DAKI

3.8K posts

DAKI banner
DAKI

DAKI

@AudaxR

Free mind! Critical thinker! Social scientist. BELIEVER OF INCLUSIVITY, DIALOGUE & EVIDENCE IN DECISION-MAKING. VIEWS ARE MINE. RTs AREN'T ENDORSEMENT

Kimanzichana เข้าร่วม Temmuz 2011
1.2K กำลังติดตาม2.5K ผู้ติดตาม
DAKI รีทวีตแล้ว
Joel Osteen
Joel Osteen@JoelOsteen·
Don’t let the winds of testing cause you to think that God is not for you. Stand unmoved by what you’re up against, stand with your eyes on the God who created the universe, stand knowing that He has the final say, that what He promised you—will come to pass.
English
225
809
5K
98.7K
DAKI รีทวีตแล้ว
Karel van Oosterom
Karel van Oosterom@KvanOosterom·
This is the Netherlands. Our Prime Minister of fourteen years leaves office. On a bicycle.
Karel van Oosterom tweet mediaKarel van Oosterom tweet mediaKarel van Oosterom tweet mediaKarel van Oosterom tweet media
English
1.1K
6.1K
19.2K
2.6M
DAKI
DAKI@AudaxR·
EABC_Update_on_EAC_Integration__PPD_on_COMESA_EAC_SADC_FTA_Rec_Report_Joint_Meeting_of_the_Triparte_Sectoral_Ministerial_Commitee eabc-online.com/download/eabc_…
English
0
0
0
110
DAKI รีทวีตแล้ว
World Food Programme
This lean season, over 4X more people across West and Central Africa are struggling to meet their basic food and nutrition needs compared to just five years ago. Most of those affected are in the Sahel, Nigeria and Cameroon. 🔗Learn more: ow.ly/9eaY50SnH4e
World Food Programme tweet media
English
19
71
165
42.4K
DAKI
DAKI@AudaxR·
Mungu aendelee kuwatuza. Muone na kufurahia wajukuu na vitukuu katika wema wake Bwana Yesu
Indonesia
0
0
7
806
DAKI
DAKI@AudaxR·
Wakaenda hadi kwa wakala wakatoa hela. Akawapa password ya bankcard wakarudi ATM nako wakakomba. Kisha wakamrudishia lines zake na kuondoka na simu Sijui utekaji huu ama ujambaz ama wizi?
Indonesia
0
0
0
66
DAKI
DAKI@AudaxR·
Mama akapewa lift na mtu asiyemjua. Mbele kidogo maeneo ya Bugurun akamwambia shoga yangu yule ngoja tumpakie. Akaingia mwanamke mwingine2. Mbele tena wakasimama wakamchukua mwanamme. Mama wa watu kawekwa kati. Wakampeleka eneo wakampiga. Akawapa namba ya siri ya lines zake
Indonesia
1
0
0
73
DAKI
DAKI@AudaxR·
Usilojua. Mbagala haina tofauti sana na Tegeta, Gongolamboto, na Kimara/Mbezi zamani. Maana hizo ndio destinations za watu wa kipato cha kati na chini. Ila Tegeta inalisha Bagamoyo, Kimara/Mbezi (Kibaha), Gmboto (Kisarawe), Mbagala (Mkuranga)
Indonesia
0
0
3
178
DAKI
DAKI@AudaxR·
Kaka, siasa za kupongeza jambo wakati ni la hovyo sio kabisa. Gharama ya uhai wa watu haina bima wala fidia haiwezi rejesha marehemu
Jimmy Luhende@kazikwanza

@AudaxR Siasa safi...zile siasa za vyama za kushindana mambo ya hovyo ndo tuzikatae kwenye kila kitu...Siasa safi inahitajika kwenye kila sekta...

Indonesia
1
0
0
100
DAKI รีทวีตแล้ว
Mbwaa wa Ileje.
Mbwaa wa Ileje.@Baharyy25·
@Eric__Bernard Ndo shida yetu watu wakileta kero wanazokumbana nazo, viongoz wanajifnya wanajengewa zengwe, badala ya kutattua ttzo, au mnasubir had Raia wafe maji ndo ttzo litatuliwe
Indonesia
0
1
6
761
DAKI
DAKI@AudaxR·
Msiendeshe siasa kwenye uhai wa watu. Siku likitokea na kutokea watu watakimbiana. Kuna haja ya kufanya tathimin kuhusu usalama wa vivuko. Maisha ni muhimu kuliko siasa
Haki Ngowi@Hakingowi

