CINEMAS ANALYTIC 🎬

6.3K posts

CINEMAS ANALYTIC 🎬 banner
CINEMAS ANALYTIC 🎬

CINEMAS ANALYTIC 🎬

@CinemasAnalytic

Your Daily Movie & Series Posters 🎬 Helping You Find your next dramas to watch 🍿🍿🍿Turn on Notifications 🔔🔔

Freedom Plains, NY เข้าร่วม Şubat 2024
23 กำลังติดตาม11.5K ผู้ติดตาม
CINEMAS ANALYTIC 🎬
CINEMAS ANALYTIC 🎬@CinemasAnalytic·
Top 4 movies to watch alone 🔥🏆 Not for the weak +18📌🍿 Be alone while watching 📌
CINEMAS ANALYTIC 🎬 tweet mediaCINEMAS ANALYTIC 🎬 tweet mediaCINEMAS ANALYTIC 🎬 tweet mediaCINEMAS ANALYTIC 🎬 tweet media
English
0
1
1
263
CINEMAS ANALYTIC 🎬 รีทวีตแล้ว
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Kikeke wa BBC na huyu wa sasa wakikutana wanaweza kupigana. Kitenge kitambo anafahamika kama PEDI ZA WAKOLONI WEUSI tumemzoea. Niliwahi kusema hii TAALUMA ya uandishi wa habari Tanzania ni kusanyiko la mandondocha nafikiri mnaona. Zamani ilikuwa kuwa muandishi wa habari ni ndoto za maana ila leo mtoto wako akifikiria kuwa muandishi wa habari unatakiwa KUMNYIMA CHAKULA AFE KWA NJAA MAANA UNAFUGA TAKATAKA YA BAADAE. TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SIR TIVA tweet mediaSIR TIVA tweet media
Indonesia
23
70
521
32.4K
CINEMAS ANALYTIC 🎬 รีทวีตแล้ว
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
TUME YA CHANDE imejaa watu ambao hawatakiwi hata kuaminiwa hata sekunde moja. Kesho tunaenda kusikiliza USENGE na sitarajii chochote cha maana kutoka kwao. TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Indonesia
5
79
523
11.3K
CINEMAS ANALYTIC 🎬 รีทวีตแล้ว
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Naambiwa leo Jiji la dar polisi wenye silaha wametapakaa kila kona. Ni wazi kesho CHANDE Anakuja kuongea USENGE. Usitegemee jipya kesho jiandae kupasuka moyo mara 200.
Indonesia
50
241
1.9K
58.7K
CINEMAS ANALYTIC 🎬 รีทวีตแล้ว
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
NYAKATI NGUMU HAZIDUMU. HILI NALO LIMEPITA—ASANTE MUNGU WANGU. Account zangu rasmi ni hizi MBILI TUU. @/tiva_talks @/tiva_familly AM BACK…!🔥🔥🔥 #tutakuwepo🫵🏾😎
Indonesia
136
242
1.5K
73.9K
CINEMAS ANALYTIC 🎬 รีทวีตแล้ว
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Tiba pekee ya kutibu watanzania kwasasa ni yafuatayo. 1. UWAJIBIKAJI kwa jeshi zima la polisi. Hapa tutaanza na BILIONEA WAMBURA, MURILO ,Bila kumsahau JAMBAZI KUU MAFWELE na kibaka msaidizi “GEORGE”. 2. UCHAGUZI URUDIWE. Hawa wanaoitwa viongizi wa serikali wa sasa HATUWATAMBUI na hizo nafasi walizonazo zina damu za watanzania wasio na HATIA. Lazima tupate viongozi wanaotokana na wananchi. 3. TUPATE KATIBA MPYA. Mzizi wa tatizo wa hii nchi ni katiba MBOVU iliyoundwa na watu wanne miaka ya TISINI. Leo hii zaidi ya asilimia 70 ya nchi ni vijana ambao HATUKUWEPO-ndiomaana madudu ni mengi. 