Fluent In Printing

901 posts

Fluent In Printing banner
Fluent In Printing

Fluent In Printing

@3dmabango

Your Brand. Bigger. Bolder. Seen.

Dar es Salaam, Tanzania เข้าร่วม Nisan 2020
1.5K กำลังติดตาม1.9K ผู้ติดตาม
Fluent In Printing รีทวีตแล้ว
philosophy memes 🔗
philosophy memes 🔗@philosophymeme0·
philosophy memes 🔗 tweet media
ZXX
415
20.3K
129.6K
2.3M
Fluent In Printing
Fluent In Printing@3dmabango·
@tazamaMbali @gabyconscious You know how it goes bro. Leo umepatia unajiona genius kesho loss and you feel you're an idiot.! It corrupts the soul, unless you're a robot with no emotions.
English
1
0
1
9
Fluent In Printing
Fluent In Printing@3dmabango·
@tazamaMbali @gabyconscious Nilkua batch ya pili kaka TMT ilipofunguliwa time hiyo nipo high school Minaki. Target ilkua first batch, nikaambiwa na Niffer first batch ishajaa. Kinyonge sana nikakubali ya pili.
Filipino
1
0
1
20
Tazama
Tazama@tazamaMbali·
@gabyconscious The Millionaire Team. Tumepitia mengi sana. Alafu kuna yule jamaa alikuwa anaandika sana jukwaa ya Jamii intelligence anaitwa Habibu Anga. Basi huyo mshikaji alikuwa na kademu kanaitwa sijui nani, na kenyewe kalikuwa TMT, sijui kaliishilia wapi aisee.
Indonesia
1
1
2
314
Fluent In Printing
Fluent In Printing@3dmabango·
@The_PR0F3S0R You have a valid point bro. It's constructive, na hii ndio version ya twitter napendelea kuiona. Ukitoa matumizi ya unnecessary emojis point zako zitakua even more powerful.!
English
0
0
0
25
Fluent In Printing
Fluent In Printing@3dmabango·
@Positivenga1 Trading but katika angle ya quant, Unamuongeleaje Prof. Jim Simons wa Medallion fund & Renaissance technologies as a quant trader?
Français
1
0
3
445
Haulay
Haulay@Positivenga1·
kwa siku kwenye Global Forex Market ela zinazokua traded ni zaidi ya $4 Trillion. Sasa nyie hamjiulizi kwanini nchi kama Marekani ambapo ndo kuna mitaji mikubwa na vijana wake ni very smart sana lakini hamsikii mtu kama Sandile Shenzi wa Kimarekani anatrend Huko Marekani? Yani Vijana wa Marekani waone io fursa afu waiachie itawaliwe na kina Sandile na Ref wayne? Kila ukiona kijana wa Marekani anatrend ni amebuni solution flani na sio anabet forex! Unahisi kwanini? Ila sisi huku na marole model wetu wa South Africa ndo tunaona io fursa namba 1 duniani. Tuamke wanangu! Tumechelewa sana!
Indonesia
42
11
129
18.5K
Mswahili___💡
Mswahili___💡@mswahili___1·
Kumbe ukienda first date inabidi ubebe hadi coins za kuwawekea wale walemavu barabarani? 😂😂😂🙌🏾
Filipino
82
116
775
22.3K
iamMwaky
iamMwaky@Reallawi_·
@3dmabango @iboysean @chapo255 Mnajump into conclusion sana bila doing your personal due diligence ndo maana mnalipishwa mahela kujifunza skills ambazo ziko bure tu youtube in 4 to 8hours videos
Tanzania 🇹🇿 English
1
1
1
20
Sean 🦩
Sean 🦩@iboysean·
Kwahiyo Francisco Magnetics alipata mpaka Dola Laki 4 kwenye Trading? Hizi hela za kudownload 😂
Filipino
25
20
79
7.6K
iamMwaky
iamMwaky@Reallawi_·
@iboysean @chapo255 Hela za investors mzee sio zake😅 mbn hamsikilizi hata podcasts mnakuja kuhukumu tu humu
1
0
0
277
Fluent In Printing
Fluent In Printing@3dmabango·
