Thekillboy

4.6K posts

Thekillboy banner
Thekillboy

Thekillboy

@ArsenalBoy8

From northern part of Tz. entrepreneur

Moshi Kingdom Of KLM,+255 เข้าร่วม Kasım 2018
2.4K กำลังติดตาม1.7K ผู้ติดตาม
@·
Kama unauza Unga wa uji lishe, kuna mteja wako pale Millenium tower😂🔥.
 tweet media tweet media
Indonesia
80
72
590
32.2K
@·
@laban72085 pale huwa unakaa upande upi kanisani?😂
हिन्दी
6
0
15
2.6K
@·
@JayRogath 😅😅 nimepita mahali naona baba anapewa ushauri aachane na vikali
हिन्दी
1
0
0
27
@·
Mox na baba yake Chura
 tweet media
Português
31
29
99
2.9K
@·
@AmRosalinee Unachoma nyumba muda wowote. Tupa uko
Indonesia
0
0
0
265
@·
M-horse ni simu za kijnga kuwai kutokea duniani🚮
Indonesia
23
21
148
6.9K
@·
@ze_mandevu Kaka ukiita siku nyingine sema nitakupa bei kiwandani😁
Indonesia
7
2
10
5K
@·
Kuna duka niliingia leo Kariakoo kuosha macho tu nikakuta hii sendo bei ya jumla 90k nikaipima ila siku nunua basi muuzaji alitema shiti kichizi, nilikaa kimnya kungoja amalize then nikaondoka bila kusema lolote ila angekuwa mteja mngine zingeruka hata ngumi. Binafsi nilipata hasira ningekuwa na pesa ningeinunua sababu nilikuwa tayari nishamaliza mahitaji yangu nilienda kwenye hilo jengo kufwata mzigo wangu kwenye harakati za kungoja nikajikuta nimeingia kwenye hilo duka, kiufupi Wauzaji wengi wa Kariakoo wana dharau kichizi sema fresh tutafika tu🙌
 tweet media
Indonesia
74
45
554
61.7K
@·
@floratabu29 @fintanjr_ @tenende_martial Ila nasikia watu wa hivyo wanakosea kwenye kuongea siyo kuandika. Mimi nimezoea kusikia mtu anachanganya r na l kwenye maongezi ila siyo kwenye uandishi. Jitaidi kwenye kuandika uwe formal siyo informal
Filipino
0
0
0
9
@·
@ArsenalBoy8 @fintanjr_ @tenende_martial Kwetu hatuna matumizi ya R Wala M hata nikiandika Lais au ntoto nielewe tu tatizo sio Mimi tatizo ni mazingira niliyokulia kaka
Filipino
4
1
2
22
@·
Siku kama ya leo, 26 April every year ni muungano wa Jamhuri na ni muungano wangu kibiblia,.. Anniversary vibe❤.. tuoe wanangu,🤝
 tweet media
Filipino
73
66
202
4.8K
@·
@SuluhuSamia Mh president kwanini mtu wa bara haruhusiwi kumiliki ardhi Zanzibar lakini wa Zanzibar anaruhusiwa kumiliki bara? Naongea na president siyo wewe tupime elimu mbalimbali
Indonesia
0
0
9
289
@·
Ninawatakia Watanzania wote heri ya Maadhimisho ya Miaka 62 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Muungano wetu ni lulu na urithi wa kipekee tulioupokea kutoka kwa waasisi wetu. Hivyo, nasi tuna wajibu wa kuutunza, kuulinda, na kuuimarisha ili tuurithishe kwa vizazi vijavyo ukiwa salama na imara kama tulivyoupokea. Ninatoa wito kwa Watanzania kuendelea kushirikiana, kufanya kazi kwa bidii, na kuimarisha uzalendo wetu, ili tujenge Tanzania moja, imara zaidi, yenye umoja na maendeleo jumuishi kwa kizazi cha sasa na kijacho. Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ubariki Muungano wetu.
 tweet media
Indonesia
81
110
333
17.8K
@·
@TayanahTibs Hakuna mwenye shida na COCO sema watu wanajaribu kupeleka hasira zao na makali kupitia familia yake. Ukianzisha vita usiwapangie watu silaha za kutumia.
Indonesia
0
0
0
15
@·
Kama kuna hasira na Denge basi malizane nae tafadhali. Familia naomba msiijumuoshe. Coco has been here, supported a lot. Embu tujitahidi sana na tuwe na akili ya kutambua kama kuna kosa ama ala, why attack coco? Deal na huyo denge! Ni mke mwema, mstaarabu. Dont cross the line!
Indonesia
57
8
105
31.3K
@·
@EsirEid Tafadhali tueleze kimetokea nini apa katikati mpaka ukamuunga mkono msimbe. Tu meki sitori shoti
Indonesia
0
0
2
26
@·
@EsirEid We na Mbowe utofauti ni kabila tu. Wote mmelamba asali😄😄
Indonesia
2
2
3
214
@·
