Busati-TZ

2K posts

Busati-TZ

Busati-TZ

@BUSATI5

Art is life and vice versa

Tanzania เข้าร่วม Eylül 2019
1.4K กำลังติดตาม334 ผู้ติดตาม
ทวีตที่ปักหมุด
Busati-TZ
Busati-TZ@BUSATI5·
The story "The Tree That Shed Tears," unfolds the life of Salome, a young girl living in poverty in Dumila, Tanzania. The narrative begins with Salome's struggles, her bond with her grandmother, and the haunting absence of her mother. Salome's grandmother, Ms. Salome, raised her with love despite their dire circumstances and poverty . As Salome grows, her grandmother secures a job for her as a housekeeper for a wealthy Dutch farmer named Mr. Badwell. This opportunity brings hope, but also leads her into a web of darkness. Badwell, who is revealed to have a sinister past, treats the children cruelly, and Salome soon realizes the true nature of his character when she witnesses him abusing his sons . The story progresses as Salome becomes trapped in Badwell's estate, where she experiences torment and isolation. Despite her suffering, she finds solace in her connection with Coen and Berend, Badwell's sons, who also endure their father's wrath. The children share a bond that transcends their pain, and together they seek comfort in a mysterious tree that they believe shares their sorrows... If you're a fan of dramatic thrillers, don't miss this!
Busati-TZ tweet media
English
0
0
2
503
Busati-TZ รีทวีตแล้ว
khalifa said #IRAN 🇮🇷 ☭🌹
serikali haipaswi kuwa na mamlaka ya kufungia chombo cha habari. hatuhitaji sheria inayoipa serikali mamlaka hiyo. serikali ijitoe kwenye kusimamia maadili ya uandishi wa habari. why haisimamii maadili ya wanataaluma wowote wengine? solidarity w/ @Jambotv_ 🎥: @kirati_j07
Indonesia
6
51
207
3.8K
Busati-TZ รีทวีตแล้ว
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
"Nimeshasema hawa viongozi HAWANA ECONOMIC FOCUS, kama wanayo waionyeshe". Father KITIMA anaendelea kupiga Panapouma. SIKILIZA SHULE KUTOKA KWA PHD KITIMA. REPOST 200
Filipino
34
498
2K
36K
khalifa said #IRAN 🇮🇷 ☭🌹
khalifa said #IRAN 🇮🇷 ☭🌹@ThatBoyKhalifax·
bodaboda na kamari, licha ya kuwa msaada kwa vijana wanaoporwa utu wao na serikali, ni dalili za uchumi mfu, uliojengwa kwenye misingi ya rushwa, ufisadi na upendeleo. nyingine ni mamilioni ya watanzania kuendelea kutapeliwa na manabii wa uongo:
Indonesia
6
47
177
6.1K
The captain
The captain@shucom20·
@ayubu_madenge Ili uwajue adui zako lazima ukaishi nao, Larijan ana PHD ya computer na mathematics kasomea USA so shida ipo wapo
Filipino
2
0
0
2K
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Mtoto wa kike wa Ali Larijani (kiongozi wa Iran aliyeuawa) anayeitwa Fatemeh Larijani amesoma Marekani, akawa daktari bingwa wa Kansa Marekani na akaajiriwa na Chuo kikuu cha Emory. Tena 2021 akapewa “Green Card” kibali rasmi cha kuishi Marekani. Hii dunia ni ngumu sana kuielewa
Ayubu Madenge tweet mediaAyubu Madenge tweet media
Indonesia
47
78
1.1K
42.9K
JAMES KAMALA PETER
JAMES KAMALA PETER@PeterJk836528·
@MkulimaKante Hapo ndipo mnaponikera vibaya mno,Ubaya haujali dini au jinsia yake ya mbaya.Udini na jinsia vimekua silaha ya kutuumiza Sana watanganyika Kila Ukisema tu unaskia unamsema vibaya bi kidude kwakua ye ni muislamu,kwani mbona hata magufuli tulimkosoa?.Acha trump ashugulikie magaidi
Indonesia
2
0
2
665
Kante
Kante@MkulimaKante·
Usikute Marekani ana chuki dhidi ya uislamu tu mbona kwa huyu na putin mikwara huwa inaishia mdomoni tu vitendo hakuna. Ila dola zote za kiislamu anazipiga makombora. Mnisamehe kama nimewaza vibaya.
Kante tweet media
Indonesia
142
23
445
31.9K
Mtanzania Bin Tanganyika
Mtanzania Bin Tanganyika@mpenda_TANZANIA·
@MkulimaKante Marekani anachokifanya ni mpango upo nyuma ya Roman Catholic. USA anatekeleza ajenda ya Roman Catholic kuziharibu nchi za Kiislamu ili Roma iendelee kuwa na nguvu
