The Notorious JayZ

19.4K posts

The Notorious JayZ banner
The Notorious JayZ

The Notorious JayZ

@NotoriousJayZ1

"Everyone has a plan "till They Get Punched in the Mouth"...Mike Tyson

United States Katılım Mayıs 2020
4.3K Takip Edilen976 Takipçiler
SHIGGA_.
SHIGGA_.@shiggaJr·
HISTORIA MFAHAMU BOB MAKANI MUASISI WA #CHADEMA AKIWA NA EDWIN MTEI 1966. 🧶🪢👇🏿
SHIGGA_. tweet media
Indonesia
5
10
34
1.2K
The Notorious JayZ
The Notorious JayZ@NotoriousJayZ1·
hapana mkuu ni bongo movie wa hapa hapa mkuu au audio zao zipo wanazizungusha nasikia video kabisa nabii feki akila mzigo zipo yaani taahira mitego ya maccm imemkamata hata akili ya kuepuka hana karibu page zote za maumbea ya bongo movie wameirusha taahira kabisa nabii koko yule
Indonesia
0
0
1
4
The Notorious JayZ
The Notorious JayZ@NotoriousJayZ1·
mtu maisha yake tu na familia yake ni changamoto kwake ndio atafute hela za taasisi? eti 2 bilioni kila mwezi akataja na neno "crypto currency" as if he knows shit about it jitu la lasaba akili kapata wapi ghafla namna hii? kiko wapi??? yupo anatomba tu bongo movie nasikia,na video wamemchukua nasikia ni hatari taahira hajui hata kutomba kwa akili ndio awe na akili ya kusimamia harakati za siasa na haya maccm? subutuuuuu
Filipino
1
1
3
12
Pam Belinda 🥇
Pam Belinda 🥇@PamBelinda·
@NotoriousJayZ1 @donminja47 @shiggaJr @ilfintosanto06 @bizy94 @Eliudiwekesa @YerickoNyerereT @woopiesnooker @mTusiOriginal @SaidiJumaa10 @Modarisy @MankindUwezo @Dunguboy1 Siku hizi mbona Lema hasikiki tena ktk uongozi wa CDM..?! Alijua uongozi wa juu ni lele mama..! Ashikiwe bango kuhusu hizi 3bn kwa mwezi na sijui CDM Crypto Currency.. 🤣 Yaani ni wazi kuwa CDM hakuna tena watu wenye AKILI..! Mbona hakuwahi kusema hizi plan wakati wa FAM..?!
Indonesia
3
2
3
29
The Notorious JayZ
The Notorious JayZ@NotoriousJayZ1·
there is no come back from this simple sentence:
The Notorious JayZ tweet media
English
0
2
5
48
Johari Mshana
Johari Mshana@joharimshana·
@NotoriousJayZ1 Hahahahha sasa kaka yenu inakuwaje kaoa ila amtunzi mke wake? Mke hatunzwi na kaka yenu! Na anakimbia mji tena
Filipino
1
0
1
39
Johari Mshana
Johari Mshana@joharimshana·
Nimeamka na mastaa wa X, tunakuwa busy na kesi za siasa sanaa, embu tupate breakfast kwanza, hivi hii ndoa bado ipo au hizi stori za mtaani sio za kwelii 😂
Johari Mshana tweet media
Indonesia
12
22
108
16.6K
The Notorious JayZ
The Notorious JayZ@NotoriousJayZ1·
@lwaitama1 Lissu ni Nyerere? Lissu huyo huyo anaemtukana Nyerere huyo huyo? Mzee utakua shoga wewe
The Notorious JayZ tweet media
Filipino
0
0
0
14
Dr Lwaitama
Dr Lwaitama@lwaitama1·
Tundu Lissu ni kama Nyerere, wakati anapigania uhuru watanzania wengi walikuwa wajinga hata alipotetea demokrasia asilimia 20 walimwelewa Nyerere
Indonesia
10
32
174
2.5K
The Notorious JayZ retweetledi
SUN TZU🇹🇿
SUN TZU🇹🇿@Sun_tz_u20sj·