#TajiriLaKihaya Wakuu niseme tu kwamba …. NONO BANKS kuanzia sasa tutamlinda kwa wivu mkubwa mno… Majeshi yangu yote nawaagiza kama Amri Jeshi mkuu… silaha zote dhidi yake ziteketezwe… memez zote zifutwe! Na kama kakublock weka kwenye comment screenshot Anakutoa kabatini muda huu…
 tweet media
Indonesia
303
62
970
202.9K
@·
@TayanahTibs Kaa kimya Denge huna unachoweza kueleza uku kwa sasa watu wakakuelewa . Kwenye vita usiwachagulie watu silaha, watu wanapiga kivyovyote ilimradi uumie. Cha msingi mchizi uku ahame arudi baada ya miaka 10-15 au abadilishe jina aje kivingine. Kwa hii report ya juzi ndo kabisa
Indonesia
0
0
0
22
@·
Denge is my friend. Yes that tweet imeleta sintofahamu. Aliojieleza so mtajua nyie, ila hamkumpa chance ya kumuelewa. Humu hata mie nshafanya upuuzi sana, lets forgive and move. Naomba tafadhali tweet yake has nothing to do with his family. Leave Coco out. Deal na aliyewakwaza.
Indonesia
179
20
317
131.9K
@·
Unaweza kuwa humkubali lakini MMM kanyooka, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Top guy 🙌
 tweet media
Indonesia
42
116
1.1K
14K
@·
@EsirEid Salio jipya unapata nyumba Tandale 😃😃
Filipino
0
0
0
5
@·
#TajiriLaKihaya Mimi nitafukua Makaburi… na MSAADA NITATOA… Umekua miongoni mwa watu walionipiga Spana kwa kuwasaidia watu Mitandaoni ila leo mm nakutumia Hela mtandaoni na wewe unaomba Msaada mtandaoni kama walivyoomba wale uliokua unawaponda! Sina Beef na wewe… tunaweka kumbukumbu sawa! Kama jinsi nlivyowasaidia wale na Leo tunakusaidia wewe… ila ingekua bora kama ungeweka Bill nzima hapa- ili tujue tunachanga kiasi gani! Mtu anaweza toa laki 5 kumbe bill ni laki 2 au mtu akatoa elfu 50 akajua amemaliza kumbe bill ni milion 5. UGUA POLE Bro… MWENYEZI MUNGU AKUPONYE na Akujaalie uwe na AFYA NJEMA🙏🏽 Binafsi nipo tayari kwa mchango mwingine- ukiweka taarifa zako sawa!
 tweet media
Filipino
269
144
881
81.3K
@·
@fintanjr_ @tenende_martial Ndoa ni kitu chema,Mungu awabariki zaidi kifo ndio kiwatenganishe...... NB:- Tangulieni Lamada agizeni chochote mtakacho mi nitawakuta hapo bill juu yangu
Indonesia
2
0
1
71
@·
@Irene4803 Hawa ma uncle jau 😂😂😂
Indonesia
2
0
1
969
@·
“Kwa nini uliacha kuzungumza na mjomba wako?” Mimi: Baada ya kuona picha hii ya zamani kwenye albamu yake.😄
 tweet media
Indonesia
67
56
372
24.6K
@·
Ujinga wa hii movie, sterling lazima akamatwe wakati wa kula 😂😂😂
 tweet media
Indonesia
40
39
305
11.2K
@·
@ayubu_madenge Akili hizi zingetakiwa kuja miaka 40 uko nyuma sema sababu matajiri Wana roho za kishetani wanazuia miradi kama hii wakishirikiana na viongozi wabaya
Indonesia
0
0
7
557
รีทวีตแล้ว
@·
Rais Ruto anasema nchi za Afrika mashariki zinajadili kujenga kiwanda cha kuchakata mafuta mkoani Tanga Tanzania. Ruto anasema kiwanda hicho kitaondoa utegemezi wa mafuta kutoka Uarabuni. Dangote amesema yeye yupo tayari kujenga kiwanda hicho kitakachotoa mapipa 650,000 kwa siku
 tweet media
Indonesia
61
79
1.3K
26.8K
@·
@Tweener003 Mabichi wanahara sana hayajengi mwili ila makavu yanakaa tumboni nakutengeneza protein nyingi mnyama anakuwa mnene
Indonesia
0
0
0
542
@·
Hivi kwanini Ng'ombe huwa wanawapa wale majani makavu kuliko mabichi ?
 tweet media
Filipino
26
32
193
15.6K
@·
@Maestrowafact @sinahisa Hahaha chura bana. Ulikuwa haujui hili mwanzo kuna mchizi kakusanua apo juu
Indonesia
0
0
0
66
@·
@sinahisa Nafasi ya Waziri kikatiba inakoma mara tu Bunge linapovunjwa kwa sababu uwaziri unatokana na ubunge this is plain logic. Lakini nchi haiwezi kuwa na vaccum. Ndiyo maana anabaki kama caretaker kushughulikia mambo ya dharura tu siyo kufanya maamuzi makubwa ya kisera au kisheria.
Indonesia
3
0
1
383
@·
Hizi ndizo athari za kukariri majina ya watu bila kujua sheria inasemaje.Waziri anatoka ndani ya Bunge na Bunge lilishavunjwa tangu zamani. Siku ya uchaguzi alikuwa raia kama wewe mkurupukaji
@

Mjumbe wa Tume ya Chande 🤝🤝

Indonesia
58
6
65
13.1K