4. WATANZANIA WAPEWE MIILI YA NDUGU ZAO WAZIKE. Mpaka leo familia nyingi kwa maelfu HAZIJAZIKA wapendwa wao baada ya mauaji ya kikatili yaliyoongozwa na vyombo vya usalama. Ushahidi upo kwa maelfu wakitekeleza hayo mauji. Msiba hauishi mpaka watu wazike hiyo ndio TAMADUNI YETU. 5. WATANZANIA WALIPWE FIDIA. Waathirika wote wa MAAMDAMANO ya MO 29 lazima walipwe fidia. Familia ni nyingi sana zimeathirika na yale mauaji, lazima watu wafidiwe hata kwa kidogo ili tuone nia ya kutaka kuweka mambo sawa. KITU KINAITWA “MARIDHIANO” huu ni mradi ambao hautakiwi hata kujadiliwa na watu wenye akili timamu. Unataka maridhiano ya nani na nani? Mimi binafsi naamini wanaotakiwa kukaa meza ya maridhiano ni wale wahanga wa MO29 ambao wengi wamekufa , wengine wamepata vilema na wengine wametekwa mpaka leo hatujui walipo. Hakuna CHAMA au mtu anayo haki ya kukaa meza ya MARIDHIANO labda kama anabiashara zake-kukubali maridhiano ni kutumia VIFO VYA NDUGU ZETU KUJINUFAISHA. HATUTAKUBALI—TUTASHUGHULIKA NA WEWE BILA KUKUONEA AIBU. TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SIR TIVA tweet media
Indonesia
9
75
279
15.8K
CINEMAS ANALYTIC 🎬 รีทวีตแล้ว
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Turudi kwenye HARAKATI SASA-tunaanzaia wapi wanangu?
Indonesia
41
77
771
19.3K
CINEMAS ANALYTIC 🎬
CINEMAS ANALYTIC 🎬@CinemasAnalytic·
Pray For Hancy Machemba Huyu anakwenda kutekwa Akitoa mawasiliano amekwisha Mwache ajichanganye TUTAKUWEPO🫵🏾
CINEMAS ANALYTIC 🎬 tweet media
Filipino
14
18
237
30.7K
CINEMAS ANALYTIC 🎬
CINEMAS ANALYTIC 🎬@CinemasAnalytic·
Kama Afrika kusini tu Hapo unafanyiwa hivi Jiulize dubai watakuafanya nini Kama sio kukutumia kinyumbe na Maumbile Tujenge kwetu, tubanane hapahapa mpaka kueleweke
Indonesia
9
12
100
9.6K
CINEMAS ANALYTIC 🎬
CINEMAS ANALYTIC 🎬@CinemasAnalytic·
Ujinga ujinga tu ndo unaongelewa Bungeni Ili kupumbaza wananchi huku nchi ikiuzwa kwa ndugu zetu waarabu Alieturoga alitumaliza kabisa
CINEMAS ANALYTIC 🎬 tweet media
Indonesia
6
7
54
2.4K
CINEMAS ANALYTIC 🎬
CINEMAS ANALYTIC 🎬@CinemasAnalytic·
Huyu Hacha Heche mdogo wake John Heche anamoto mkali zaidi ya kaka yake Hii familia ya Heche wote ni Vichwa, Raslimali na hazina kubwa sana kwa Taifa letu Msikilize hapa akiongelea Maridhiano na wauwaji kabla ya kutuambia ni nani alie uwa watu October 29 Na sauti ni ya John heche Kabisa Repost 780 x.com/taifa_mbunge/s…
Indonesia
4
37
297
16.4K
ALLY MSANGI
ALLY MSANGI@ally_eh·
@Sativa2555 @mgwadila1 Nina ndugu yangu yupo huko, passport walimpokonya na simu pia. Mpaka sasa ni mwaka hatujui hata anaishi vp huko.
Indonesia
3
1
1
210
CINEMAS ANALYTIC 🎬
CINEMAS ANALYTIC 🎬@CinemasAnalytic·
Hizi akili za kijinga na kudharau vya kwetu ndo zimetufanya Tanzania na afrika kwa ujumla tuendelee kuwa maskini Wengi wameumia, wametumikishwa kingono wamefanyiwa ukatili kisa kupenda maisha ya kitonga Alie kudanganya Dubai kuna ajira za haraka haraka hivo ni nani ?, ukweli ni kwamba kazi utakazokwenda kufanya utaomba Mungu urudi nyumbani na hautakuwa na hiyo nafasi maana passport yako itakuwa imeshikwa mda huo Ukweli ni kwamba Vijana wengi waliongia kwenye huu mtego wameishia kujiunga na vita au makundi tofauti yenye itikadi kali ambayo mwisho wa siku