Ahadi na tuzu na mwana Tanu na sasa CCM hazijabadilika ni zile zile
0
0
0
153
Arcoroc arcopal
Arcoroc arcopal@MunyNassor·
@IAMartin_ Atoke kwanza ccm ndio tutamuelewa, vinginevyo drama tu
Filipino
9
0
6
6.2K
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
“Kumekuwa na majaribio na vitisho kutoka kwa watawala kunizuia nisiongee. Kuna wakati niliambiwa nizime simu yangu, nisiitumie mpaka (wao) watakapo niambia. Nikawauliza, kwa sheria gani? Kuna wakati nilikaribishwa mahali fulani, nikapigiwa simu na watawala, wakasemam mzee usiendee kwenye huo mkutano. Kwanini? Hauna manufaa. Nikawauliza, nani anaamua hayo manufaa? Nikakataa. Wakawafuata watu walio karibu na mimi ili wanishawishi nisiende, nikakataa pia. Mnakumbuka nilifanya mahojiano hapa na Jamhuri? Wakatoa summary, wakasema watachapisha mahojiano yote, neno kwa neno. Baadae Jamhuri wakanieleza wamezuiwa wasitoe yale mahojiano. Kuna viongozi wanaogopa kuzungumza na mimi, wanatuma ujumbe kupitia mbali huko. Marafiki zangu wanaogopa wakisema nitatekwa au kupewa sumu. Nawaeleza mimi ni mali ya Mungu, ndiye atakayeamua lini ananihitaji.” — Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Tanzania.
Martin Maranja Masese tweet media
Filipino
49
486
2.6K
57.4K
Ofisi ya Makamu wa Rais
Ofisi ya Makamu wa Rais@vpo_tanzania·
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amemtembelea Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mzee Yusuph Makamba katika makazi yakeTegeta Dar es Salaam Mei 10, 2026.
Ofisi ya Makamu wa Rais tweet mediaOfisi ya Makamu wa Rais tweet mediaOfisi ya Makamu wa Rais tweet mediaOfisi ya Makamu wa Rais tweet media
Indonesia
1
12
101
5.4K
Dany 🇺🇸
Dany 🇺🇸@DanicaPavi43369·
Donald and Melania Trump shared a heartwarming moment visiting Karoline Leavitt and her newborn daughter—an elegant celebration awash in pastel pink, brimming with love, fresh flowers, baby gifts, and touching family joy. In a moment filled with warmth and delight, the baby slept soundly in Melania's arms. 🥰
Dany 🇺🇸 tweet media
English
1.8K
4.5K
31.9K
1.1M
mzalendowaukweli
mzalendowaukweli@DaudSolomon·
Hatuwezi kukabiliana na changamoto zinazoikabili jamii yetu; kama hatutakuwa na uwezo wa kuambiana ukweli #uzalendo#
mzalendowaukweli tweet media
Indonesia
0
0
1
7
mzalendowaukweli
mzalendowaukweli@DaudSolomon·
@earadiofm Inamkusanyiko wa wawachezaji wengi wenye uwezo wa kawaida. Hamna uwiano wa viwango baina yao
Indonesia
0
0
0
4