Indonesia
15
0
11
1.4K
Busati-TZ รีทวีตแล้ว
khalifa said #IRAN 🇮🇷 ☭🌹
khalifa said #IRAN 🇮🇷 ☭🌹@ThatBoyKhalifax·
dola, hususan la kikoloni kama hili letu, hobby yake kubwa ni kuendesha vita dhidi ya masikini. ndiyo sababu una sheria za uzururaji. tajiri anazurura? ndiyo maana likitaka kuongeza kodi linakwenda kwa masikini (tozo, etc). halafu wanakwambia hawana 'ideology.' fuck them, wanayo!
Indonesia
6
58
339
6.7K
Busati-TZ รีทวีตแล้ว
khalifa said #IRAN 🇮🇷 ☭🌹
khalifa said #IRAN 🇮🇷 ☭🌹@ThatBoyKhalifax·
waganda wana hali mbaya, sisi tupo pabaya zaidi. wana wabunge 109 wa upinzani, hapa kwetu ni wawili. mu7i anaiba uchaguzi, lakini anaweza kuutetea huo wizi. haogopi kuhojiwa, na chombo chochote kile cha habari. njoo tanzania sasa. comparing to ugandans, we still live in caves!
Indonesia
24
115
684
23.6K
Busati-TZ รีทวีตแล้ว
khalifa said #IRAN 🇮🇷 ☭🌹
khalifa said #IRAN 🇮🇷 ☭🌹@ThatBoyKhalifax·
rais samia anadai she "pardoned" 1,787 "convicts" wa "violence" za oct 29. yeye na waliomuandikia hotuba wanajua huu ni uongo. rais HANA mamlaka ya kusamehe washitakiwa, na kushitakiwa kwa kosa HAKUKUFANYI uwe "convict." kulikuwa na namna ya kulisema hili bila kupotosha!
Filipino
12
84
447
19K
Busati-TZ
Busati-TZ@BUSATI5·
@ze_mandevu Angekuwa na akili kwanza angetujuza amepataje hizo pesa. Hata Uncle T ana pesa!
Indonesia
0
0
1
126
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Sema Jamaa kuna vitu anaongeaga fact anasema "Huwezi ukawa hauna Pesa halafu ukatuambia una akili, akili unazifanyiaga nini?, wewe kama hauna Pesa hauna akili" una maoni gani juu ya hii kauli yake?🤔
The mandevu tweet media
Indonesia
135
62
1.2K
60.5K
Busati-TZ รีทวีตแล้ว
Shaffih  Dauda
Shaffih Dauda@shaffihdauda1·
AFCON 2025 | MOROCCO 🇲🇦 “Nisiwe muongo kikosi changu kimechoka sana , nitalazimika kubadili namna ya uchezaji , tutawaacha Morocco wamiliki mpira ili sisi tujilinde kwa low block” “Tutafanya hivyo kipindi cha kwanza , pengine kipindi cha pili tunaweza kucheza mpira wetu wa siku zote” ◻️Eric Chelle , Kocha wa Nigeria
Shaffih  Dauda tweet media
Filipino
24
15
679
33.7K
Busati-TZ
Busati-TZ@BUSATI5·
@Sisimizi3 Kipimo halisi ni Kanuni ya Imani.... Atusaidie kukiri Imani Katoliki Kwa Apostles Creed!
Indonesia
0
0
0
143
Dr. Sisimizi
Dr. Sisimizi@Sisimizi3·
Hatimaye Lucy kaleta picha zake kuwa ni Mkatoliki, haya jibuni hoja zake. Mtu anaongea vitu siriaz wewe unajadili Kijora
Dr. Sisimizi tweet media
Indonesia
224
15
258
98.2K
Busati-TZ รีทวีตแล้ว
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Ex JBL 🔊 anapost sana IG now, kila baada ya masaa mawili anatia post!! She tries to show she is happy!!😁 She is trying to fit in Engagement shindili!! Wakikosaga position hawa wanakuwa desparate sana, ndio wanaanza kuigiza wako humble kwa raia, watareply kila comment waonekana ni watu wanakubalika na jamii!! Wape madaraka sasa uone true colors zao!!
Filipino
41
131
1.3K
76.1K
Busati-TZ รีทวีตแล้ว
khalifa said #IRAN 🇮🇷 ☭🌹
ningekuwa rais muislamu kutoka z'bar na nagundua kuna harakati kuifanya serikali yangu ionekane ina vita na kanisa katoliki, ningefanya kila linalowezekana kampeni hiyo kukoma. uwezo huo uko ndani yangu. kumbuka, mimi ni rais wa tanzania, nina nguvu zote:
Indonesia
13
106
591
28.6K
Busati-TZ รีทวีตแล้ว
Sammy Awami
Sammy Awami@awamisammy·
Mashtaka ya Fr Kitima! 😂
Indonesia
55
333
1.4K
27.8K
Prosper
Prosper@ProsperMbwambo_·
@tonyalfredk Wakorintio wa 12 daaah 😂😂😂😂 hiki kimemo sijui kikeandikwa na mtoto
Filipino
1
0
4
1.4K
TONY ALFRED K
TONY ALFRED K@tonyalfredk·
Ukristo unafanyiwa mzaha na kejeli na watu wasio wakristo- wakitumia sura za wengine Hawa hawajui kusoma maandiko, wanadai wamepeleka ‘petrol station’ Vatican, wanadai kanisa ni ‘taasisi ya mtu mmoja’- ‘mwili wa kikristo’-?? Wanamshtaki Padri Kitima kwa kuiharibu CHADEMA.
Indonesia
151
59
393
55.7K