wamepoteza maisha yao Ushahidi upo vijana wengi kutoka kenya, Tanzania na nchi nyingine nyingi kusikika wakiwa wamekufa kwenye vita za watu huko dunia ,,, yote hayo huanza na akili za kupenda mteremko tulizonazo vijana wa kitanzania.. Hakuna maisha ya mteremko , vijana tu focus kujenga kwetu kuwe sehemu bora kwa ajiri yetu sote na vizazai vyetu Tatizo lenu mnahisi siasa haziwahusu wakati siasa ndio imepelekea wewe kutaka kuomba kazi dubai baada ya uduni wa hali ya nyumbani kwako Vijana tusiingie kwenye huu mtego wa kupenda vitonga , hasasa hasa Mabinti , wengi wanatumikishwa kingono ughaibuni,,juzi tu watanzania kama 20 wameshikwa wakijiuza Thailand 🇹🇭 yote hayo huanza na kazi za chap chap ,, stukeni , hakuna mteremko. Mtaumia Repost 670
CINEMAS ANALYTIC 🎬 tweet media
Indonesia
13
14
115
21.8K
CINEMAS ANALYTIC 🎬
CINEMAS ANALYTIC 🎬@CinemasAnalytic·
Siasa ya kweli haihitaji hisia, ukitumia mihemko utaonekana huna akili, sometimes critical thinking means everything Heche ananifundisha Mambo mengi Sana
CINEMAS ANALYTIC 🎬 tweet media
Filipino
0
4
41
1.7K
CINEMAS ANALYTIC 🎬
CINEMAS ANALYTIC 🎬@CinemasAnalytic·
Profet rolinga anakaba sana kooni 😂 Msikilize Hakuna kunyamaza Repost 450
Filipino
2
74
309
8.7K
CINEMAS ANALYTIC 🎬
CINEMAS ANALYTIC 🎬@CinemasAnalytic·
Jana nimepost video kuhusu Tabia ya vijana Wengi kwenda kutafuta kazi kwenye nchi za kibaguzi na kuishiwa kubaguliwa. Nilisema vijana inabidi Tupambane na Serikali zetu ili tupate tunachokitaka hapa nchini. Kuna watu nimeona wamekuja na mitazamo hasi wakisuport utumikishwaji wa dada zetu huko uarabuni Sasa hii video hapa ni imetoka South africa 🇿🇦, angalia waziri anavomfokea na kumbagua Raia kutoka ghana na kumwambia Maneno ambayo Mimi jana nimesema Nanukuu anamwambia “Muda huu uko huku South africa asubuhi hii ulitakiwa uwe ghana ukipambana na Serikali yako ikupe kile ulichofuata South Africa 🇿🇦” Anasema inabidi tukomeshe hii tabia ya vijana wa kitanzania kuzurula dunia, tunataka wake nchi kwao wake africa , na tunaanza na south africa Huyu unaweza ukasema ni mbaguzi ila ndio ukweli , vijana inabidi tupambane na serikali zetu Ziwajibike kututengezea fursa kama serikali zingine , sio kukimbia ety siasa hainihusu Sikiliza hiii nipe mtazamo wako Repost 98 x.com/my_azania/stat…
Indonesia
8
23
153
12.2K
CINEMAS ANALYTIC 🎬
CINEMAS ANALYTIC 🎬@CinemasAnalytic·
Mojawapo ya Madhara ya kuongozwa na CCM kwa miaka 65 ndio haya. Ukiangalia walichokifanya kwa miaka 65 hakuna zaidi ya kuirudisha nchi kwenye zama za Mawe na kuiweka nchi kwenye madeni kila kukicha mpaka 2030 deni lisipofika Trilion 200 mnambie Repost 780
CINEMAS ANALYTIC 🎬 tweet media
Indonesia
3
10
82
2.6K
CINEMAS ANALYTIC 🎬
CINEMAS ANALYTIC 🎬@CinemasAnalytic·
@mgwadila1 Anatumikishwa kingono Hana passport hapo alipo , Muweke sana kwenye Maombi huko sio kuzuri
Filipino
1
0
3
1.2K
SEnIoR
SEnIoR@mgwadila1·
@Sativa2555 Demu wangu alienda huko mwaka jana... saiz hapatikani sijui ndo simu wamepokonya
Indonesia
2
0
1
1.3K