
Dubu wa Tanzania 🔥
9.9K posts

Dubu wa Tanzania 🔥
@Modarisy
Haki na wajibu🔥🤝 God fearing man Tanzania Kwanza




@MariaSTsehai Kupigana hivi shangazi kutaleta matunda madogo. Sasa hivi i think tupiganie kesi isikilizwe kila siku maana so far nahisi watamuua tu akibakia Tuanzishe hashtag #lissustrial24 Judges appointed kwa kesi yake waondolewe kesi zilizo kwenye schedule wadeal na hii yenye public intrest

@donminja47 @shiggaJr @ilfintosanto06 @bizy94 @YerickoNyerereT @NotoriousJayZ1 @woopiesnooker @mTusiOriginal @SaidiJumaa10 @PamBelinda @Modarisy @MankindUwezo @Dunguboy1 Usisahau Chadema iliundwa na mabilionare. Kuanzia Mbowe,Philemon Ndesamburo mpaka Mtei






@PamBelinda @NotoriousJayZ1 @donminja47 @shiggaJr @ilfintosanto06 @bizy94 @YerickoNyerereT @woopiesnooker @mTusiOriginal @SaidiJumaa10 @Modarisy @MankindUwezo @Dunguboy1 Amekimbia na kuwaachia wenzake kaenda Canada kufanya mishe. Alidhani kukusanya bilion 3 kwa chama ni sawa na kuunda kamati ya harusi. Hakujua Chama cha siasa hakiongozwi na masikini? Tapeli Lema wa Chademacoin







Hehehe ila chadema wamekosa hoja aisee, yaani msiba wa mwaka jana wa Nyalusi leo ndio wanauomboleza kwanguvu kubwa kwakuchukua media mtandao za akina marwa zote kwenda Iringa ili tu kuhamisha hisia kutoka kwenye msiba wa Hayati Lukuvi?