Asilimia 90 ya waliohusika na vurugu za Oktoba 29 ni UFIPA, jambo ambalo linaonekana kuthibitishwa na kauli zao wenyewe. Sasa wanajitokeza hadharani na kuendelea kujigamba. Kuna haja serikali iwachunguze kwa makini na kuchukua hatua. Msajili wa vyama vya siasa FUTA HIKI CHAMA
Indonesia
3
2
6
241
The Notorious JayZ retweetledi
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Naaaam naaam, ripoti ya Tume tunaisubiri
Yericko Nyerere tweet media
Filipino
61
5
38
9K
GASTON SHUNDO GARUBINDI
GASTON SHUNDO GARUBINDI@ShundoGaston·
MAHAKAMANI BUNDA LEO TAREHE 26/03/2026: Juzi baada ya kutoka mahakama ya Rufaa Dodoma kwenye kesi ya marejeo, tulilazimika kusafiri usiku kucha kuja wilayani Bunda ili leo tuweze kuhudhuria kesi inayomkabili Yohana Kaunya na wenzake 20 wanaokabiliwa na mashitaka 11 kwenye kesi ya Jinai namba 21/2026. Kwa mapenzi yake Allah tulifika salama salimini na leo tumefanya kazi njema sana ya kushughulika na mpelelezi wa kesi hiyo. Shahidi wa leo, ambaye ni mpelelezi Mkuu kwenye kesi hii, ni shahidi wa 12 Kati ya mashahidi 46 wanaotarajiwa kuletwa kwa upande wa Jamhuri kutoa ushahidi wao mahakamani. Pamoja na changamoto, ikiwemo uchovu kama Binadamu lkn siku ya leo imekuwa njema sana kwetu na mstakabari wa shauri hili zima, moja ya moment ninazofurahi ni kumuona shahidi muongo akidhalilika mahakamani kwa makosa ya uongo na maelekezo. Nawashukuru wakili Aloyce kajitamusi na wakili Alex Massaba ambao walikuwa nami mahakamani kama ambavyo wamekuwa wakifanya siku zote. Viongozi wa Chama na wanachama wa Bunda na maeneo jirani mnaohudhuria kesi nawashukuru. Leo baada ya kumsikiliza shahidi wa Jamhuri kesi, imeahirishwa kupisha sikukuu ya Pasaka hadi tarehe 9, 13 na 14 April 2025 ambapo Jamhuri wataendelea kuleta mashahidi wao. Safari kurejea jijini Dar Es Salaam, kujiandaa na kesi nyingine ya Jamhuri dhidi ya Lucy Simon Shayo mjini Morogoro inaanza usiku huu, tuombeane Dua, tufike Salama.
Indonesia
24
54
196
4.6K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Mh @freemanmbowetz, Sisi vijana wako watiifu uliyetulea na kutufundisha siasa na hesabu za nera, HATUTAKUSALITI KAMWE!, Tutabaki watiifu kwako tukiamini wewe ni kiongozi bora na mbeba maono wetu, tutalinda heshima na urithi wako popote! Endelea na mapumziko ya likizo yako ya kisiasa kwa amani na utulivu, usilazimishwe kunyamaza, wala usilazimishwe kusema, sema ukijisikia kusema, likiwepo la kusema! Na Yericko Nyerere
Yericko Nyerere tweet mediaYericko Nyerere tweet media
Filipino
78
8
72
15.3K
The Notorious JayZ retweetledi
DON MINJA
DON MINJA@donminja47·
@YerickoNyerereT @freemanmbowetz 👑📍wa Political Science Anajua sana Guru from Murima Tunakuomba uendelee kukaa huko² Machame kimya kabisa One day Afande PK @PaulKagame told me that: "Keep Quiet when these victims wanted your help to survive, just keep Quiet 🤫 " Walikutukana sana Mangi @ilfintosanto06
DON MINJA tweet media
Filipino
1
4
8
242