📍Dodoma ▪️UPOTOSHAJI WA VIVUKO KIGAMBONI UNA MASLAHI BINAFSI: WAZIRI BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewatoa hofu Wananchi wa mkoa wa Dar es salaam wanaotumia usafiri wa vivuko eneo la Kigamboni -Magogoni juu ya taharuki kuhusu huduma inayotolewa na Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) nakueleza kuwa imetengenezwa na watu wenye maslahi binafsi. Ameyasema hayo leo Mei 28, 2024 wakati alipokuwa akifanya mahojiano na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) ambapo amesema kuwa serikali imejipanga kuhakikisha inaimarisha huduma ya usafiri wa vivuko nchini. "Niwatoe wasiwasi Wananchi wa Dar es salaam pamoja na kigamboni, taharuki ambayo imetengenezwa hakukuwa na sababu ya kutengenezwa. Lakini sisi tunaofahamu yapo maslahi binafsi nyuma ya utengenezaji wa hii taharuki" Amekaririwa Bashungwa Ameeleza kuwa sasa vivuko vingi vinaendelea na matengenezo, lakini pia Mkandarasi Songoro Marine anaendelea na ujenzi wa vivuko vipya katika karakana yake mkoani Mwanza kwa ajili yakupelekwa kwenye maeneo mbalimbali kutoa huduma kwa wananchi. Aidha, Bashungwa amesema kuwa tayari ameikutanisha TEMESA na Kampuni ya AZAM Marine na kujadili namna bora yakushirikiana kwa pamoja kuboresha utoaji huduma ya usafiri wa vivuko katika eneo la Magogoni - Kigamboni. "Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan tumejipanga vizuri kuhakikisha tunaboresha vivuko na tutaweka machaguo kwa abiria ambapo watakuwa na chaguo. Ukitaka kutumia kivuko cha TEMESA sawa au ukitaka cha AZAM muda mchache kuvuka kwasababu zile ni ndogo siyo kama kivuko kikubwa ambacho unasubiri kupakia magari na abiria ili muweze kuondoka pamoja" Amesisitiza Bashungwa amesema Wizara inatambua changamoto ya wananchi ni huduma bora ya vivuko nakusema kuwa kuanzia mwezi Agosti mwaka huu wataanza kutekeleza mpango huo utakaotoa wigo kwa wananchi kuchagua huduma wanayotaka kutumia. "Wapo wanaotaka kushinikiza ili utaratibu na mwelekeo uende kama wanavyotaka wao, sisi hatuendi hivyo"amesema Bashungwa huku akisema kuwataja watu hao ni kuwapa sifa. 📸:W/Ujenzi

Indonesia
1
0
5
132
DAKI รีทวีตแล้ว
WTO
WTO@wto·
Happening now: DG @NOIweala opening the book launch on "Illicit Trade In Food and Food Fraud". Watch live here: bit.ly/4bPxr1b
WTO tweet media
English
1
3
11
1.9K
DAKI
DAKI@AudaxR·
Shida ni kwamba hizi social contract haziko legally binding. Mtu akikosea unasubiri kwenye ballot box, akiwa mjanja anaiba kura. Lakini kama mbunge angewekewa deliverable akishindwa based on indicators mnamwonesha mlango wakutokea
Abertus Paschal 🇹🇿𝕏@rutaraka

Tunazidi kuongeza gharama! Hilo la ‘nepotism’ ni pana sana hadi sekta binafsi. Mbunge anaweza kuwekewa sharti la kikanuni/sheria (sifa na idadi) kuajiri watu hao. Nakubaliana nawe kwenye tafiti na resources mobilization maana tuna wabunge wengi wasiojua majimbo yao (fursa zote zilizopo).

Indonesia
0
0
0
114
DAKI
DAKI@AudaxR·
Kwa maoni yangu PAs hao walipashwa kuajiriwa may be na Bunge on 2.5years renewable contract ili waweza kuleta maana. Suala la mbunge ku-handpick linaishia kuweka wajomba ama incapable people. Hawa wangesaidiana na wadau kwenye jimbo kufanya tafiti na kumobilize resources pamoja
Abertus Paschal 🇹🇿𝕏@rutaraka

Pamoja na maslahi toshelevu, wabunge wengi wanashindwa kuajiri PA’s hata kwa USD 400 badala yake wanaajiri makatibu wa kuhudhuria matukio ya kijamii majimboni na kuwa-tip wapiga picha. Katibu mahsusi wa Mbunge anapaswa kumuandaa hasa maeneo (sekta) ya kuchangia na hoja mbalimbali za kitaifa. Thinking!

Indonesia
0
0
4
357
DAKI รีทวีตแล้ว
RwandAir
RwandAir@FlyRwandAir·
“Connecting Africa to the Middle East and the rest of the world requires addressing the challenges of limited connectivity within the African continent, high fuel costs, and taxes. By solving these issues and implementing the Single African Air Transport Market, we can properly connect the continent to the world." CEO Yvonne Makolo. #FlyTheDreamOfAfrica #QatarEconomicForum
RwandAir tweet mediaRwandAir tweet media
English
3
56
160
10.4K