Msafiri
13.5K posts


@InnocentWinsto1 @mmeruwaArusha CCM haina VIsima Vya Mafuta... kama babu yako Anavyo basi Avikodishe TZ ipate Mafuta ya kuchimba
Indonesia


@Philopearl_Afc This guy here sometimes makes me wish I have a P***y
Raya nose dey like pig own

English

@DenyTheDr Kwasababu unaweza kusafirisha vocha za Million 100+ kwa Mafuta ya 1m
Indonesia

@Thommunkondya Tufanye hao Bavicha hakuna kitu, vipi Vijana wenu Uvccm wanafanya yapi au wamefanya kipi?
Indonesia

Nawatamani hawa madogo wanasifiwa kuwa wana akili, lakini hawazitumia hizo akili. Pamoja na upepo wa kisiasa kuwa mzuri upande wao, hawaoneshi juhudi, ubunifu wala mchango wowote kwa vijana wa nchi hii zaidi ya kujificha kwenye ajenda ya 29 Oktoba na kesi ya Lissu ,nothing else 😁.
Bahati nzuri mwakani bado mtakuwepo, nitawafundisha namna ya kutetea maslahi ya vijana wa nchi hii.
John Heche@HecheJohn
Bavicha ni tanuri la kuoka uongozi na kupika vijana makini.. Hiki ni kikao cha kamati tendaji ya Bavicha Taifa.. hongera wakili @AdvMahinyila Mwenyekiti wa @bavicha_taifa na viongozi wenzako.. mmependeza sana .
Indonesia

@mandelaMakabala @mmeruwaArusha Serikali inaweza punguza Ushuru na Tozo kwenye Mafuta itasaidia
Indonesia

@InnocentWinsto1 @mmeruwaArusha Gharama za mafuta ni tatizo la dunia

@MariaSTsehai Sjaelewa hapa Mfano Sugu ikiwa katukana kweli kinafungiwa Chama au Sugu?
Indonesia

‼️🚨OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA IMEPUUZA MAHAKAMA‼️
Tarehe 25 May Mahakama Kuu ilitoa amri kuzuia office ya Msaji wa Vyama vya Siasa kuchukua hatua yoyote mbaya dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Tarehe 26 May - Sisty Nyahoza ametuma barua nyingine na kutishia kufuta usajili
Sasa ni dhahiri
👉🏽 Ofisi ya Msajili haifuati sheria yoyote na inapuuza hadi amri ya mahakama
👉🏽 Msajili na msaidizi wake wana ugomvi rasmi na Chadema yenye nia ovu
👉🏽 Ofisi ya Msajili ipo kuhukumu na kushughulika kisiasa na Chadema ili kuilinda CCM
Endeleeni mahodari mnachokitafuta mtakipata
#TutaelewanaTu
The office of the Registrar of Political Parties again threatens CHADEMA with deregistration despite a court order issue a day before prohibiting it from taking any adverse action
This office is engaged in political persecution of opposition parties and the registrar and his deputy appear to have a personal vendetta against Chadema clearly
#SamiaMustGo
Cc @SenateForeign @SFRCdems @FCDOGovUK @EU_Commission @Europarl_EN @UN_HRC


Indonesia

@InnocentWinsto1 @mmeruwaArusha Achaaa basi imepaa hivyo? 🙌
Filipino

@InnocentWinsto1 @mmeruwaArusha Hii mbaya sana, nakumbuka mara ya mwisho kutoka Arusha to Moshi ilikuwa 3,000/- imefika hadi 7,000/- hapana kwa kweli hali yetu ni mbaya.
Filipino

@DaudSolomon @mmeruwaArusha Kwahiyo point Yako ni ipi Mzalendo?
Filipino

@InnocentWinsto1 @mmeruwaArusha MAGU kaongoza 2016-2021 unaposema kpnd cha magu ilikuwa 2500 si kwel
Filipino

@InnocentWinsto1 @mmeruwaArusha Moro Moshi 2020 ilikua 25000 saivi 45000+
Eesti

Our Youth Leader has gone international 😆😅
Msafiri@InnocentWinsto1
Arusha to Moshi nauli 7000 Toka 2500 ccm ndo wametufikisha huku🙌 @mmeruwaArusha
English














