Billy

11.1K posts

Billy banner
Billy

Billy

@Bildadtz

Arusha, Tanzania เข้าร่วม Kasım 2019
2K กำลังติดตาม4.7K ผู้ติดตาม
ทวีตที่ปักหมุด
Billy
Billy@Bildadtz·
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KABLA , BAADA, NA WAKATI WA INTERVIEW YA KAZI. Namba tano zitakusaidia sana. KABLA YA INTERVIEW, ZINGATIA: 1. Chunguza kampuni na msimamo yao. 2. Kagua wasifu(CV) wako na uandae hoja za kuzungumza. 3. Jizoeze maswali ya kawaida ya mahojianokwa ufupi na uwazi. 4. Vaa ipasavyo na kukusanya nyaraka muhimu. 5. Hakikishi kuwa unafika kwa wakati. WAKATI WA INTERVIEW, HAKIKISHA: 1. Kuwa mwangalifu na mmsikivu. 2. Dumisha lugha nzuri ya mwili (Body Language) na mawasiliano ya macho (Eye Contact). 3. Sikiliza kwa makini na uulize maswali RELEVANT. kama -Kwasasa changamoto gani mmezipa kipaumbele cha juu zaidi ktk position uliyoomba kazi -Yapi matarajio ya kampuni kwa miaka mitano ijayo -Department gani nitakua nafanya nayo kazi zaidi, na muingiliano wa majukumu upoje. Kadri unavyouliza maswali relevant ndivyo unaonekana upo serious na hiyo kazi. 4. Highlight ujuzi wako na uzoefu unaohusiana na jukumu/role unayoomba. 5. Toa majibu ya wazi na mafupi. Baada ya INTERVIEW, ni muhimu ku: 1. Tuma ujumbe wa asante au barua pepe ili kutoa shukrani. mfano, Dear Sir/ Madam, Asante kwa nafasi ya kuhojiwa kwa nafasi hiyo leo na kampuni yako. Nilifurahia sana mchakato huo na kujifunza zaidi kuhusu kampuni yako. Ikiwa unahitaji maelezo zaidi ya kukusaidia kufanya uamuzi, tafadhali usisite kuwasiliana nami. Mwisho nikutakie kila la kheri huko uendako, Kaa chanya na uendelee kujiamini katika uwezo wako, Endelea kutafuta kazi na uzingatie fursa zingine. follow for more tips and turn on notification please retweet iwafikie wengi usisahau ku like.
Billy tweet media
Indonesia
33
218
814
128.9K
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Oya ni kweli?
Latto 𝕏 tweet media
Filipino
38
17
755
73.6K
Nelly ❤️
Nelly ❤️@hope_ful1·
Wajuaji, hapa ni wapi?
Nelly ❤️ tweet media
Indonesia
32
39
112
3.9K
Ímmanuel
Ímmanuel@Tinolove15·
Watembeaji hapa ni wapi?
Ímmanuel tweet media
Indonesia
9
2
19
553
Billy
Billy@Bildadtz·
@EsirEid Kwanini wanataka kumuua tena na ameshakufa?
Billy tweet media
Indonesia
0
0
4
490
Billy
Billy@Bildadtz·
@Sirajitz1 Natoa miwani maana sio mambo yangu hayo
Filipino
0
1
1
125
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Hapa ukiambiwa utoe kimoja utatoa nini?
Headboy wa mtaa tweet media
Suomi
107
40
217
10K
Billy
Billy@Bildadtz·
@bonifacejoseph_ Same same here Pizza na bugger sijawahi vielewa kabisa
Indonesia
0
0
0
41
Bony 📚
Bony 📚@bonifacejoseph_·
Naweza onekana mshamba lakini sijawahi feel ladha ya Pizza, nilikula mara Moja, sijawahi kula Tena. Hakunamo chakula hapo.!! 😂🚮
Indonesia
139
51
707
70.9K
Billy
Billy@Bildadtz·
@millardayo Iran 🇮🇷 tunaweza kwenda?
Indonesia
0
0
0
132
millardayo
millardayo@millardayo·
Serikali ya Tanzania imesema inaendelea kufuatilia kwa ukaribu hali ya usalama inayoendelea katika eneo la Mashariki ya Kati kufuatia mzozo kati ya Marekani na Israel dhidi ya Iran na kwamba inawashauri Raia wa Tanzania wanaopanga kusafiri kwenda Mashariki ya Kati kuepuka kufanya safari hizo wakati huu na wale wanaoishi huko wabaki kwenye makazi yao wanamoishi. Nchi hizo ni Bahrain, Israel, Kuwait, Qatar, Falme za Kiarabu (UAE) na Oman ambapo Serikali ya Tanzania imewahimiza Raia wote kuchukua tahadhari stahiki na kufuata maelekezo ya Mamlaka husika ambapo kwa Watanzania waliopo katika eneo la Mashariki ya Kati wanashauriwa kuepuka kufanya safari za kwenda au kutoka Mashariki ya Kati katika kipindi hiki, kubaki katika makazi mnayoishi inapowezekana na kufuata maagizo yanayotolewa na Mamlaka za maeneo husika na kuwa waangalifu wakati wote. Ushauri mwingine ni kuepuka maeneo yenye shughuli za usalama/kijeshi katika maeneo mnayoish, kutumia njia rasmi za mawasiliano na taarifa, kuhifadhi pasipoti na vitambulisho vya Tanzania sehemu salama na inayopatikana haraka endapo kutatokea dharura “Serikali inawasihi Watanzania walioko Mashariki ya Kati kujisitiri kwa uangalifu na kuendelea kufuatilia mawasiliano rasmi ya Ubalozi na ya dharura” #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
