ทวีตที่ปักหมุด
Nesan shoes
1.5K posts

Nesan shoes
@X_gee9
SHOES AVAILABLE FOR BOTH MEN & WOMEN 👠👞
Dar es Salaam, Tanzania เข้าร่วม Ocak 2022
722 กำลังติดตาม303 ผู้ติดตาม

Kuna duka niliingia leo Kariakoo kuosha macho tu nikakuta hii sendo bei ya jumla 90k nikaipima ila siku nunua basi muuzaji alitema shiti kichizi, nilikaa kimnya kungoja amalize then nikaondoka bila kusema lolote ila angekuwa mteja mngine zingeruka hata ngumi. Binafsi nilipata hasira ningekuwa na pesa ningeinunua sababu nilikuwa tayari nishamaliza mahitaji yangu nilienda kwenye hilo jengo kufwata mzigo wangu kwenye harakati za kungoja nikajikuta nimeingia kwenye hilo duka, kiufupi Wauzaji wengi wa Kariakoo wana dharau kichizi sema fresh tutafika tu🙌

Indonesia

@X_gee9 @ze_mandevu Ww utanifaa baadae acha nikufolow nikufwatilie taratibu huenda ukawa mkombozi wangu, nimechoka kupigika na mawinga🙌
Indonesia

@Britius4 @ze_mandevu Hahahahah, izii watu walianza kushusha na ndege ndo maan ila zilizokuja na maji kidg bei imepoa
Indonesia

@X_gee9 @ze_mandevu Oya translation ya hii kitu mjomba imenishtua🤣🤣
Indonesia

@ArsenalBoy8 @ze_mandevu Amnaaa kaka ila nipo na connection ya nike
Filipino

FULL TIME ⏰
Azam FC 1️⃣ ➖ 2️⃣ Yanga SC
⚽ 5’ Prince Dube
⚽️ 25’ Maxi Nzengeli
⚽ 77' Feisal Salum
Wananchi 🔰 mnamtaka nani Fainali? Simba au Mlandege
#MuunganoCup2026


Indonesia

Mboga nyingi nimekuja kuzipenda ukubwani!!
Nikiwa mdogo nilikuwa siwezi kula mboga za majani, sijui nilikuwa naonaje!!
Au mboga uiweke ngogwe sijui bilinganya aaaaagrr sili hata kwa bunduki!
Nikiona nyanya,hoho karoti au hasa kitunguu kwenye mboga navichambua navitoa toa vyote pembeni ndio nile!!
Saivi nakula kila kitu!!
Indonesia

Kuna Comeback!!
Stay tuned
Mkuujr5@mkuuJr5
Odds 29 Hela yangu ya Hannessy this weekend nimeweka humo. Ikibuma mwendo wa Nyagi tuu. Kwa mnao amini tuu.!!🫶🏿 5B3TDR
English

@ommy_pythonc @Sativa255 Kwenye mbinu jana tuliwawin sana genge la elcholo
Filipino

@X_gee9 @Sativa255 Red Card imeharibu kila kitu, hii mech Barc anheshinda
Eesti

@ThomzJoseph Ile sio red card ata kama ni last man .jana pale yamefanyikaa maamuzi ya mihemko😁
Eesti



















