Centipede

8.6K posts

Centipede banner
Centipede

Centipede

@ADUII_007

Life is not a garden, don't be a hoe.

Kilimanjaro, Tanzania เข้าร่วม Haziran 2020
1.3K กำลังติดตาม993 ผู้ติดตาม
♟️
♟️@iamFallacy·
Nani anaweza kutrack namba ya simu wakali kuna mtu nna shida nae sana nakosa namna ya kukamatana nae.
Indonesia
3
0
8
551
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Tuliwambia chama “kimekufa” mkakomaza mafuvu kwamba kiko mioyoni mwa watz, Leo mnajionea yaani mkutano wa Kanda ya Serengeni yenye mikao zaidi ya mitano Uzinduzi wa Ofisi umekuwa kama kikao cha ukoo watu hawazidi 25 mamae. Hapa Dar napo Mkutano wa Kibamba ambao Makamu mwenyekiti Taifa John Heche ameongoza, hawataki hata kurusha picha maana ni aibu, Wanatembeza picha alizokwenda Magufuli Stendi na kujichekesha. Kwasasa CUF na UPDP wanajaza watu kuliko hiki kigenge cha wanaharakati uchwara…. Na bado ngoja iishe miaka miwili hivi, mbona baadae mtashindwa hata vikao vya mtawi tu.😂 Chama pekee imara na kinachoaminika na Wananchi ni Chaumma tu
Yericko Nyerere tweet mediaYericko Nyerere tweet mediaYericko Nyerere tweet media
Indonesia
215
12
59
20.8K
Billy
Billy@BillyTronix1·
1993/1994- Ac Milan ya Capello ilishinda ligi ikiwa imefunga magoli 36 tu katika game 34 Clean sheets 22 Hii ndio haram football sasa 🙌😆😆😆
Filipino
24
47
539
14.5K
Centipede
Centipede@ADUII_007·
@enamalisa Nilimkuta hapo Ben siku moja baada ya Oct 29 ndio maana nikaacha kuja siwezi kunywa bia na mtu alieshangilia watu kuuwawa huku
Indonesia
1
0
0
172
Centipede
Centipede@ADUII_007·
@enamalisa Dada yangu lakini hata wewe Yule mpuuzi Ben si mwanao na anakujaga kunywa olele kuna siku nilimkuta hapo sijawahi kanyaga hapo mpaka Leo
Indonesia
2
0
0
102
Centipede
Centipede@ADUII_007·
@gabyconscious Waathirika wakubwa wa figo ni watumiaji sawa za miti shamba na haya madawa ya hospital kiholela pombe ni mhanga kwenye hili
Filipino
1
0
0
481
Nkota
Nkota@xlusako·
Ile report inasema ni 12% tu ya waTanzania ndio wana Imani na jeshi la polisi na tumekuwa nchi ya mwisho Afrika alafu hii chuki wanaichukulia poa tu.
Filipino
5
9
78
1.6K
Centipede
Centipede@ADUII_007·
Mimi nimesha muuguza babu yangu alifika hatua alikuwa haongee takribani siku tatu siku Hiyo aliongea akaniambia kaniitie mtuu Fulani nilivyoenda akaja akaongea nae mambo Yake jioni akafariki wewe hujawahi experience kukaaa na mgonjwa wewe
UP HILL ROAD@Vannguku1

@TillahBlessed Mahututi anauliza swali 😅😅😅 hizi hypothesis mnazipata wapi huwa mnascreen kabla ya kupost au just for engagement ??

Indonesia
1
0
0
26