@Almalik_Mokiiwa Vijana tumedanganywa sana, Vijana tumepigwa tumechakaa imefika hatua kila jambo tunaliona katika lens ya uongo nakua tunapangwa tupigwe. Very sad situation kama vijana ambao tulitakiwa tuwe aggressive taking risks to propel the nation we have been devoured with fear.
Filipino
0
0
3
454
Almalik Mokiwa
Almalik Mokiwa@Almalik_Mokiiwa·
Sema wabongo tunakuwaga wajuaji sana. Mtu hujaenda kusikiliza podcast UNAKUWAJE NA MAONI NEGATIVE YA KUTOA?? Maana leo humu kumejaa Kejeli na Ujuaji, ila ukisoma coments unagundua kuwa hawajaenda kusikiliza. Utaona tu wanaandika "Hapo wanatafutwa watu wapigwe hela", "Matapeli hawa", "Hiyo hela ningetengeneza nisingekaa Bongo". Ndio maana Sirjeff alikuwa anatweet kuanzia morning mpaka night kuwa watu wana IQ za Mende... Shule aliyotoa mwana kwenye zile 2Hrs podcast huwezi ipata Chuo kikuu, ila watu wameigeuza kuwa Mradi wa Lawama kwa kusikiliza clips. MIYEYUSHO!
Indonesia
31
28
175
8.2K
Fluent In Printing
Fluent In Printing@3dmabango·
@gabyconscious Watu hawaelewi confidence level watu waliyokua nayo kwenye fx miaka ya 2016, 17, 18. Tuki account at individuals level kwamba kila trader tuangalie loss zake, kuna billions zimepotea ambazo zikikusanywa nakuwekwa kwa account moja hata hii 1.7B inayowashangaza watu ni cha mtoto.
Filipino
1
0
13
5.1K
Fluent In Printing
Fluent In Printing@3dmabango·
@BarakaMaviatu @chapo255 Naamu, kila hatua kuna gharama yakulipa kuqualify kama hakukua na maandalio kukuthibitisha na ukathibitika lazima ulipie tuition fee kwa njia ya kukosea mpaka utakapo accept kosa, nakutumia lesson ulizopata kuendelea mbele.
Indonesia
0
0
1
11
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Mwamba katika umri mdogo alishaka kibunda kirefu sana, sema nilichojifunza kabla mafanikio hayajaja kuna vitu vya akujiandaa navyo kinyume chake mbele kuna shimo
Indonesia
19
38
241
14.2K
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Katika pitapita zangu, nimekutana na hii Podcast Inaitwa "Let's impact millions" ambapo inawaleta wafanyabiashara na kuelezea namna wanavyofanya na kufanikiwa. Leo walikuwa na huyu jamaa. Alikuwa akielezea namna alivyotengeneza hela nyingi akiwa na umri mdogo. Video 👇
Latto 𝕏 tweet media
Indonesia
20
24
330
43.4K
Fluent In Printing
Fluent In Printing@3dmabango·
@chapo255 Alkua na pesa ilohitaji bank grade level of structure ila bro akawa na management structure ya genge la nyanya.
Filipino
0
0
0
217
Fluent In Printing
Fluent In Printing@3dmabango·
@FaradayMtz01 Competitive governance 101: Kila jimbo lingekua na nguvu zake (taxes, laws, investment rules) Viongozi wanashindana kuvutia watu na biashara kwenye miji yao. Serikali kuu inabaki na mambo ya msingi (ulinzi, sera kubwa)
Filipino
1
0
3
113
I ❤️ Dar Es Salaam
I ❤️ Dar Es Salaam@FaradayMtz01·
Ukweli mchungu ni kwamba, serikali imefeli kuendeleza majiji na miji mingine ili iwe kwenye world city standard. Kila kitu kinaendelezwa Dar Es Salaam, Dodoma, Mwanza na Zanzibar. Kwingine kumesahaulika kwa sababu ya Centralization Policy. Huu ni ubinafsi wa Viongozi tulionao.
Indonesia
10
6
83
3.8K