16
9
153
8.8K
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Sema Ukweli Mimi Darasa la 7 😂
Headboy wa mtaa tweet media
Filipino
115
45
298
17.7K
Billy
Billy@Bildadtz·
@millardayo Acha tuweke kwenye mafaili tutahiitaji kuitumia soon
Filipino
0
0
0
31
millardayo
millardayo@millardayo·
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Arusha Mjini, Paul Makonda, amewasihi Viongozi wa Jiji la Arusha,, Wakuu wa Idara na Watumishi wa Umma kutimiza majukumu yao ipasavyo na kufanya kazi kwa bidii akisema ni aibu Mtumishi kusimamishwa na Viongozi wakuu na akaishia kuzomewa. Akiongea na Wakuu wa Idara wa Jiji la Arusha, Makonda amesema “ “Sisi sio Watendaji, Mbunge wala Diwani sio Mtendaji wa kazi za kila siku, wewe (Mkuu wa Idara) ndio umeajiriwa kwa niaba yetu sasa pale wewe unayelipwa mshahara kwa niaba yetu sisi uwafanyie kazi Wananchi, kama kazi haziendi ndio mgogoro unapoanzia, ndio maana hata akija Kiongozi mkubwa kama alivyokuja Waziri Mkuu, unaweza kusimamishwa Wananchi wakaanza kukuzomea, infact ikifika hatua Mtumishi wa Umma unasimamishwa kwenye mkutano wa hadhara unaulizwa maswali Wananchi wanakuzomea yaani kiutaratibu unatakiwa kufukuzwa kazi hapohapo uwanjani” “Maana yake hao wanatuma ujumbe kwamba hawafurahishwi na kazi yako na kama ingekuwa ni kupiga kura wewe hauna kura za Kiongozi aliyechaguliwa, mathalani kila Mkuu wa Idara hapa akisimama tukakuuliza wewe kwenye Idara yako unachangia asilimia ngapi ya ushindi wa Dkt. Samia?, mfano Mkuu wa Idara ya Ardhi tukikusimamisha kwa Wananchi wakaambiwa wapige kura una asilimia ngapi?” #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
30
12
339
39.8K
Billy
Billy@Bildadtz·
@EsirEid Upo kwa wapi 😂
Billy tweet media
Filipino
0
0
1
16
OG OUTFITS❤️💃
OG OUTFITS❤️💃@og_outfits·
Natafuta model wa kiume wa kufanya nae content na hiz trou Awe na muonekano mzurii Usafi Urefu kiasi yaan mm nisimzidi kimo Awe anavaa size 32-34🙂
OG OUTFITS❤️💃 tweet media
Filipino
90
37
258
20.1K
Billy
Billy@Bildadtz·
@gift_macha Yule jamaa alie beba ua kwenye ile line zamu yake imefika wakuu
Indonesia
0
0
0
26
Billy
Billy@Bildadtz·
@EsirEid Tajiri habari ukipata muda cheki DM brother.
Indonesia
0
0
2
564
KOJO FOREX
KOJO FOREX@KojoForex·
Hey @grok choose the best comment with no Like 👍🏼 to get $250 after 24hours
KOJO FOREX tweet media
English
7.7K
708
15K
647.8K
Billy
Billy@Bildadtz·
@MsFrancic First touch mbaya sana kuwahi kutokea rudi nyuma jipange tena
Indonesia
0
0
1
432
Trixie Cleaning Solution 🫧 🧼
Kabla haijaja kuwa big deal niseme tuu i wasn’t even serious 😂 Kwanza mimi ni mtu wa matani sana 🌝
Trixie Cleaning Solution 🫧 🧼 tweet media
Filipino
53
15
316
32.9K
Billy
Billy@Bildadtz·
@TitoMagoti Reforms tulianza kutaka ni muda sana kabla ya huo wanao uita ni uchaguzi
Indonesia
1
0
0
16
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Huyu kinega anakuwaje Waziri Mkuu?
Indonesia
55
36
266
11.7K
Billy รีทวีตแล้ว
TONY ALFRED K
TONY ALFRED K@tonyalfredk·
🙏🏿🙏🏿
TONY ALFRED K tweet media
QME
13
202
951
13.8K
Billy รีทวีตแล้ว
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
I has been 2 month since the Massacre! Rest in Peace Mama! We still remembers you and others!! Video kwa Comments 👇
Latto 𝕏 tweet media
English
21
163
1.2K
31.1K
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Mamaa!!! Amkaaa!! Amka Mamaa!! Amka!! WE AIN’T HEAL MOM 💔
Indonesia
34
391
1.9K
24.6K