Chuga

18.5K posts

Chuga banner
Chuga

Chuga

@2pac_thuggish

2pac theory ♻️ just some regular guy ✌🏿

Las Vegas, NV เข้าร่วม Mayıs 2021
1K กำลังติดตาม2.8K ผู้ติดตาม
ทวีตที่ปักหมุด
Chuga
Chuga@2pac_thuggish·
Of what seems to be their main goal The want for power and control Because egotism and greed Are and will forever remain Humanity's main enemies This world's greatest threat Because as long as we accept Silently and complacently Our present times👇🏾👇🏾
English
2
1
2
295
NGOJWIKE SnR
NGOJWIKE SnR@mzawaMUFC·
Kuna siku nilikuwa natokea TENGERU naelekea SAKINA Sasa kwenye daladala nikakuta siti za kawaida zimeisha imebaki ile ya kuangalia abiria konda akaniambia kaa hapa madhabauni tuondoke. 😀😀
Filipino
27
30
331
20.7K
Chuga รีทวีตแล้ว
@·
Tunaingia taratibu katika kipindi ambacho wanawake saba wataomba kwa bidii mwanaume mmoja awaowe ili wabebe jina lake la ukoo. Wataahidi kujigharamia chakula na mavazi yao wenyewe, kama ilivyoandikwa kwenye Biblia.
Indonesia
0
3
27
0
Chuga
Chuga@2pac_thuggish·
RT @Kicheche_jr: Vijana mliojipata mtuambie tu ukweli wakuu, huyu nyoka anakunywa maziwa au anakula nini mambo ya kusema mmepambana sana hi…
Filipino
0
6
0
0
Chuga
Chuga@2pac_thuggish·
@Kicheche_jr starehe iliyopo hapa imefanya mji ulaaniwe hata mvua hazinyeshi, na mvua ikija basi ni mafuriko... kunae aids ya mwaka wa mbele pia huku
Filipino
1
0
2
16
Chuga
Chuga@2pac_thuggish·
RT @Kicheche_jr: Kabla hujamaliza ujana wako basi nenda hadi Wilaya ya Monduli sehemu inaitwa Makuyuni, ukifika usikae hapo nenda kama unae…
Indonesia
0
34
0
0
Chuga
Chuga@2pac_thuggish·
@mreno255 Namjua jamaa, anakaaga usiku huko sio mchana, sema fresh tu cha msingi kibunda
Eesti
1
0
5
362
MRENO⛑️
MRENO⛑️@mreno255·
Mjini kuna watu wana kazi ngumu sanaa 🫡💔Kuna huyu mwana anafanya kazi chooni hapa picnic bar- arusha kawekewa tv na amerelax yaani maisha yake kutwa nzima ni huku chooni 🙌🏿🙌🏿 Nimemuonea huruma sana ana kibakuli cha kuweka hela ya posho.
Indonesia
19
15
301
20.5K
Chuga
Chuga@2pac_thuggish·
@Nalee255 @MkulimaKante Mkuu, nikinywa konyagi naloeka utambi mahali yoote, nipe namba ya huyo mtaalamu!
Indonesia
0
0
0
33
Kante
Kante@MkulimaKante·
Nikiwa nafanya kazi bar ndipo niligundua watu pesa wanayo kuna wadau wawili walinambia dogo bill ikifika milioni tushitue😁🙌 Nilipoonesha kushangaa wakanambia Sisi Ndio MATAIKUNI📌 wana hela chafu ila roho safi kichizi
Indonesia
19
20
396
21.2K
Mpishi 🤎✨
Mpishi 🤎✨@msosi_flavour·
A life worthy of the calling 🩶✨
Mpishi 🤎✨ tweet mediaMpishi 🤎✨ tweet media
English
21
27
386
23.9K
Chuga
Chuga@2pac_thuggish·
@MkulimaKante jamaa juzi kanitoa tip ya 300K mpaka nikawa na wasiwasi au anataka kuja kuniua😁, sijui kibunda wanatoa wapi aisee🙌🏿🙌🏿
Indonesia
0
0
0
82
Kante
Kante@MkulimaKante·
@2pac_thuggish Chief watu wana vibunda sana yaani mtu kutumia milioni mbili kwa siku kawaida sana na hawavimbi kama sisi vijana
Indonesia
2
0
4
709
Chuga
Chuga@2pac_thuggish·
@Lizzie36021 kuna ile app ya MyHalo nayo
Filipino
0
0
0
90
chuga girl❣️
chuga girl❣️@Lizzie36021·
Unahangaika kukagua chart za watsap kumbe wenzio wanatumiana emails😂😂😂😂😂
Filipino
10
16
135
6.1K
Chuga
Chuga@2pac_thuggish·
@Calvertson1 Oyaa hili chimbo la wapi tena😂
Indonesia
1
0
2
868
gregor O'reilly
gregor O'reilly@Calvertson1·
Tatizo hamsalimii watu
gregor O'reilly tweet media
Indonesia
27
10
127
9.3K
Romeo must die🎩
Romeo must die🎩@Benie_19·
Minada kipindi cha utumwa inaonekana ilkua inabamba sana, unakuta demu ana mimba alaf kuna lijamaa linatangaza "nunua mmoja pata mmoja bure" 💔🙌🏾😂😂😂
Indonesia
5
8
43
1.6K
Chuga
Chuga@2pac_thuggish·
I need a girl Victory Come with me Bad boy for life I'll be missing you Been around the world Can't nobody hold me down
English
0
0
1
108